Leoleoplus,com

NENO LA UFUNUO LA LEO: YOHANA 14:27 "Amani nawaachieni;amaniyangu nawapa;niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo" YESU ANATOAJE AMANI. ULIMWENGU UNATOAJE AMANI. UKIMPOKEA YESU MOYONI KWAMISINGI YA KUSUDI LAKE LA NENOLAUFUNUO,UNAKUWA UMEPOKEA AMANI. ISAYA 9:6 "Yeye anaitwa Mfalme wa amani" 57:21 "Hapana amani kwa wabaya;asema Mungu wangu" KAMA LEO UTAONYESHA UBAYA KWANAMNA YOYOTE UTAIKOSA AMANI. MFALME WA AMANI NI YESU,NA ADUI WA AMANI NISHETANI.SHETANI NI UOVU.UKIFANYA UOVU UNAVAA CHAPA YA SHETANI. UFANYE NINI UKITAKA KUIONA SIKUYALEO KUWA NZURI? 1Petr 3:10-12"Kwamaana,atakaye kupenda maisha,Nakuona sikunjema,Auzuie ulimi wake usinene mabaya,Namidomo yake isiseme hila,Na aache maya atende mema,Atafute amani aifuate sana. Kwakuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki namasikio yake huyaelekea maombi yao; Bali uso wa Bwana nijuu yawatenda mabaya" UNATAKA SIKU YAKO YA LEO IWE NZURI? BASI,SHIKA TU NENO LA UFUNUO LALEO. Fanya maombi haya kwa imani. 1.Sema Eee Bwana Yesu Mfalme wa amani,ninakupenda. Nataka siku yangu yaleo iwenzuri kuliko yajana. 2. Mshale wakuondoa amani juu yangu leo ninauvunja kwa moto wa Roho mtakatifu ktk Jina la Yesu Kristo 3. Nakataa kumchukia yeyote atakayetumiwa leo kujaribu kuiondoa furaha ysngu kwa kuniletea maudhi na makwazo. AMINA. *Maelekezo kwa ufupi. USIWAZE MAMBO YANAYO KUONDOLEA FURAHA,BALI YALE YANAYO ONGEZA FURAHA YAKO-Filip 4:8) MTAFUTE APOSTLE ARAM J. KAYENGERA AMBAYE NDIYE KIONGOZI MKUU MWANZIRISHI WA HUDUMA YA NENO LA UFUNUO YENYE MAKAO YAKE MAKUU DSM CHANIKA IKIWA NA MATAWI NDANI YANCHI NANJE YA NCHI. ATAKUSAIDIA SANA KWENYE ENEO HILI LA KUITUNZA AMANI YAKO NA FURAHA YA KILA SIKU. UNAWEZA KUONANA NAYE USO KWA USO UKIFANIKIWA KUFIKA KANISANI AU UNAWEZA KUONGEA NAYE MOJA KWAMOJA KWANAMBA. 0763359745/0712583194

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI