NENO LA UFUNUO LA WIKI HII KWA KANISA LA ULIMWENGU.
-->
-->
-->
Baada ya maombi ya muda mrefu hii inasisitza hasa ni nini
unatakiwa kuelewa baada ya kumaliza maombi ya muda mrefu. Si wengi wanao elewa
vema umuhimu wa jambo hili,
1.Inapaswa kuelewa kwamba mara tu unapo maliza maombi ya
muda mrefu MUNGU anakufuatilia sana kabla hajakujibu fuatilia vizuri Mathayo 26:36- 41
Unagundua kua YESU mara tatu aliwafuatilia baada ya kuuwaambia waombe.
MAMBO 3 AMBAYO MUNGU
ANAFUTILIA UNAPO MALIZA MAOMBI YA MUDA MREFU;
1. Maneno yako
2. Imani yako
3. Utakatifu wako
-->
SEHEMU 2 SHETANI ANAKUFUATILIA
KWA UKARIBU UNAPO MALIZ MAOMBI YA MUDA MREFU
Watu wengi
baada ya maombi wasipo pata majibu yao, watashambuliwa sana na mwovu
nahii ni kwasababu ya udhaifu wao wa
kutojua soma vizuri Mathayo 14:22 – 31, baada ya Petro kuwasilisha ombi
lake kwa BWANA YESU kwa karibu sana
shetani alimfutilia akiwa amejificha kwenye mawimbi makali ya maji lengo lake kubwa lilikuwa ni
kuhakikisha Petro hapokei jibu lake.
BAADHI YA MAMBO AMBAYO SHETANI
HUYATUMIA KUFUATILIA MAOMBI YAKO
1. Atafanya kila mbinu moyo wako kila siku
kupitia vikwazo
2. Kila hali za kukatisha tama ataziruhusu
zikupate kila siku
3. Mafarakano katika ndoa yako na hata ofisini
kwako.
Hiii kwa sehemu tu ya neon la wiki hii. MUNGU AKUBARIKI SANA
Usikuose kufika
nyumbani mwa BWANA WIKI HII
Comments
Post a Comment