NENO LA UFUNUO LA LEO
Tazama mithali 2:4 Mungu anakutaka uutafute ufunuo kama unavyotafuta fedha. Jitahidi leo kulitafuta Neno la ufunuo kwajuhudi ile ile unayo itumia katika kutafuta fedha. Fedha inatafutwa nawatu wote. Sasa yapasa pia watu WOTE watafute Neno la Ufunua. swali. Hilo Neno laufunuo unalipatajd? Jibu nirahisi. Tafakali juu ya malaki 2:7 Unaona kule Neno linatakiwa lipatikane. Niwapi? Nikwamjumbe wa Bwana wa Majeshi. Huyu mjumbe mbingu zinamuheshimu sana. Kwasababu yeye nimjumbe wa Bwana wamajeshi. Huyu mumbe siyo kuhani wakawaida au mchungaji wakawaida. Hapana. Huyu niyule ambaye kakabidhiwa Neno laUfunuo. NINAKUKARIBISHA KWENYE NEEMA YAMUNGU YA HUDUMA YANENO LAUFUNUO. tunapatikana DSM manispaa ya ilala kata ya CHANIKA.jinsi yakufika nirahisi. Ukishafika CHANIKA MWISHO.unakuja kwenyekitongoji cha LUKOONI mtaa wa KAANANI kanisa lipo mtaa wa kaanani karibu nashuleyamsingi lukooni. AU unapiga simu: 0712583194 /0763359745 BARIKIWA
Comments
Post a Comment