Leoleoplus,com

NENO LA UFUNUO KUHUSU KIFO-Sehemu ya 2

1.UTAJUAJE SIKUYAKO YAKUFA UTACHUKULIWA NA JINI?

Kumbuka hili sikuzote ee msomaji wangu-kwamjibu wa Hesabu 23;10-nidhahiri kwamba,kuna kifo cha mwenye haki nakifo cha mwovu. Swali zuri-UTAJUAJE SIKU YAKO YA KUFA UTACHUKULIWA NA JINI?
Ok-unakumbuka habari ya tajiri mwovu na Lazolo mcha Mungu?-Luk 16;19-31. Angalia vizuri mst wa 22-Lazalo alipo kufa akachukuliwa na Malaika mpaka kifuani mwa Iblahimu,na tajiri naye akafa akazikwa-unafikiri alichukuliwa na nini? jibu nirahisi sana-Jini
Hii nikwa sababu kuna aina furani la majini ambayo kazi zao nikuchukua na kusafirisha roho zawatu walio fia dhambini.

KWAHIYO UTAJUAJE KWAMBA,SIKU YAKO YAKUFA UTACHUKULIWA NAKUSAFIRISHWA NA JINI?

A.Unapo ishi kwa kupenda anasa
-Hiyo nikwa mjibu wa Luk 16;19-31-imethibishwa zaidi kwenye Ezekiel 28;10,na Isaya 47;8-9

2.UTJUAJE MUDA WOWOTE UNAWEZA KUFISHA?

A.Unapo acha kwa makusudi kumuunga mkono babayako wakiroho juu yamambo furani ya Mungu mpaka yanakufa bila kufanikiwa-Esta 4;12-14 na 1samweli 15;33-kunajambo kwenye mistali hiyo.

B.Unapo acha kwa makusudi kutumia uwezo wako kuzuia kazi ya Mungu isife kwa kukosa kile ambacho ungeweza kufanya-Ezra 10;4 na Ruth 1;5-katika hili,wakati Mtume A.J.Kayengela alipo kuwa akifundisha jana,alitoa mfano rahisi akasema-NIHATALI SANA KANISA KUKOSA VITI VYA KUKALIA WAKATI UNAUWEZO WA KUNUNUA VITI HIVYO. AU UNAUWEZO WA KUNUNUA BATI LAKINI WATU WA MUNGU WANANYESHEWA NAMVUA AU KUPIGWA NAJUA-KISA ETI,UMESUBIRI WAKUTANGAZIE MCHANGO-kwa namna hiyo,muda wowote unaweza ukaji andaa kufisha mtu wa karibu yako

3.UTAJUAJE HUTAKUFA MAPEMA?

A.Unapo fika hatua ya kuishi kwa kusudi duniani-Matendo 13;36 na 1wafalme 1;1,na2;1-11-Daudi alifikia uzee wakikongwe kwa kuwa ali kuwa na kusudi maalumu duniani

B.Maiyako yanapo kuwa furaha ya wengi-soma kwa usikivu wafilipi 1;21-26

C.Unapo tunza mahusiano yako vizuri na baba yako wakiroho-wafilipi 2;25-27-nini unaonahapo kwenye hiyo mistari? nijambo la ajabu.Epafradito mtenda kazi wa karibu sana wa mtume Paulo,aliugua nusu kufa,akaponywa kwasababu ya uhusiano wake mzuri alio kuwa nao na mtume Paulo babayake wa kiroho.
Usipo ijua siri hii,hata kama unaupako kiasi gani mbele za Mungu unaweza ukafa kabla ya wakati. Tunza sana hilo.

UFUNUO WA UJUMBE WA SOMO HILI UNAENDELEA,USIACHE KUFUATILIA

                                      AMINA



Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI