Leoleoplus,com

NENO LAUFUNUO LA SIKU(LEO) Luka 11:2"Akawaambia,msalipo,sememeni,Baba yetu uliye mbinguni,Jinalako litukuzwe,Ufalme wako uje,Mapenziyako yatimizwe....."NAAMINI UNASHAUKU YAKUONA MAPENZI YAMUNGU YAKITIMIZWA KWAKOLEO.lakini mapenzi yaMungu yatatimizajwe kwako leo? YESU AMESEMA NIMPAKA UFALME WAMUNGU UJEKWAKO.HII INAMAANISHA KWAMBA,MAPENZI YAMUNGU HAYAWEZI KUTIMIZWA POPOTE KAMA BADO UFALME WAMUNGU HAUJASHUKA. UFALME WAMUNGU UKOJE? Angalia Warumi 14:17"Maana ufalme waMungu si kula wala kunywa,bali nihaki naamani,na furaha katika Rohomtakatifu" weka alama hapo,KWAMBA,UFALME WAMUNGU NI HAKI AMANI NAFURAHA KATIKA ROHOMTAKATIFU. OK. HII HUMAANISHA KWAMBA,"Ili ufalme waMunguukujieleo lazima uruhusu "Haki"Amani-kwakuwa hakuna amani bila haki"uruhusu na Furaha katikaRoho mtakatifu" MUNGU AKUBARIKI. LINDA SANA LEO HAKI.AMANI.NA FURAHA YAROHOMTAKATIFU. USIKUBALILEO JAMBOLOLOTE LIKUIBIE FURAHA YAMOYOWAKO KWASABABU ENDAPO UTAPOTEZA FURAHA MOYONIMWAKOLEO.KWANZA ITAKUWARAHISI WEWE KUMUHUZUNISHA ROHOMTAKATIFU.PILI MAPENZI YAMUNGU HAYATATIMIZWAKWAKO KWAMAANA UTAKUWA UKO NJE YAUFALME WAMUNGU.USISAHAU KWAMBA,UFALME WAMUNGU UKIJA NDIPO MAPENZI YAMUNGU YANATIMIZWA.BARIKIWA

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI