Leoleoplus,com

NENO LA UFUNUO KUHUSU KIFO-sehemu ya 3

1.UTAJUAJE KIFO CHAKO KITAKUWA CHA AIBU AU KITAKUWA KIFO KIBAYA?

2.UTAJUAJE UNAENDA KUFA KIFO CHA KISHUJAA?

3.UTATUAJE UTAFUFULIWA NA PARAPANDA SIKU YA UNYAKUO?

UFAFANUZI

Nivema nianza kwa kukutia moyo ili kukuondolea mashaka kuhusu ujumbe huu. Wengine husema-mtu anawezaje kujua siku yake yakufa? kuwaza hivyo nisawa na kujaribu kumpinga Mungu bila wewe kujua. Natka nikuhakikishie kwamba,kila ujumbe wakweli unao toka kwa Mungu lazima uwe namsingi katika Neno la Mungu. Msingi wa ujumbehuu wa Neno la ufunuo kuhusu kifo ni AMOSI 3;7 Mungu hata fanya neno LOLOTE bila kuwafunulia watumishi wake. Umesha tafakali vizuri Isaya 38;1-6?-hivyo ndivyo Mungu anavyo fanya-ANAKUJULISHA HATA KUHUSU KUFA KWAKO.
Changamoto nikwakwamba,kama Mungu haja kuunganisha na mtumishi aliye pewa Neno laufunuo-utakuwa gizani sana,kiasi cha mambo kuku tokea bila taalifa. Angalia vizuri Malaki 1;1 Neno la UFUNUO lilimjia malaki kwa ajili ya Israel-Nilazima uwe na Malaki wako ambaye kwa yeye Mungu anakufikishia Neno lake la Ufunuo. Neno la ufunuo nizaidi tu,yamahubiri ya kawaida.Omba Mungu akuunganishe na mtumishi wa namna hiyo-utashangaa ulimwengu wako wa roho uta kuwa mpya kila siku.

1.UTAJUAJE KIFO CHAKO KITA KUWA CHA AIBU AU KITAKUWA KIFO KIBAYA?

-Kumbuka kwanza hili;
-Huwa kuna kifo kibaya na kifo kizuri-pia kuna kifo cha waovu na kifo cha wenye haki-Hes 23;10 na 2Samw 3;31-34-Abineli alikufa kifo kama cha waovu-kifo kibaya. kifo cha kuuawa

a.Unapo anza kupoteza umakini wa kutembea na kusudi-unakufa kifo kibaya cha aibu-Abineri aliitwa faraghani kwenda kuuawa

b.Unapo ishi kwa kufuata mashauri yako mwenyewe bila kuzingatia kile unacho onywa na babayako wa kiroho anaye kuonya kwa msingi waNenola Mungu-utakufa kifo cha aibu au kifo kibaya. Jifunze kwa huyu mtu wa Mungu tena alikuwa mtumishi mzuri mbele za Mungu,angalia vizuri kile kilcho mkuta-1falme 13;1-32-maiti yake ili kutwa balabalani-unadhani nikifo kizuri hicho?

c.Ukianza kuishi kwa kutegemea zaidi watu kuliko Mungu unakuwa unajiweka kwenye nafasi ya kufa kifo kibaya-Angalia habali za mfalme Asa. 2Nyakati 16;1-15 mst wa 12 Asa,akashikwa na ugonjwa-ugonjwa ukazidi Akafa. Alikufa akiwa amezidiwa. Ali uawa namaumivu makali ya ugonjwa ulio zidi-usifikiri hicho nikifo kizuri. Unakufa unagugumia kwa maumivu makali

2.UTAJUAJE UNAENDA KUFA KIFO CHA KISHUJAA?

a.Unapo kufa kifo cha taratibu huku ukiitetea injiri ya kweli
b.Unapo kufa katikati ya mateso ya injiri-soma vizuri matendo 7;1-60

UTAJUAJE UTAFUFULIWA NAPARA PANDA SIKU YA UNYA KUO?

a.Kama uli kufa katika kristo
b.Kama ulikufa katika wokovu wa kweli-1Thes 4;13-18

                                                                   Mwalimu na Mtume
                                                               ALAM J.KAYENGELA
                                          Kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo

UNAKARIBISHWA KWENYE IBADA AZIFANYAZO
Jinsi ya kufika kwa urahisi
piga-0763359745 au 0712583194




Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI