TAABU YAKILAKITU KUWACHEMA KWA WAKATI WAKE
Muhubiri 3;10-11-Mungu amefanya kila kitu kuwa chema kwa wakati wake-Hiyo ni taabu ambayo amewapa wanadamu chini yajua.
-Nitaabu kwawanadamu kwasababu karibu kila mwanadamu kabla hajapata Neno la Ufunuo vizuri,anahulka ya kutaka vitu vizuri hata kabla yawakati wake.Hawezi kujua kwamba,Mungu amefanya kila kitu kuwa kizuri kwa wakati wake.
-Unapo taka utajiri kabla ya wakati wake-umejiingiza kwenye taabu ya nafsi yako
-Unapo taka kuoa au kuolewa kabla ya wakati wake-mwenyewe umejiingiza kwenye taabu
-Unapo taka ufunguliwe kanisa kabla ya wakati wake-ujue umesha anza kutaabika
MAANA YAKE NINI MANENO HAYO?
Hata kwa mifano hai unaweza kupevuka
Mfano-kijiko ni kizur kwa wakati wake-je,wakati wake ni upi? niwakati wa kula
-Chakula nikizuri kwa wakati gani hasa? jibu nirahisi-niwakati wa njaa
-Ikuzote kumbuka Neno hili katika Isaya 28;16-Mungu anasema-Aaminie hatafanya haraka. Sasa hapa anamaa nisha kwamba,kutokutaka vitu vifanyike haraka hasa vile ambavyo hauna uwezo navyo-hiyo ni dalili ya imani.
-Kubaki kwenyemaumivu yanayo kufanya usubiri wakati wa furaha yako-hiyo niimani impendezayo Mungu wako.
UBARIKIWE-ENDELEA KUFUATILIA HAZINA HIZI ZA KIUFUNUO. ukiwa na swali piga-0763359745 au 0712583194

Comments
Post a Comment