NENO LA UFUNUO JUU YA KIFO
1.UTAJUAJE KWAMBA KARIBU UNAKUFA?
A.Unapo kataa uzima-Yoh 5;40 hii inamaanisha,Unapo amua kukataa wokovu.Unapo fanya mzaha na wokovu,au kufanyamchezo na wokovu-Mfano-Matendo 5;1-11-Anania na mkewe,walikubwa na kifo walipo kuwa kwenye mazingira ya namna hiyo-yaani kucheza na wokovu.
Mfano mwingine ni habali ya mfalme Hezekia kwenye Isaya 38;1-5.-Taalifa ya kifo chake ilikuwa wazi sana kama hivyo. Katika 2Nyakati 32;25 na Isaya 39,Mfalme huyu alikuwa na tabia furani kwenye moyo wake,hata hiivyo alikuwa na hali furani ya kucheza na Neema aliyo pewa na Mungu.
B.Unapo jiachilia kwenye Uchoyo,Uchungu,Hasira,Kisasi,Uradfi,Wivu-Vitu hivi husababisha maumivu ya Nafsi na kuharibu mzunguko wa uhai wako-katika Efeso 4;30-31-Roho mtakatifu ana sema Mmbohayo usiyaruhusu. Nakatika Ayubu 21;25-mtu hufa katika uchungu wa roho yake asione mema-kwa ujumla nikwamba,vitu hivyo vinaua haraka.
2.UTAJUAJE KIFO CHAKO KITAKUWA CHA KUSHITUKIZA
A.Una kuwa mtu wa kupuuzia sauti ya Mungu-Mithali 29;1-kuvunjika ghafra inamaanisha-kufa gafra. Ayubu 36;11-14-unakufa ukiwa bado kijana.-kupuuzia sauti ya Mungu ni jambo gumu sana,tena baya mno. Kupuuzia sauti ya Mungu ni pamoja na Kupuuzia Ibada.
B.Unapo kuwa mshirika wa genge la siri la waasi wanao muasi baba yako wa kiroho-Hesab 16;1-35-Hilo hasa ndo litakuwa fungu lako-KIFO CHA KUSHITUKIZA-unakufa bila kuaga au kutoa usia.
3.UTAJUAJE UKIFA LEO UTAENDA JEHANAMU
A.Unapo kuwa na tabia sugu ya kumuibia Mungu kwa makusudi-Malaki 3;7-12
B.Unapo kuwa na dhambi ya siri usiyo taka kuiacha-mwanzo-31;19,22-35 na 35;16-19-Hyo ndiyo madhara yakuficha dhambi-alikufa wakati akizaa.
C.Unapo kuwa mgumu kubadirika-mithali 29;1
Msomaji-karibu kwenye Ibada ambazo Apostle A.J.Kayengela amekuwa akifanya,zimeambatana na Neema na Baraka
WIKI IJAYO ATA KUWA ANA ZUNGUMZIA JUU YA
1.UTAJUAJE SIKUYAKO YAKUFA UTACHUKULIWA NA JINI?
2.UTAJUAJE MUDA WOWOTE UNAWEZA KUFISHA?
3.UTAJUAJE HUTA KUFA MAPEMA
Haya ndiyo ata kayo kuwa

Comments
Post a Comment