Leoleoplus,com

NENO LAUFUNUO LALEO/MKATE WALEO WARO YAKO tazama Zabur 37:11"Bali wenyeupole watailithinchi. Watajifurahisha kwawingi wa amani " UNGEPENDA LEO UJIFURAHISHE KWA WINGI WA AMANI? KWANZA KUMBUKA HILI,IKO KANUNI RAHISI YAKUWA NAAMANI NA FURAHA LEO. MUNGU ANASEMA,WENYE UPOLE WATAJIFURAHISHA KWAWINGI WAAMANI. KANUNI NIRAHISI. "Uwe mpole leo ili upewe amaninyiingi" .Tazama zabr 120:7"Mimi niwaamani bali ninepo wao huelekea vita". USISAU KWAMBA LEO UTAKUTANA NA MAADUI WA AMANI YAKO.MAADUI WAFURAHA YAKO. MAADUI HAWA NIWANAMNAGANI? ADUI YAKO WAKWANZA WAFURAHA YAKO NIMTAZAMO WAKOMWENYEWE JINSI UNAVYOCHUKULIAMAMBO.KAMA UTAKWAZIKA KWAKILA KWAZO UTAKALO KUTANANALO LEO USITEGEMEE KUWA NAFURAHA.LAZIMA UWE MPOLE ILI UJIFURAHISHE KWAAMANI NYINGI LEO.ADUI WAPILI WA AMANI YAKO NIWALE WAKWAZAO.MAKWAZO LEO YATAKUJIA LAKINI JINSI UTAKAVYO YAPOKEA NDIVYO ITAAMUA FURAHA YAKO.LINDA AMANI YAKO NAFURAHA KWAGHALAMA YOYOTE. NAIONA SIKU YAKOLEO IKIWA NZURI. Nataka nikuongoze maombi haya 1. Sema. EEMUNGU. SEMA TENA. EEMUNGU. NAOMBA UNIWEZESHE LEO KUWAMPOLE ILI NIWEZE KUJIFURAHISHA KWAAMANI NYINGI 2. ROHOMTAKATIFU NISAIDIE KUTOKUWACHUKIA MAADUI WAAMANI YANGU LEO WALE WAKWAZAO. NIPEKUWAPENDA 3. NATEKETEZA KWAMOTO MAPEPO YALIYO TUMWA NAKUZIMU KUJA KUNIHARIBIASIKU.NAYATEKETEZA KWAJINA LAYESU KRISTO. NAPOKEA HISIA YA AMANI.NAPOKEA ULINZI WAAMANI YANGU. "kama upo mahali pautulivu piga magoti usali sara hii. Ukiwa umepiga magoti weka mkono wako mmoja kwenye moyo TAMKA,Mfalme waamani Yesu Kristo niwekee mkono wako kwenye moyo wangu leo sitaki kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa fura na amani. SHUKURU SASA KWADAKIKA CHACHE,Mwambie Mungu asante kwa Neno la Ufunuo la leo. Endelea tu kusema asante. kuna nguvu ya maombi itakushukia hapo sasahivi". USHAURI. 1.KAMA HUJAWAHI KUOKOKA FANYA MAAMUZI LEO YAKUOKOKA 2.KAMA UNASIKIA AMANI MOYONI YA KUTOA SADAKA KULINGANA NAVILE UNAVYO SIKIA MOYONI CHOMBO CHA SADAKA KIKO HAPO KARIBU YAKO NACHO NI M-pesa 0763359745 na TIGO-pesa 0712583194 na AC NO.0152274542500 CRDB jina la ac ni ARAM JAPHETI KAYENGELA. 3.USHAURI WA TATU. IJUMAPILI UNAWEZA KUFIKA KANISANI KWETU tuko Chanika unapita gomgolamboto. ibada tunaanza mapemasana saamblinarobo ukiwahi itakuwa vizuri maanautakuwa umeiwahi ibabada nzuri yamaombi. Ukifika chanikamwisho unapandachukua pikipiki ili urahisishe dakika 4 tu unakuwa umefika kanisani.mwambie akulete Lukooni karibu nashule yamsingi yalukooni. Utaliona kanisa limejengwa kwatofali nalimepigwaranginyeupe kwainje na linapaambili halafu kuna ofisi yenye bati zabluu. Amina. Tuonane ibadani. Endelea kufuatiilia kesho NENO LA UFUNUNUO LAKILA SIKU

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI