Huduma
Mwl. na Mtume Alam J. Kayengela
Amezaliwa Kigoma wilaya ya Kasulu katika Kitongoji cha Mwilavya.
Mpaka kufikia mwaka 2012 yeye na mkewe Dorkas wamebarikiwa baraka za kuwa na watoto watatu;
1. Atukuzwe,
2. Utukufu na
3. Utakaso.
Watoto wote watatu ni wakiume na wamebarikiwa kuwa na afya njema.
- Mtumishi huyu anapokea mialiko ya kuhudumu bila ubaguzi wowote wa kidini, au kidhehebu katika makongamano na mikutano mbali mbali pamoja na semina ndni na nje ya nchi.
- Ni mwalimu aliyepewa neema ya neno la ufunnuo kwa ajili ya kulisaidia kanisa la kizazi hiki ulimwenguni
- Mungu amempaka mafuta yakusaidia watumishi wa Mungu kwa namna mbalimbali kiroho katika kizazi hiki.
- Mtumishi huyu ni mmoja ya watumishi waliopata neema ya pekee ya uandishi wa vitabu vyenye mguso dhahiri wa kiroho. Ni mmoja ya watumishi wanaoandika vitabu kwa kuambiwa na kuongozwa Muungu moja kwa moja. Mpaka sasa ameandika vitabu vifuatavyo;
1. KUPIGA VITA VIZURI VYA IMANI DHIDI YA JESHI OVU LA HILA ZA SHETANI
2 . MAOMBI YAKUSAMBARATISHA MAJESHI YA ROHO ZA KICHAWI.
3 . CHUKUA NAFASI YA KUJITAMBUA WEWE NI NANI NDANI YA KRISTO.
4 . HAYA NI MAOMBI YALIYOTHIBITISHWA
(MWILI WAKO NI MNYORORO MKUU UNAOKUFUNGA USIWEZEKUTEMBEA NA MUNGU KATIKA WINGU LA UPAKO WA MAOMBI MWAKA HUU)
(MWILI WAKO NI MNYORORO MKUU UNAOKUFUNGA USIWEZEKUTEMBEA NA MUNGU KATIKA WINGU LA UPAKO WA MAOMBI MWAKA HUU)
5 . KUITAMBUA SAUTI TYA MUNGU.
6 . ZITAMBUE BAADHI YA ROHO 76 ZINAZOTESA KIZAZI HIKI.
7 . BAADHI YA NJIA 30 AMBAZO MUNGU ANAZITUMIA KUSEMA NA WATU.
8 . CHUKUA TAHADHARI JUU YA MNYAMA KATILI ACHINJAE NA KUANGAMIZA (KIBURI).
8 . CHUKUA TAHADHARI JUU YA MNYAMA KATILI ACHINJAE NA KUANGAMIZA (KIBURI).
Comments
Post a Comment