KURUDISHWA NYUMA Ukisoma vizuri Mathayo 16;23-unaona kitu muhimu sana cha kujua. Bwana Yesu ana mwambia mwana funzi wake wakaribu- Rudi nyuma yangu shetani,maana u kikwazo kwangu,maana huyawazi yaliyo ya Mungu bali ya wanadamu -Angalia vizuri hapo,hakumwambia- unawaza yashetani -bali- yawanadamu. Hii inamaanisha kwamba, mawazo ya kibinadamu bila Mungu ,nishetani. hatakama hutaipenda taalifa hiyo. Bwana Yesu alipo mwambia Petro Rudi nyuma yangu shetani- hakuwa anamwambia petro,bali shetani-lakini shetni hakurudi nyuma pekeyake-alirudi na Petro. Malanyingi msomaji wangu kinacho kurudisha nyuma kimaisha,kiuchumi,na kiutumishi-siyo wachawi au mapepo au watu,hapana,hayo yanachangia kwa sehemu ndogo sana.Ila niwakati ule unapo beba tabia furani yakishetani ukiwa umeifunika kwa ubinadamu wako- Hiyo nayo ni dalili ya fikra kushambuliwa. POINTI ZIFUATAZO ZITA KUSAIDIA 1.Unapo kuwa kikwazo kwa namna yoyote ile-kilasiku au kilamwaka BWANA YESU ATAKUWA ANA KWAMBIA-RUDI NYUMA YANGU-Haijalis...
Comments
Post a Comment