MWENDELEZO WASOMOLETU
5.FAIDA YA MAUDHI -Haipaswi kusahaulika kwamba,maudhi yanafaida.Hii ni hekima kwa watu waainafurani,walio pevuka kiroho. -Maudhi yanafaida zifuatazo, 1.Nifundisho toka kwa Mungu linalo kufanya ukue katika viwango vya kusamehe bure-Isaya 48;17 2.Maudhi yanakuthibitisha kwamba,wewe nimti wenye matunda mazuli-Mathayo 3;8,10 -Usisahau kwamba,kilamti wenye matunda lazima upigwe mawe 3.Maudhi yanakutambulisha kwamba,wewe ni mtaua-2Timo 3;12 -Mtaua nimtu aliye teuliwa na Mungu,ni mtu aliye takaswa au kutengwa 4.Maudhi yanaonyesha nikwa kiasi gani Mungu anakuonyesha kwamba,unapita kwenye kielelezo cha maisha ya Bwana Yesu Kristo-Yoh 5;16,15;20-21 5.Nimaudhi ndiyo yanayo onyesha kiwawango cha ustahimilivu wako wakushinda mabaya kwa wema-1kor 4;12,Rumi 12;21. 6.Nikwa njia yamaudhi,Mungu ana kuwa ana kuonyesha kwamba,sasa ume anza kuwa mtu wa kiroho-Galatia 2;29,napia,anakuwa anakuambia kwamba,ume zana Roho mtakatifu-Yoh 3;5-6 7.Maudhi yanaonyesha kwamba,umepata kibali kwa Mung...