NENO LA UFUNUO KUHUSU KIFO-sehemu ya 3

1.UTAJUAJE KIFO CHAKO KITAKUWA CHA AIBU AU KITAKUWA KIFO KIBAYA? 2.UTAJUAJE UNAENDA KUFA KIFO CHA KISHUJAA? 3.UTATUAJE UTAFUFULIWA NA PARAPANDA SIKU YA UNYAKUO? UFAFANUZI Nivema nianza kwa kukutia moyo ili kukuondolea mashaka kuhusu ujumbe huu. Wengine husema-mtu anawezaje kujua siku yake yakufa? kuwaza hivyo nisawa na kujaribu kumpinga Mungu bila wewe kujua. Natka nikuhakikishie kwamba,kila ujumbe wakweli unao toka kwa Mungu lazima uwe namsingi katika Neno la Mungu. Msingi wa ujumbehuu wa Neno la ufunuo kuhusu kifo ni AMOSI 3;7 Mungu hata fanya neno LOLOTE bila kuwafunulia watumishi wake. Umesha tafakali vizuri Isaya 38;1-6?-hivyo ndivyo Mungu anavyo fanya-ANAKUJULISHA HATA KUHUSU KUFA KWAKO. Changamoto nikwakwamba,kama Mungu haja kuunganisha na mtumishi aliye pewa Neno laufunuo-utakuwa gizani sana,kiasi cha mambo kuku tokea bila taalifa. Angalia vizuri Malaki 1;1 Neno la UFUNUO lilimjia malaki kwa ajili ya Israel-Nilazima uwe na Malaki wako ambaye kwa yeye Mungu anakufikishi...