Leoleoplus,com

SEHEMU YA PILI

KURUDISHWA NYUMA

Ukisoma vizuri Mathayo 16;23-unaona kitu muhimu sana cha kujua. Bwana Yesu ana mwambia mwana funzi wake wakaribu-Rudi nyuma yangu shetani,maana u kikwazo kwangu,maana huyawazi yaliyo ya Mungu bali ya wanadamu-Angalia vizuri hapo,hakumwambia-unawaza yashetani-bali-yawanadamu.
Hii inamaanisha kwamba,mawazo ya kibinadamu bila Mungu ,nishetani.hatakama hutaipenda taalifa hiyo.
Bwana Yesu alipo mwambia Petro Rudi nyuma yangu shetani-hakuwa anamwambia petro,bali shetani-lakini shetni hakurudi nyuma pekeyake-alirudi na Petro. Malanyingi msomaji wangu kinacho kurudisha nyuma kimaisha,kiuchumi,na kiutumishi-siyo wachawi au mapepo au watu,hapana,hayo yanachangia kwa sehemu ndogo sana.Ila niwakati ule unapo beba tabia furani yakishetani ukiwa umeifunika kwa ubinadamu wako-Hiyo nayo ni dalili ya fikra kushambuliwa.

POINTI ZIFUATAZO ZITA KUSAIDIA

1.Unapo kuwa kikwazo kwa namna yoyote ile-kilasiku au kilamwaka BWANA YESU ATAKUWA ANA KWAMBIA-RUDI NYUMA YANGU-Haijalishi utaiskia hiyi sauti au la,ila UTAONAMATOKEO TU,maishani mwako.

2.Unapo heshimu sana mambo yako yakibinadamu tu,huku mambo ya kiroho yakiharibika,UTARUDISHWA NYUMA

3.Kila wakati unapo jikabidhi kwa shetani kwa kubebatabiazake kama,ubahili,uchoyo,ubinafsi,uchungu wakutokusamehe,ukorofi,nauzinzi n.k-UNARUDISHWA NYUMA

4.Kile unacho kiwaza wakati huu,kina husikakurudisha nyuma au kuku peleka mbele

5.MFANO-Unapo kuwa una wazia sana,kikwazo,jinsi ulivyo umizwa,jinsi unavyo cheleweshwa,namagumu yamaisha unayo yapitia,pamoja nayale maneno mabaya uliyo shutumiwa kwa uongo-kuna sauti itasema nyuma yako-RUDI NYUMA,MAANA HUYAWAZI YAMUNGU BALI YA WANADAMU

UTAJUAJE FIKRA YAKO HAIJASHAMBULIWA

-Angalia vizuri mathayo 1;18-21 Yusufu alipo kuwa katika kufikiri-Mungu akamtokea katika ndoto
-Hii inamaanisha kwamba,kama kweli fikra yako haijashambuliwa-kila mara itaruhusu Mungu akusikizishe sauti yake,angalau basi,hata kwa ndoto.Jambo hilo siyo rahisi,kama bado hujafundishwa vizuri-namna yakuteka nyara fikra zako zipate kumtii Kristo

NDUGU MSOMAJI-masomo haya nimwendelezo wa mafundisho ambayo Mtumishi wa Mungu anaya fundisha kanisani-tuna kukaribisha kushiriki raivu ibadani.Kanisa liko DSM Tanzania katika manispaa ya Ilala-Lukooni Chanika
ANAPOKEA MIALIKO YA KUHUDUMIA KONGAMANO NA SEMINA NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI 

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)