MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)
SIKU YA 4: · MIUNGU YA YEZEBELI NA KIZAZI HIKI. - Yezebeli alizaliwa katika familia ya waabudu miungu, wasiomuabudu BWANA MUNGU ALIYEHAI. Baba yake aliitwa Ethbaal ambaye alikuwa Mfalme wa Sidoni. Yezebeli alikuwa na muunga niko wa kishetani tokea akiwa kwa baba yake. Ethbaal babayake Yezebeli kama jina lake lilivyo, alikuwa moja kwa moja amejiunganisha na milango ya kuzimu – hata jina lake akaliunganisha na miungu aliyoiabudu na kuitumikia. Alikuwa mchawi na mshirikina wa viwango. Baada ya miaka 38 ya utawala wa Mfalme Asa, katka Israel – Ahabu alichukua kiti cha ufalme. Ahabu alitafuta mke na kumuoa Yezebeli binti wa Ethbaal aliyekuwamchawi namwenye ibada bandia za kishetani – Ifalme 16:29 – 31. - Yezebeli katika kiwango...
Comments
Post a Comment