Posts
Showing posts from June, 2015
Leoleoplus,com

NENOLAUFUNUO LA SIKU YALEO ni, Isaya 56:7"Nitawaleta hao nao hata mlimawangu mtakatifu nakuwafurahisha katika nyumbayangu yasala;.........." ANGALIA NENO HILO. "Nakuwafurahisha katika nyumbayangu yasara". NYUMBA YAMUNGU NIYASARA.NA KATIKA NYUMBAHIYO KUNAKUFURAHISHWA. 1wakorth 3:16"Hamjui yakuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu nayakuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?" OK. LUDI KWENYE NENO LILE ANAPOSEMA, ".......Nakuwafurahisha katika nyumba yangu yasara.......kwamaana nyumbayangu itaitwa nyumba yasara kwamataifa yote" NYUMBA YA MUNGU NINYUMBA YASARA.NINYUMBA YAMAOMBI. AMESEMA KWAMBA KAMA UMEOKOKA WEWE NINYUMBAYAKE. IKIWA UNATAKA KUJUA KAMAKWELI WEWR NINYUMBA YAMUNGU JIULIZE IKIWA WEWE NIMTU WASARA? NIMTU WAMAOMBI?MAOMBI YANAYO GUSA MATAIFA MBALI MBALI? NAJE HUWA UNAPO HUDHULIA KWENYE IBADAZAKO HUWA UNAFURAHISHWA NAUWEPO NAMTEMBEO NAMUNGU? AU UNAHUDHURIA TU.MAANA KAMA HAUJAFANIKIWA KUFIKA KWENYENEEMA YAKUSUDI LAMUNGU LANENO LAUFUNUO HUTAIONA KAMWE ILE MAANA HASA YAIBADA. MUNGU AKUBARIKI NANENO LA SIKU YAKO YALEO. AMINA. wasiriana nami kwa 0763359745 & 0712583194
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LA LEO taz muhubir 11:10"kwahiyo ondoa majojonzi moyoni mwako,nawe uuondoe ubaya mwilini mwako...."ONDOA MAJONZI MOYONIMWAKOLEO. USIKUBALI KUWEKA MAJONZIYOYOTE KWENYE MOYOWAKO.BADALAYAKE UWEKE CHANGAMKO MOYONI MWAKO.UKIFANYA HIVYO UTAFANIKIWA KUUONDOA UBAYA MWINI MWAKO.UBAYA MWILINI NIPAMOJA NAMAGONJWA. ACHA MAJONZILEO. ACHA KUWAZIA SANA MAJARIBU ULIYO NAYO USIJE UKAIHARIBU SISU YAKO. KAMATA NENOHILI LAUFUNUO.ONDOA MAJONZI KWENYE FIKRAZAKO.USIJIHURUMIE.HATAHIVYO HUWEZI KUJISAIDIA MWENYEWE PASIPO YESU-yoh 15:4-5)KWAHIYO KUJIHURUMIA NAKUJISIKITIKIA SIYO DAWA.DAWA NIKUMWAMINIYESU NAKUMTWIKA FADHAAZAKO ZOTE ZINAZO KULETEA MAJONZI. natoa huduma zaushauri binafs kwanamba 0763359745 & 0712583194
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAKO LAUFUNUO LA LEO "marko 13:13-Nanyi mtakuwa mkichukiwa nawatu WOTE kwaajili ya Jinalangu;lakini mwenye kusubiri hata mwisho,ndiye atakaye okoka" HEBU JARIBU TENA NATENA UYATAFAKALI VIZURI MANENO HAYA. "Mtakuwa mkichukiwa na watu WOTE...UNAJUA. NIWATU WOTE. SIYO BAADHI YAWATU WATAKUCHUKIA. NIWATU WOTE. SABABU NININI? KWANINI UCHUKIWE NAWATU WOTE? SABABU NIMOJA TU.NIKWASABABU YAJINA LAYESU ULILO NALO. SIYO LAZIMA LEO UTARAJIE KUPENDWA NAKILAMTU ULIYEMFIKIRIA. CHAGUA LEO KUFANYAMAPENZIYAMUNGU NAUCHUKIWE NAWATU WOTE AU UJALIBU KUWAPENDEZESHA WATU WOTE NA UCHUKIWE NA MUNGU. UNACHAGUA LIPI? KAMA MIMI NINGECHAGUA KUFANYA YAMPENDEZAYO MUNGU,KAMA NAWEWE JIBULAKO NIKAMA HILI LAKWANGU BASI INAMAANISHA UJIANDAE KISAIKOLOJIA KUCHUKIWA LEO. NDIYO.JIANDAE. NIMEJIANDAA KUCHUKIWA NAWATU WOTE KILA MARA NINAPO LIWAKILISHA VYEMA JINA LAYESU KRISTO BILAKULITUKANISHA,LAKINI NAJIKUTA NIKIFURAHI KWASABABU NATAMBUA KUWA MUNGU ANATABASAMU KWAAJILIYANGU SIYO ANAHUZUNIKA KWAAJILIYANGU.HAPANA BALI ANATABASAMU SASA. UKICHUKIWA SANA NAWATU WOTE LEO.USIOGOPE.INAMAANISHA KUNAMAHALI UNAFANYAVIZURI KWAMUNGU NAMUNGU AMEFURAHI. Kwamaelekezo mengine ni. Feceboo Aram Kayengela. 0763359745/0712583194 Dar es Salaam
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LA LEO. Wafilipi 4:7" Na amani ya Mungu ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika kristo"ANGALIA HAPO. Na amani ya Mungu ipitayo akili zote. HALAFU UJISEMEE MWENYEWE"Amani hiyo naitaka leo inifunike"DHAMIRIA LEO KWAMBA HUTAIPOTEZA AMANI HII. JISEMEE MWENYEWE KWAMBA,LEO SITAIPOTEZA AMANI YAMUNGU MUYONI KWAKI. AMANI YAMUNGU IPITAYO AKILI ZOTE,UTAIPATJE LE? NIRAHISI KAMAHIVI; taz
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LA LEO. Wafilipi 4:7" Na amani ya Mungu ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika kristo"ANGALIA HAPO. Na amani ya Mungu ipitayo akili zote. HALAFU UJISEMEE MWENYEWE"Amani hiyo naitaka leo inifunike"DHAMIRIA LEO KWAMBA HUTAIPOTEZA AMANI HII. JISEMEE MWENYEWE KWAMBA,LEO SITAIPOTEZA AMANI YAMUNGU MUYONI KWAKI. AMANI YAMUNGU IPITAYO AKILI ZOTE,UTAIPATJE LE? NIRAHISI KAMAHIVI; taz
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LALEO. NA, APOSTLE ARAM J.KAYENGELA,KIONGOZI MKUU MWANZIRISHI WA HUDUMA YA NENO LAUFUNUO YENYE MATAWI NCHINI NA NJE YANCHI. soma vizuri Yskobo 1:2-3"Hesabuni yakuwa nifurahatupu mkiangukia katika majaribu mbslimbali,maana kujaribiwa kwa imani yenu...." UNAPO JIKUTA KWENYE JARIBU LOLOTE LEO MUNGU ANAKUTAZAMIA USIPOTEZE FURAHA. NAENDAPO HUTAPOTEZA FURAHA NIDALILI NJEMA ULIYO NAYO YA VIWANGO VYAUSHIRIKAWAKO NA MUNGU. MUNGU SMESEMA KATIKA Warumi 5:3-furahi katika dhiki pia. Na katika Mathayo 5:11-12"furahi nakushangilis utakapo semwa vibaya nakuzushiwa kilaneno baya kwsuongo" NENO BAYA LAUONGO UNAO ANZISHWA DHIDI YAKO MUNGU ATAANGALIALEO UTAKAVYO LIPOKEA. FURAHA YAKO LEO NIYAMUHIMU SANA. MUNGU HATARAJII KWAMBA MAJARIBU UNAYOPITIALEO YAKUNYAN'GANYE FURAHA. BILA FURAHA,AKILIYAKO HAITAFANYA KAZI VIZURI,UNAWEZA KUGOMBANA NABOSIWAKO KAMA UNAFAKIBURI CHA UZEMBE WAKUJIACHILIA KWENYE HASIRA.KUKWAZIKSA.KULALAMIKA. LEO MWAMBIE BWANAYESU. AGIZO LAMUNGU KWAKO LEO NI "Ufurahi hata ukiangukia kwenye majaribu mbalimbali. Ufurahi hata kama kunamaudhi. Pia ufurahi endapo utazushiwa kila neno baya kwauongo". MUAHIDI MUNGU KWAMBA LEO SITARUHUSU UPOTEVU WAFURAHA NAAMANI KWANAMNA YOYOTE. AMINA
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LALEO.Sefania 2:15"Huu ndiomji ule wafuraha,uliokaapasipo kufikiri,ulio sema moyoni mwake,mimi niko hapana mwingine ila mimi. Jinsi ulivyokuwa ukiwa mahali pakulala pa wanyama wabara!kila apitaye atazomea,nakutikisa mkonowake"ANGALIA VIZURI NENO HILI;HUU NDIOMJIULE WAFURAHA ULIO KAA PASIPO KUFIKIRI-Maana yake furaha yako yaleo isikufanye uwe kipofu kiasi cha kutokufikiri kwanini wewe unafuraha. Kumbuka naufikiri kwamba,wakati wewe mudahuu unahisi furaha niwakati huo huo kunamtu anaomboleza kwamaana amepatwa na ajali nakupoteza baadhi yaviungo,analia kwamaombolezo maana hakuzaliwa akiwa mlemavu. Wakati wewe unafurahia leo ,ufikiri nakukumbuka kwamba kunamtu leo hii hii analia kwakufiwa namtu wake wakaribu sana aliiye mtegemea kalibu kwakilajambo. Wakati wewe unafurahaleo,kunamtu amepoteza ajira. Amefukuzwa bila sababu zamsingi anawaza atafanyaje kuitunza familia nawakati huo huo anamadeni anatishiwa kupelekwa polisi! Lakini wakati huu huu leo kunamtu amefiwa nawatoto alio wapenda sana nao pia walimpenda OK. NENO LAUFUNUO LALEO,MUNGU ANASEMA NAMOYO WAKO"USIKAE PASIPO KUFIKIRI.FURAHA YAKO YALEO ISIKUPOFUSHE UKAJISAHAU KIASI CHAKUSAHAU KULE ULIKO TOKA. USIJISEMEE MOYONI MIMI SIWEZI NIKAPATIKANA NAMABAYA.BADARAYAKE UNAAGIZWA LEO UNYENYE KEE NAKUJAA SHUKURANI KWAMUNGU. AMINA. kama Roho Mtakatifu atasema namawazo yako kwahabari yakumtolea Mungu shukurani kulingana na Neno la Ufunuo la leo karibu kwasadaka hiyo,Mungu ataikubali kama inatoka kwenyemoyo washukurani M-pesa ni 0763359745 TIGO-pesa ni 0712583194 na AC NO. NI 0152274542500 jina la ac.ni ARAM JAPHET KAYENGERA benk ni CRDB BRANCHI YA LUMUMBA DSM. KUTOA NIMOYO. SIYO WINGI. NAKUMBUKA NILIPO ANZA KUFUNGUKA KWENYE ENEO HILI LAKUSHUKURU KUTOKANA NA NENO LAUFUNUO NILILO LIPOKEA KWA WAKATI HUO. NIMEONA FURAHAYANGU IKIIMALISHWA.BAADA YAKUTOA SADAKAYAKO NITAFURAHI UKINIJULISHA ILI KAMA MAZINGIRA YATARUHUSU TUWEZE KUOMBA PAMOJA KWASADAKA HIYO sali sara hii KAMA LEO UTAPENDA KUOKOKA. sema;Ee Bwana Yesu. Nisamehe dhambi zangu zote leo ninazitubu sita ludia tena. Futa jina langu kwenyekitabu cha hukumu uliandike kwenyekitabu cha uzima. Amina. LEO NIMEOKOKA. NAKATAA KURUDINYUMA KWAJINA LAYESU. karibu kanisani ujifunze zaidi. Tupo Dar es salaam eneo la Chanika mtaa wakaanani kitongoji cha Lukooni karibu nashule yamsingi. Kanisa limepauliwa lina paa mbili pia linarangi nyeupe. Usikose kunamengi zaidi yakujifunza. Linaitwa ; HUDUMA YANENO LAUFUNUOAmina. USISAHAU KUMPA MUNGU SHUKURANI LEO
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LA SIKU(LEO) Luka 11:2"Akawaambia,msalipo,sememeni,Baba yetu uliye mbinguni,Jinalako litukuzwe,Ufalme wako uje,Mapenziyako yatimizwe....."NAAMINI UNASHAUKU YAKUONA MAPENZI YAMUNGU YAKITIMIZWA KWAKOLEO.lakini mapenzi yaMungu yatatimizajwe kwako leo? YESU AMESEMA NIMPAKA UFALME WAMUNGU UJEKWAKO.HII INAMAANISHA KWAMBA,MAPENZI YAMUNGU HAYAWEZI KUTIMIZWA POPOTE KAMA BADO UFALME WAMUNGU HAUJASHUKA. UFALME WAMUNGU UKOJE? Angalia Warumi 14:17"Maana ufalme waMungu si kula wala kunywa,bali nihaki naamani,na furaha katika Rohomtakatifu" weka alama hapo,KWAMBA,UFALME WAMUNGU NI HAKI AMANI NAFURAHA KATIKA ROHOMTAKATIFU. OK. HII HUMAANISHA KWAMBA,"Ili ufalme waMunguukujieleo lazima uruhusu "Haki"Amani-kwakuwa hakuna amani bila haki"uruhusu na Furaha katikaRoho mtakatifu" MUNGU AKUBARIKI. LINDA SANA LEO HAKI.AMANI.NA FURAHA YAROHOMTAKATIFU. USIKUBALILEO JAMBOLOLOTE LIKUIBIE FURAHA YAMOYOWAKO KWASABABU ENDAPO UTAPOTEZA FURAHA MOYONIMWAKOLEO.KWANZA ITAKUWARAHISI WEWE KUMUHUZUNISHA ROHOMTAKATIFU.PILI MAPENZI YAMUNGU HAYATATIMIZWAKWAKO KWAMAANA UTAKUWA UKO NJE YAUFALME WAMUNGU.USISAHAU KWAMBA,UFALME WAMUNGU UKIJA NDIPO MAPENZI YAMUNGU YANATIMIZWA.BARIKIWA
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LALEO Isaya 9:1(a)"Lakini yeye aliyekuwa katikadhiki hatakosa changamko"CHANGAMKO NININI? Changamko nifuraha yamoyo.Changamko niamani yamoyo.Changamko nizaidi yakucheka,kwakuwa unawezakucheka lakini ukiwa hunachangamko moyoni. Changamko nikicheko kitokacho moyoni. MUNGU AKUBARIKI LEO UWE NACHANGAMKO.Hata katika dhiki yako usikose changamko.JISEMEE MWENYEWE "Hata katika dhiki hii sitakosa changamko" KITUGANI LEO KITASABABISHA UPATE CAHANGAMKO LAMOYO WAKO? Taz Zab 119:111"Shuhuda zako nimezifanya ulithi wamilele maana ndizo changamko lamoyo wangu." UMEONA? OK. UMEELEWA? KINACHO LETA CHANGAMKO LAMOYO WAKO NI SHUHUDA ZABWANA. SHUHUDA ZABWANANIZIPI? Kwakweli shuhudaza Bwana Ni Nenolake lililofunuliwa. SHUHUDA ZABWANA NINENO LAUFUNUO. NATAKA LEO UELEWEKWAMBA CHANGAMKO LAMOYOWAKO LITATEGEMEA UTII WAKO JUU YANENO HILI LABWANA LILILOFUNULIWA KWAKO. UMEPATA NENO LAUFUNUO.LIFURAHIE.LIPOKEE KWASHUKURANI.LEO SIKUYAKO IMEKUSUDIWA IWE YACHANGAMKO LAMOYO.nataka nikuombee. Mungu hanamkono mfupi. Atakugusa hapo hapo ulipo. Amini tu uwepo wake. weka mkono eako kwenye moyo wako. Nihakikakwamba kunanguvu yaMungu itakutembelea hapo. Tazma Mungu yuko tayali kukusaidia niwewe tu kuamini uwepo wake. NATAKA UPOKEE MGUSO WANGUVU ZAKE. UPOKEE NURU YACHANGAMKO.UIONE SIKU YALEO IKIWANZURI.KATIKA JINALAYESU KRISTO WANAZARETH UFUNIKWE NAUVULI WAKIUNGU UTAKAO KUFANYA UYASAHAU MAGUMU UNAYO YAPITIA LEO. AMINA AMINA AMINA. Ushauri huu niwamuhimu kwako. Kwanza kama bado hujapata wokovu wakweli amua leo uokoke. Uongozwe sara yatoba. Pili,Kama unasikia moyoni RohoMtakatifu anakupa amani yakutoa sadaka yoyote usisite kufanyahivyo M-pesa ni 0763359745 na TIGO-pesa ni 0712583194 ac no. ni 0152274542500 jina la ac ni ARAM JAPHET KAYENGELA BENK YA CRDB BRANCH YA LUMUMBA DAR ES SALAM. Ubarikiwe. Siku yako iwe nzuri tofauti nayajana. AMINA
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENOLAKO LALEO LAUFUNUO. Isaya 24:11"panakilio katikanjiakuu kwasababu yadivai;furaha yote imetiwagiza,na changamko lanchi limetoweka"NATAKA UWEKEE ALAMA "Furaha yote imetiwa giza" BAADA YAGIZA KUFUNIKAFURAHA KINACHOTOKEA KWAHARAKA NI changamko kutoweka. HALI HIYO IKIENDELEA KINACHOFUATA NI kilio. JE,UNAUWRZO WAKUITUMIA SIKUYAKO VIZURI ILI KUJILINDA FURAHAYAKO YOTE LEO ISITIWEGIZA? WATUWRNGI UTAKAO ONANA NAOLEO AU UTAKAOFANYANAOKAZILEO,FURAHAZAO ZIMETIWAGIZA,NAKWASABABUHIYO HAWANACHANGAMKO.UTAKAPOJIKUTA KWENYEHALI YAKUSHINDWA KUSAMEHE UJUE SIKUYAKO YALEO ITAKUWA IMEANZAKUHARIBIKA KWASABABU FURAHAYAKO ITAKUWAIMEFUNIKWA NAGIZA.Nataka nikuombee. Unaweza kupokea hapoulipo sasahivi kama tu utaamini kwamoyo wako usio namasharti. Siyo ajabu kusikia au kushudia ndoanyingi furahazake zimefunikwa nagiza. BWANAYESU KRISTO NAAMINI NENOLAKO TU NDO HALITAFUNGWA NAMIPAKAYOYOTE. NINATAMKA NENOJUU YAKO KWAMBA,FURAHAYAKO ISIFUNIKWE NAGIZA.KILAGIZA LINALONYDMELEA FURAHAYAKO KATIKA JINALALAYESUKRISTO.POKEA UFAHAMUMPYA WAKIMUNGU LEO ILI USIWEZE KUKAMATWA NAGIZALIFUNIKALO FURAHAYAKO.sema mwrnyewe kwamba,MIMI SITAKUAWA MTU ASIYE NAFURAHA LEO.SITAKUWAMTU AMBAYE FURAHA YAKE IMEFUNIKWANAGIZA KATIKAJINALAYESU KRISTO. AMINA kamautanihitaji nikuombee piga.0763359745/0712583194 na Fecebook:Apostle Aram Kayengela.NATAKA KUKUONYA KWAMBA,USIKUBALI LEO FURAHAYAKO KUFUNIKWA NAGIZA. Chochote utakachokiruhusuleo kikukoseshefuraha hilo utakuwaumeruhusu giza lifunike sikuyako yaleo. KESHO UFIACHE KUTEMBELEA NENO LA KILASIKU
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LA LEO NA. MTUME ARAM J.KAYENGELA KIONGOZI MKUU MWANZIRISHI WA HUDUMA YANENOLAUFUNUO YENYE MATAWI NDANIYANCHI NANJE YANCHI.NAMWANDISHI WAVITABU ZAIDI YA 12.NAMUHUBIRI ANAYEHUDUMU KATIKA MAKONGAMANO MBALIMBALI. Nataka kukushirikisha Neno laufunuo la leo. Nimaalumu kwaajiliyako nakwaajili yaleo. Tazama YOELI 1:12"Mzabibu umesinyaa,mtini nao umevi;Nao mkomamanga namtende namtofa;Naam,miti yote yamashamba imekauka,maana furaha imekauka katika wanadamu"HAJASEMA FURAHA IMEKAUKA KATIKA MWANADAMU. ANASEMA,FURAHA IMEKAUKA KATIKA WANADAMU. HII INAONYESHA WINGI. FURAHA IMEKAUKA KATIKA WANADAMU. HII INAMAANISHAKWAMBA,WANADAMU WENGI UTAKAO FANYANAOKAZI LEO AU UTAKAOSAFIRINAO LEO,FURAHA NDANI YAO IMEKAUKA.HATA WEWE USIPOILINDA FURAHAYAKOLEO ITAKAUKA. NINI KITAKAUSHA FURAHAYAKO LEO? Uchungu'Wivu'Kutokutosheka'Mashindano'Hofu'Mawazo mabaya'Kukosa Neno laufunuo'Kuabudu mahali pasipo sahihi'Tabia yakuomba omba watu'Kutafakari majaribu'Kukwazika kwaurahisi' na Kukosa matumaini".VITU HIVYO VITAIKAUSHA FURAHAYAKO LEO ENDAPO HATAKIMOJAWAPO KITAPATA NAFASI YAKUKUTAWALA LEO. FURAHA YAKO LEO NIKITU MUHIMU SSNA KULIKO CHOCHOTE. SIKUNJEMA. +255763359745/+255712583194 Facebook Apostle Aram Kayengela Email:nenolaufunuo@gmail.com . MTUMISHI WAMUNGU ANAPATIKANA DAR ES SALAAM CHANIKA. Amina
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENOLABWANA KWAKO LEO angalia Ayubu 22:21"Mjue sana Mungu,ili uwe naamani Ndivyo mema yatakavyo kujia"-ANDIKOHILI LINGESEMA KWAMBA MJUE SANAMUNGU ILI UWE BILIONEA,MAMILIONIYAWATU WANGEFANYA KILAMBINU ILI WALITENDEEKAZI BILAKUJALI UMUHIMU WAAMANI. HII NDO SABABU KWAUFINYU WAUFAHAMU MTU ANAWEZAKUDHANI KWAMBA HATABILAAMANI ANAWEZA KUFURAHIA MAFANIKIO,HIYO SIYOKWELI. muhubiri 4:6 inasema"Heri konzimoja pamoja nautulivu kuliko konzimbili pamoja nataabu..." na mithali 15:17 anasema"Chakula chamboga penyemapendano nibora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja nakuchukiana" HAPA MUNGU ANACHO SISITIZAKWAKOLEO NIWEWE KUELEWA UMUHIMU WAAMANI MOYONIMWAKOLEO. UNAWEZA UKAUZA SANA LEOBIASHARAYAKO NAKUPATAFAIDAKUBWA LAKINI BILAAMANI MOYONI UTAZIDIWA NAYULE ALIYEPATA ELFU YAKE TANO PAMOJA NAAMANITELE MOYONI. MAFUNDISHO YANAMNAHII NIMEKUWA NIKIYAFUNDISHA SANA KANISANI.NINAKUKARIBISHA.USISAHAU KWAMBA NYAKATI TULIZONAZO NENO LAUFUNUO LIMEKUWA ADIMU SANA(1SAMWELI 3:1(b)Neno laBwana lilikuwa adimu sikuzile hapakuwa namafunuo dhahili"HUO NDIO UKWELI.NENO LAUFUNUO NIADIMU KWASASA.BILANENOLAUFUNUO HUWEZI KUPATA AMANI MOYONI LEO. MUNGU AMELITUMA KWAKO LEO UJITAHIDI KULITAFUTA KWABIDII ILI UMJUESANA YEYE UPATE KUWA NAAMANI. HALLELUYA
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LA LAUFUNUO LALEO mithali 15:13"Moyo wafuraha huchangamsha uso bali kwahuzuni yamoyo roho hupondeka" MUNGU ANASEMA,MOYO WAFURAHA HUCHANGAMSHA USO. HII INAMAANISHA KAMALEO MOYOWAKO UTAKOSAFURAHA HATAUSOWAKO HAUTACHANGAMKA.HII HALI INATOKANA NA NINI? TAZAMA mwz 4:6"Bwana akamwambiakaini Kwanini unaghadhabu?nakwaniniusowako umekunjamana?" HATA LEO UKIIRUHUSU GADHABU ITAWALE MAWAZO YAKO. HAKIKA UTAKUWA UMEIHARIBU SIKUYAKO.ACHA GADHABU LASIVYO UTALAANIWALEO KAMA KAINI(tazama mwz 4:6-15) MUNGU HATAKI LEO ULAANIWE. ANATAKA AKUBARIKI KWAFURAHA. NAKUSHAURI BAADA YAKUPATA NENOHILI LAUFUNUO UANZE KUKUNJUKAMOYONI.USISHIKILIE GHADHABU.NIKWELI KUNAMAMBOMENGI YANAKUGADHABISHA LAKINI ACHALEO UMURUHUSU ROHOWAMUNGU AKUPEFUHA.EBU SEMA NAROHOMTAKATIFU KWADAKIKACHACHACHE HAPOULIPO. MWAMBIE EEMUNGUROHOMTAKATIFU UMEIONALLEO GHADHABUNILIYOKUWANAYO SASA NAKUKABIDHI WEWE GHADHABUHII NACHUKUAFUHAYAKO.NACHUKUAFURAHAYAKO.NACHUKUAFURAHAYAKO NAKUKABIDHI GHADHABUHII ILIYOKUWAMZIGO WAMOYOWANGU. AMINA. sasa tangaza sasa kwa sauti SEMA-LEOHII.SIKU YALEO.NINAITUAGHADHABUYANGU YOOOOTE KWAKOYESU SITAIBEBA TENAAAA KATIKAJINALA LAYESU KRISTO AMINA. kama unamoyo washukurani unawezakutoa sadaka yako yashukurani kwa m-pesa 0763359745 AU tigo-pesa 0712583194 NA AC NO.0152274542500 JINA LA AKAUNT NI ARAM JAPHET KAYENGELA CRDB BRANCH LUMUMBA Kutoa nimoyo washukurani. UKIPENDA KUFANYIWA HUDUMAZINGINE ZAKIROHO PIGASIMU KWA NAMBA HIZO
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LALEO/MKATE WALEO WARO YAKO tazama Zabur 37:11"Bali wenyeupole watailithinchi. Watajifurahisha kwawingi wa amani " UNGEPENDA LEO UJIFURAHISHE KWA WINGI WA AMANI? KWANZA KUMBUKA HILI,IKO KANUNI RAHISI YAKUWA NAAMANI NA FURAHA LEO. MUNGU ANASEMA,WENYE UPOLE WATAJIFURAHISHA KWAWINGI WAAMANI. KANUNI NIRAHISI. "Uwe mpole leo ili upewe amaninyiingi" .Tazama zabr 120:7"Mimi niwaamani bali ninepo wao huelekea vita". USISAU KWAMBA LEO UTAKUTANA NA MAADUI WA AMANI YAKO.MAADUI WAFURAHA YAKO. MAADUI HAWA NIWANAMNAGANI? ADUI YAKO WAKWANZA WAFURAHA YAKO NIMTAZAMO WAKOMWENYEWE JINSI UNAVYOCHUKULIAMAMBO.KAMA UTAKWAZIKA KWAKILA KWAZO UTAKALO KUTANANALO LEO USITEGEMEE KUWA NAFURAHA.LAZIMA UWE MPOLE ILI UJIFURAHISHE KWAAMANI NYINGI LEO.ADUI WAPILI WA AMANI YAKO NIWALE WAKWAZAO.MAKWAZO LEO YATAKUJIA LAKINI JINSI UTAKAVYO YAPOKEA NDIVYO ITAAMUA FURAHA YAKO.LINDA AMANI YAKO NAFURAHA KWAGHALAMA YOYOTE. NAIONA SIKU YAKOLEO IKIWA NZURI. Nataka nikuongoze maombi haya 1. Sema. EEMUNGU. SEMA TENA. EEMUNGU. NAOMBA UNIWEZESHE LEO KUWAMPOLE ILI NIWEZE KUJIFURAHISHA KWAAMANI NYINGI 2. ROHOMTAKATIFU NISAIDIE KUTOKUWACHUKIA MAADUI WAAMANI YANGU LEO WALE WAKWAZAO. NIPEKUWAPENDA 3. NATEKETEZA KWAMOTO MAPEPO YALIYO TUMWA NAKUZIMU KUJA KUNIHARIBIASIKU.NAYATEKETEZA KWAJINA LAYESU KRISTO. NAPOKEA HISIA YA AMANI.NAPOKEA ULINZI WAAMANI YANGU. "kama upo mahali pautulivu piga magoti usali sara hii. Ukiwa umepiga magoti weka mkono wako mmoja kwenye moyo TAMKA,Mfalme waamani Yesu Kristo niwekee mkono wako kwenye moyo wangu leo sitaki kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa fura na amani. SHUKURU SASA KWADAKIKA CHACHE,Mwambie Mungu asante kwa Neno la Ufunuo la leo. Endelea tu kusema asante. kuna nguvu ya maombi itakushukia hapo sasahivi". USHAURI. 1.KAMA HUJAWAHI KUOKOKA FANYA MAAMUZI LEO YAKUOKOKA 2.KAMA UNASIKIA AMANI MOYONI YA KUTOA SADAKA KULINGANA NAVILE UNAVYO SIKIA MOYONI CHOMBO CHA SADAKA KIKO HAPO KARIBU YAKO NACHO NI M-pesa 0763359745 na TIGO-pesa 0712583194 na AC NO.0152274542500 CRDB jina la ac ni ARAM JAPHETI KAYENGELA. 3.USHAURI WA TATU. IJUMAPILI UNAWEZA KUFIKA KANISANI KWETU tuko Chanika unapita gomgolamboto. ibada tunaanza mapemasana saamblinarobo ukiwahi itakuwa vizuri maanautakuwa umeiwahi ibabada nzuri yamaombi. Ukifika chanikamwisho unapandachukua pikipiki ili urahisishe dakika 4 tu unakuwa umefika kanisani.mwambie akulete Lukooni karibu nashule yamsingi yalukooni. Utaliona kanisa limejengwa kwatofali nalimepigwaranginyeupe kwainje na linapaambili halafu kuna ofisi yenye bati zabluu. Amina. Tuonane ibadani. Endelea kufuatiilia kesho NENO LA UFUNUNUO LAKILA SIKU . Usisahau hili;"Sadaka yako leo niyamuhimu sana kwaajili yakufanikisha kazi ya Mungu wako. Amani iwe nawe LEO. Amina
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LALEO/MKATE WALEO WARO YAKO tazama Zabur 37:11"Bali wenyeupole watailithinchi. Watajifurahisha kwawingi wa amani " UNGEPENDA LEO UJIFURAHISHE KWA WINGI WA AMANI? KWANZA KUMBUKA HILI,IKO KANUNI RAHISI YAKUWA NAAMANI NA FURAHA LEO. MUNGU ANASEMA,WENYE UPOLE WATAJIFURAHISHA KWAWINGI WAAMANI. KANUNI NIRAHISI. "Uwe mpole leo ili upewe amaninyiingi" .Tazama zabr 120:7"Mimi niwaamani bali ninepo wao huelekea vita". USISAU KWAMBA LEO UTAKUTANA NA MAADUI WA AMANI YAKO.MAADUI WAFURAHA YAKO. MAADUI HAWA NIWANAMNAGANI? ADUI YAKO WAKWANZA WAFURAHA YAKO NIMTAZAMO WAKOMWENYEWE JINSI UNAVYOCHUKULIAMAMBO.KAMA UTAKWAZIKA KWAKILA KWAZO UTAKALO KUTANANALO LEO USITEGEMEE KUWA NAFURAHA.LAZIMA UWE MPOLE ILI UJIFURAHISHE KWAAMANI NYINGI LEO.ADUI WAPILI WA AMANI YAKO NIWALE WAKWAZAO.MAKWAZO LEO YATAKUJIA LAKINI JINSI UTAKAVYO YAPOKEA NDIVYO ITAAMUA FURAHA YAKO.LINDA AMANI YAKO NAFURAHA KWAGHALAMA YOYOTE. NAIONA SIKU YAKOLEO IKIWA NZURI. Nataka nikuongoze maombi haya 1. Sema. EEMUNGU. SEMA TENA. EEMUNGU. NAOMBA UNIWEZESHE LEO KUWAMPOLE ILI NIWEZE KUJIFURAHISHA KWAAMANI NYINGI 2. ROHOMTAKATIFU NISAIDIE KUTOKUWACHUKIA MAADUI WAAMANI YANGU LEO WALE WAKWAZAO. NIPEKUWAPENDA 3. NATEKETEZA KWAMOTO MAPEPO YALIYO TUMWA NAKUZIMU KUJA KUNIHARIBIASIKU.NAYATEKETEZA KWAJINA LAYESU KRISTO. NAPOKEA HISIA YA AMANI.NAPOKEA ULINZI WAAMANI YANGU. "kama upo mahali pautulivu piga magoti usali sara hii. Ukiwa umepiga magoti weka mkono wako mmoja kwenye moyo TAMKA,Mfalme waamani Yesu Kristo niwekee mkono wako kwenye moyo wangu leo sitaki kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa fura na amani. SHUKURU SASA KWADAKIKA CHACHE,Mwambie Mungu asante kwa Neno la Ufunuo la leo. Endelea tu kusema asante. kuna nguvu ya maombi itakushukia hapo sasahivi". USHAURI. 1.KAMA HUJAWAHI KUOKOKA FANYA MAAMUZI LEO YAKUOKOKA 2.KAMA UNASIKIA AMANI MOYONI YA KUTOA SADAKA KULINGANA NAVILE UNAVYO SIKIA MOYONI CHOMBO CHA SADAKA KIKO HAPO KARIBU YAKO NACHO NI M-pesa 0763359745 na TIGO-pesa 0712583194 na AC NO.0152274542500 CRDB jina la ac ni ARAM JAPHETI KAYENGELA. 3.USHAURI WA TATU. IJUMAPILI UNAWEZA KUFIKA KANISANI KWETU tuko Chanika unapita gomgolamboto. ibada tunaanza mapemasana saamblinarobo ukiwahi itakuwa vizuri maanautakuwa umeiwahi ibabada nzuri yamaombi. Ukifika chanikamwisho unapandachukua pikipiki ili urahisishe dakika 4 tu unakuwa umefika kanisani.mwambie akulete Lukooni karibu nashule yamsingi yalukooni. Utaliona kanisa limejengwa kwatofali nalimepigwaranginyeupe kwainje na linapaambili halafu kuna ofisi yenye bati zabluu. Amina. Tuonane ibadani. Endelea kufuatiilia kesho NENO LA UFUNUNUO LAKILA SIKU
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LAUFUNUO LALEO Tazama zabur 119:165"wana amani nyingi waipendao sheria yako,Wala haewana lakuwakwaza" JE,UMEKWAZIKA? JE,KUNAJAMBO LIMEKUKWAZA? JE,UNAAMANI NYINGI?JE,MOYONI KUMEVURUGIKA? tazama katika zabur 119:162"Naifurahia ahadi yako,Kamaapataye matekamengi" JE, AHADI YANENO UNAIFURAHIA KULIKO CHOCHOTE? UNAFURAHIA AHADI KULIKO MKE.WATOTO.PESA.UMAALUFU.MUME.CHEO.NGUO.JE,UNAFURAHIA AHADI ZAMUNGU KULIKO HATAJINSI UNAVYO JIFURAHIA MWENYEWE? UKIIFURAHIA AHADI YAMUNGU LEO KULIKO KITU CHOCHOTE INAMAANISHA KWAMBA LEO HUTAKOSA AMANI.LEO UTAKUWA NAAMANI NYINGI WALA HALITAKUWEPO LA KUKUKWAZA. HALLELUYA! ANGALIA HAPA zabur 119:164"marasaba kila siku nakusifu,kwasababu yahukumu zahaki yako"WENGINE KUTWA WANALALAMIKA ZAIDI YAMARA SABA,HII NIKWASABABU WAMEVIKUZA VITU NA KUVITHAMINI KULIKO AHADI ZA MUNGU. SHIKA MOYO WAKO NIKUOMBEE.HATA MIMI NILIKUWA HIVYO MIAKA MICHACHE ILIYO PITA. NILIKUWA SIWEZI KUIFURAHIA SIKU KWAMAANA FURAHAYANGU ILITEGEMEA VITU.HAIKUTEGEMEA AHADI YA NENO. NINAPO KUOMBEA ITABIDI UPOKEE KWAIMANI. NIKOMBALI NAWEWE KWAJINSI YAKIBINADAMU LAKINI ISAYA 55:6MUNGU YUKO HAPO KARIBU YAKO.NAONA UPENDO WAMUNGU ULIVYO KWAKO.NIKWELI UMEJERUHIWA SANA.UMEUMIZWA NAWATU AMBAO HUKUWATARAJIA LAKINI KUNAKITU BWANAYESU ANAENDA KUFANYAKWAKO SASAHIVI.NGUVU YAMUNGU INATEMBEA HAPO ULIPO.INAKUPA NEEMA YAKUVUKA.INAKUPA MATUMAINI MAPYA.INAKUPANJIA. BABA ULIYE HAI LEO NISIKU YAMTU HUYU ACHILIAKWAKE ROHOWAKO WAAMANI NAFURA NA UONDOE KWAKE ROHO WAMAJONZI NAKUKATA TAMAA.BWANA YESU MSHIKE MKONO MWANAO SASAHIVI NAUMUONDOE KWENYE KIFUNGO CHAKUKOSAMATUMAINI KATIKA JINA LA YESUKRISTO. AMINA *NIMEKUWA NIKIFANYA HUDUMA HIZI ZA MAOMBEZI KWAWATU WALIOKARIBU NA WALIOKOMBALI NDANI YA NCHI NANJE YANCHI KWANJIA YA SIMU.+255763359745/+255712583194 kama Rohomtakatifu atakusukuma kutoa shukurani kwa huduma yaleo TUMA KWA jina la Akaunt ARAM JAPHET KAYENGELA benk ya CRDB BRANCHI YA LUMUMBA AC NO. 1152274542500 UKISHA TUMA UNIJULISHE ILI TUOMBEPAMOJA KWAAJILI YA SADAKAYAKO. AMINA. NAIONA SIKU YAKO IKIWANZURI. Tuonane kesho tena mahali hapa www.nenolaufunuo.blogspot.com
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LA UFUNUO LA LEO: YOHANA 14:27 "Amani nawaachieni;amaniyangu nawapa;niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo" YESU ANATOAJE AMANI. ULIMWENGU UNATOAJE AMANI. UKIMPOKEA YESU MOYONI KWAMISINGI YA KUSUDI LAKE LA NENOLAUFUNUO,UNAKUWA UMEPOKEA AMANI. ISAYA 9:6 "Yeye anaitwa Mfalme wa amani" 57:21 "Hapana amani kwa wabaya;asema Mungu wangu" KAMA LEO UTAONYESHA UBAYA KWANAMNA YOYOTE UTAIKOSA AMANI. MFALME WA AMANI NI YESU,NA ADUI WA AMANI NISHETANI.SHETANI NI UOVU.UKIFANYA UOVU UNAVAA CHAPA YA SHETANI. UFANYE NINI UKITAKA KUIONA SIKUYALEO KUWA NZURI? 1Petr 3:10-12"Kwamaana,atakaye kupenda maisha,Nakuona sikunjema,Auzuie ulimi wake usinene mabaya,Namidomo yake isiseme hila,Na aache maya atende mema,Atafute amani aifuate sana. Kwakuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki namasikio yake huyaelekea maombi yao; Bali uso wa Bwana nijuu yawatenda mabaya" UNATAKA SIKU YAKO YA LEO IWE NZURI? BASI,SHIKA TU NENO LA UFUNUO LALEO. Fanya maombi haya kwa imani. 1.Sema Eee Bwana Yesu Mfalme wa amani,ninakupenda. Nataka siku yangu yaleo iwenzuri kuliko yajana. 2. Mshale wakuondoa amani juu yangu leo ninauvunja kwa moto wa Roho mtakatifu ktk Jina la Yesu Kristo 3. Nakataa kumchukia yeyote atakayetumiwa leo kujaribu kuiondoa furaha ysngu kwa kuniletea maudhi na makwazo. AMINA. *Maelekezo kwa ufupi. USIWAZE MAMBO YANAYO KUONDOLEA FURAHA,BALI YALE YANAYO ONGEZA FURAHA YAKO-Filip 4:8) MTAFUTE APOSTLE ARAM J. KAYENGERA AMBAYE NDIYE KIONGOZI MKUU MWANZIRISHI WA HUDUMA YA NENO LA UFUNUO YENYE MAKAO YAKE MAKUU DSM CHANIKA IKIWA NA MATAWI NDANI YANCHI NANJE YA NCHI. ATAKUSAIDIA SANA KWENYE ENEO HILI LA KUITUNZA AMANI YAKO NA FURAHA YA KILA SIKU. UNAWEZA KUONANA NAYE USO KWA USO UKIFANIKIWA KUFIKA KANISANI AU UNAWEZA KUONGEA NAYE MOJA KWAMOJA KWANAMBA. 0763359745/0712583194
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LA UFUNUO LA LEO: YOHANA 14:27 "Amani nawaachieni;amaniyangu nawapa;niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo" YESU ANATOAJE AMANI. ULIMWENGU UNATOAJE AMANI. UKIMPOKEA YESU MOYONI KWAMISINGI YA KUSUDI LAKE LA NENOLAUFUNUO,UNAKUWA UMEPOKEA AMANI. ISAYA 9:6 "Yeye anaitwa Mfalme wa amani" 57:21 "Hapana amani kwa wabaya;asema Mungu wangu" KAMA LEO UTAONYESHA UBAYA KWANAMNA YOYOTE UTAIKOSA AMANI. MFALME WA AMANI NI YESU,NA ADUI WA AMANI NISHETANI.SHETANI NI UOVU.UKIFANYA UOVU UNAVAA CHAPA YA SHETANI. UFANYE NINI UKITAKA KUIONA SIKUYALEO KUWA NZURI? 1Petr 3:10-12"Kwamaana,atakaye kupenda maisha,Nakuona sikunjema,Auzuie ulimi wake usinene mabaya,Namidomo yake isiseme hila,Na aache maya atende mema,Atafute amani aifuate sana. Kwakuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki namasikio yake huyaelekea maombi yao; Bali uso wa Bwana nijuu yawatenda mabaya" UNATAKA SIKU YAKO YA LEO IWE NZURI? BASI,SHIKA TU NENO LA UFUNUO LALEO. Fanya maombi haya kwa imani. 1.Sema Eee Bwana Yesu Mfalme wa amani,ninakupenda. Nataka siku yangu yaleo iwenzuri kuliko yajana. 2. Mshale wakuondoa amani juu yangu leo ninauvunja kwa moto wa Roho mtakatifu ktk Jina la Yesu Kristo 3. Nakataa kumchukia yeyote atakayetumiwa leo kujaribu kuiondoa furaha ysngu kwa kuniletea maudhi na makwazo. AMINA. *Maelekezo kwa ufupi. USIWAZE MAMBO YANAYO KUONDOLEA FURAHA,BALI YALE YANAYO ONGEZA FURAHA YAKO-Filip 4:8) MTAFUTE APOSTLE ARAM J. KAYENGERA AMBAYE NDIYE KIONGOZI MKUU MWANZIRISHI WA HUDUMA YA NENO LA UFUNUO YENYE MAKAO YAKE MAKUU DSM CHANIKA IKIWA NA MATAWI NDANI YANCHI NANJE YA NCHI. ATAKUSAIDIA SANA KWENYE ENEO HILI LA KUITUNZA AMANI YAKO NA FURAHA YA KILA SIKU. UNAWEZA KUONANA NAYE USO KWA USO UKIFANIKIWA KUFIKA KANISANI AU UNAWEZA KUONGEA NAYE MOJA KWAMOJA KWANAMBA. 0763359745/0712583194
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
NENO LA LEO TAR 10/06/02015 TAZAMA 1SAMWEL 3:7 Samweli alikuwa hajamjua Bwana maana Nenola Bwana lilikuwa halijafunuliwa kwake. KUMBUKA HILI LEO, "Kama hautapata Neno la Ufunuo hutakaa umjue Mungu. kama wasamalia walikuwa wakimuabudu mungu wasiyemjua-Yoh 4 TUNAKUKARIBISHA UJIUNGE NASI KWENYE NENO LA UFUNUO. Tunapatikana DSM CHANIKA SIMU:0763359745/0712583194 OMBA OMBI HILI: "BABA WAMBINGUNI. TAFADHALI NAOMBA UNIFUNGUE MACHO YAMOYO WANGU ILI SIKU YANGU LEO NIITUMIE VIZURI KWA KULIFUATA NENO LA UFUNUO." AMINA
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-
HUDUMA YA NENO LA UFUNUO INAPENDA KUWATANGAZIA WASOMAJI WOTE WA TOVUTI YETU KWAMBA, KUANZIA LEO NENO LA UFUNUO LITAKUWA LINAPATIKANA KILA SIKU.
- Get link
- X
- Other Apps
By
Unknown
-