NENO LA UFUNUO LA SIKU YALEO

Tazama 1pet 5:8"Muwe na kiasi na kukesha kwamaana ibilisi kama simba huzunguka zunguka akitafutamtu ili ammeze" Shetani Huzunguka huku nakule. Ila hutamuona kwamachohayo. Haonekanikwamacho yakawaida. Yeye hucheza zaidi namawazoyako. Huchezanafikrazako. Huchezanahisiazako. Nahatamitazamo yako. Hucheza zaidi nakileunachokiruuhusu kwenyefikrazako. Mkataeshetani kwenyemawazoyako. Hutakiwikumruhusukuivurugasikuyakoyaleo.Watuwengihawawezikumkataashetani. Wanamruhusuawatumiekupitia mawazoyao namatendoyao. Weweusifanyehivyo.Gundua haraka paleshetanianapomtumiamtukujaribukuiharibu furahayakoleo. Gunduapia shetanianapojaribu kukuchezeakimawazo. MAFUNDISHO HAYA NAMENGINE ZAIDI YANAPATIKANA KWENYE HUDUMA YANENOLAUFUNUO YENYE MAKAOMAKUU DSM CHANIKA LUKOONI KALIBU NASHULE YAMSINGI. INAMATAWI ZAIDI YA 12 NDANI NA NJE YANCHI. CHINI YA APOSTLE ARAM J.KAYENGELA(KIONGOZI MKUU MWANZIRISHI) wasiriana nasi kwa 0712583194/0763359745 Ukihitaji maombezi wawezakutumajinalakonamahaliunakoishi(nchi...