Leoleoplus,com

NENO LA SIKU YALEO KWAKANISA DUNIANI...

Tazama Ezekieli 11:1-13"Tena Roho ikaniinua............natazama mahali pakuingilia palango walikuweko watu ishirini nawatano........Akaniambia,Mwanadamu,Hawandiowale watungao uovu,ndani yamjihuu...........

"LINGANISHA NA Ezekieli 21:21 isemayo"Maana mfalme wa babeli alisimama penyenjiapanda,penye kichwa chanjia hizombili ili atumie uganga;aliitikisa mishale huko nahuko......

"MISTALI HII NIYAMUHIMU SANA KUIELEWA LEO KWAFAIDA YAKO.NIMUHIMU SANA. NINI UNATAKIWA UGUNDUE KUTOKA KWENYE NENO LA UFUNUO KATIKA MISTALI HIYO.

Jambo lakwanza tazama ile ezk 11:2 hawa ndiowatuwale watungao uovu....NIHEKIMA LEO UKIGUNDUA KWAMBA ,KUNAMCHAWI YUKO MAHALI ANAJARIBU KUTUNGAMBINU YAUOVUFURANI. NA ukitazama  ezk 21:21 mfalme anasimama njiapanda kufanya uganga nakujarbu kutupa mishale. UNAGUNDUA NINIHAPO. NIKWAMBA,MISHALE MINGI YAKICHAWI NA UGANGA INAPATA NGUVU KUTOKA  KWENYEMADHABAHU ZAGIZA ZILIZO NJIAPANDA. KAMA UNAHISI UNASHAMBULIO LOLOTE LINAUMIZA MWILIWAKO. FANYA SASA MAOMBI YAKUVUNJA MSHALE ULIOTUMWAKWAKO TOKA NJIAPANDA. NA UAMURU UPONYAJI JUU YAKO. SASAHIVI UTAPOKEA. tunakukaribisha kwenyeibadazetu kilasiku ya ijumatano ambayo tunakuwa naibada ya maombi kutoka katika nguvu ya Neno. na ijumaa tunakuwa na ibada ya kuharibu kafara namatambiko na ijumapili tunakuwa na ibada ya maombi na Neno la Ufunuo. Kwakweli tunabarikiwa sana kuliko watu wengi wanavyoweza kufikiri. Tunabarikiwa. TUNAPATIKANA DSM ENEO LA CHANIKA KITONGOJI CHA LUKOONI MTAA WA KAANANI KARIBU NASHULE YAMSINGI LUKOONI. KANISA LINA PAAMBILI NAOFISI YENYE RANGI ZA BLUU  SIMU NI 0712583194/0763359745 fecebook; Aram Kayengela

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI