BAADA YAMAOMBI
4.UFANYEJEILIUYASHINDEMAUDHI
1.Usiyafikiliemalakwamala-Filip-4;8-9
2.Usiyaluhusuyakaekwamudamrefumoyonimwako-Efes 4;26
3.Chukua tahadhari,maudhi yasikufanye usahau hata jambo moja jema ulilofanyiwa nahuyo anaye kuudhi-muhub 7;9
4.Usifanye haraka kuvunja ushirika kwasababu yamaudhi,huo niutoto na niujinga-muh 10;8
-kuvunja ushirika nisawa nakubomoa boma,nyoka atakuuma.
5.Toa onyo-Rum 15;14,Ebr 3;13,10;25
-Hii inaonyesha kwamba,unapofikia kiwango cha kumuonya mwenzio cha kumuonya mwenzio ktk Bwana,unaonyesha hatua furani ya kukua kiroho.
6.Elewa haraka,kusudi lashetani kukuletea maudhi,niili,kufarakanisha,kuvunja ushirika n.k Gar 3;1-5
7.Wakati wamaombi,jifunze kukumbuka kuyapeleka hayo maudhi mbele za Bwana-1petr 5;6-7

Comments
Post a Comment