Leoleoplus,com

NENO LAUFUNUO LALEO Isaya 9:1(a)"Lakini yeye aliyekuwa katikadhiki hatakosa changamko"CHANGAMKO NININI? Changamko nifuraha yamoyo.Changamko niamani yamoyo.Changamko nizaidi yakucheka,kwakuwa unawezakucheka lakini ukiwa hunachangamko moyoni. Changamko nikicheko kitokacho moyoni. MUNGU AKUBARIKI LEO UWE NACHANGAMKO.Hata katika dhiki yako usikose changamko.JISEMEE MWENYEWE "Hata katika dhiki hii sitakosa changamko" KITUGANI LEO KITASABABISHA UPATE CAHANGAMKO LAMOYO WAKO? Taz Zab 119:111"Shuhuda zako nimezifanya ulithi wamilele maana ndizo changamko lamoyo wangu." UMEONA? OK. UMEELEWA? KINACHO LETA CHANGAMKO LAMOYO WAKO NI SHUHUDA ZABWANA. SHUHUDA ZABWANANIZIPI? Kwakweli shuhudaza Bwana Ni Nenolake lililofunuliwa. SHUHUDA ZABWANA NINENO LAUFUNUO. NATAKA LEO UELEWEKWAMBA CHANGAMKO LAMOYOWAKO LITATEGEMEA UTII WAKO JUU YANENO HILI LABWANA LILILOFUNULIWA KWAKO. UMEPATA NENO LAUFUNUO.LIFURAHIE.LIPOKEE KWASHUKURANI.LEO SIKUYAKO IMEKUSUDIWA IWE YACHANGAMKO LAMOYO.nataka nikuombee. Mungu hanamkono mfupi. Atakugusa hapo hapo ulipo. Amini tu uwepo wake. weka mkono eako kwenye moyo wako. Nihakikakwamba kunanguvu yaMungu itakutembelea hapo. Tazma Mungu yuko tayali kukusaidia niwewe tu kuamini uwepo wake. NATAKA UPOKEE MGUSO WANGUVU ZAKE. UPOKEE NURU YACHANGAMKO.UIONE SIKU YALEO IKIWANZURI.KATIKA JINALAYESU KRISTO WANAZARETH UFUNIKWE NAUVULI WAKIUNGU UTAKAO KUFANYA UYASAHAU MAGUMU UNAYO YAPITIA LEO. AMINA AMINA AMINA. Ushauri huu niwamuhimu kwako. Kwanza kama bado hujapata wokovu wakweli amua leo uokoke. Uongozwe sara yatoba. Pili,Kama unasikia moyoni RohoMtakatifu anakupa amani yakutoa sadaka yoyote usisite kufanyahivyo M-pesa ni 0763359745 na TIGO-pesa ni 0712583194 ac no. ni 0152274542500 jina la ac ni ARAM JAPHET KAYENGELA BENK YA CRDB BRANCH YA LUMUMBA DAR ES SALAM. Ubarikiwe. Siku yako iwe nzuri tofauti nayajana. AMINA

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI