Leoleoplus,com

MWENDELEZO WASOMOLETU

5.FAIDA YA MAUDHI

-Haipaswi kusahaulika kwamba,maudhi yanafaida.Hii ni hekima kwa watu waainafurani,walio pevuka kiroho.
-Maudhi yanafaida zifuatazo,

1.Nifundisho toka kwa Mungu linalo kufanya ukue katika viwango vya kusamehe bure-Isaya 48;17

2.Maudhi yanakuthibitisha kwamba,wewe nimti wenye matunda mazuli-Mathayo 3;8,10
-Usisahau kwamba,kilamti wenye matunda lazima upigwe mawe

3.Maudhi yanakutambulisha kwamba,wewe ni mtaua-2Timo 3;12
-Mtaua nimtu aliye teuliwa na Mungu,ni mtu aliye takaswa au kutengwa

4.Maudhi yanaonyesha nikwa kiasi gani Mungu anakuonyesha kwamba,unapita kwenye kielelezo cha maisha ya Bwana Yesu Kristo-Yoh 5;16,15;20-21

5.Nimaudhi ndiyo yanayo onyesha kiwawango cha ustahimilivu wako wakushinda mabaya kwa wema-1kor 4;12,Rumi 12;21.

6.Nikwa njia yamaudhi,Mungu ana kuwa ana kuonyesha kwamba,sasa ume anza kuwa mtu wa kiroho-Galatia 2;29,napia,anakuwa anakuambia kwamba,ume zana Roho mtakatifu-Yoh 3;5-6

7.Maudhi yanaonyesha kwamba,umepata kibali kwa Mungu-Mwz 4;1-7

8.Maudhi yana kuhakikishia kwamba,ufalme wa Mungu niwako-Math 5;10

9.Maudhi,nitangazo la ukuu wako ulioko mbele yako-Mfano, Isaka-ali udhiwa tangu akiwa mdogo-Mwz 21;9-Angalia pia Yusufu-Mwz 37;1-36, 39;1-23, 41;41........Habali za Bwana Yesu pia Math 2 Bila kumsa hau mtume Paulo
-Maudhi waliyo yapata yalikuwa yana tangaza ukuu wao ulio kuwa mbele yao.


 Mungu akubariki-Endelea kufuatilia Neno la ufunuola kila wiki

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI