MKATE WA LEO KWAKANISA ULIMWENGUNI....................
".Tawala roho yako" TAWALA ROHOYAKO. HUO HASA NDOMKATEWAROHO YAKO WALEO. KATIKA MITH 25:28 UNAONA KWAMBA "Asiyeweza kutawala roho yake amefananishwa na mji ambao kutazake zimebomolewa." NISAWA NAMJI AMBAO HAUNA BOMA. NISAWA NAMJI AMBAO HAUNA ULINZI. tawala rohoyako leo. UNAWEZAJE KUITAWALA ROHO YAKO? kwakujizuia ynayale yasiyokupa kibali kwa Mungu.Kwakujidhibiti au kuidhibiti tamaa kubwa uliyo nayo(wewe unajua maranyingi huwa unatamani nini hasa) Utaitawala roho yako kwa kuzuia HASIRA YAKO isikuvute kwenye matendo. Mungu amesema "Muwe nahasira ila msitende dhambi" kwahiyo leo uitawale roho yako kiasi chakutokuvutwa na hasira. Leo itawale foho yako ili usijikute unashabikia starehe na anasa kuliko IBADA YA MUNGU. tawala roho yako leo ili usishambuliwe na mapepo yamaradhi. Usipo itawala roho yako leo utakuwa huna ulinzi WOWOTE hivyo unawezakushambulliwa nachochote. HAYO YAMENENWA NA BI SHOP NA MTUME ARAM J. KAYENGELA WAKATI AKITOA NENO LAUFUNUO LA LEO. TUNA AMINI UMEBARIKIWA. TUNAKUKARIBISHA KWENYE IBABA YA NENO LAUFUNUO AMBAYO HUFANGIKA KILASIKU KAMA YALEO IKIONGOZWA NA MTUME MWENYEWE KAMA ANAVYO JALIWA NA ROHO MTAKATIFU. Piga 07633597/0712583194 ili uelekezwe zaidi. BARIKIWA
Comments
Post a Comment