NENO LA UFUNUO LA WIKI HII KWA KANISA ULIMWENGUN-Mfano wa mtu mjinga na mpumbavu atafutaye nyoka na kujilisha mawe

UTANGULIZI Kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo iliyoko Chanika Dar es salaam Tanzania Mwalimu na Mtume Alam J.Kayengela-jana alianza kwa kusema Nivema tuelewe kwamba mara nyingi sana Bwana YESU alifundisha kwa mifano,kila mfano ulikuwa na uhai wa uhalisia. Ukisoma katika marko 4;2-9 unaona kwamba mkutano mkubwa wa wawatu wengi walimuendea akaanza kusema nao kwa mfano wa mpanzi aliye panda mbegu,zingine zilidondokea njia panda zingine kwenye mwamba,zingine kwenye miiba nazingine kwenye udongo mzuri-baada ya kuuelezea hivyo ule mkutano wawatu weni kasha waliondoka zao bila kupata ufunuo wa maana ya ulemfano.kabla hawajasambaa kwenda makwao mst wa 9.akawaambia Aliye na sikio la kusikilia na asikie. wakaendazao majumbani wakifurahia ule mfano wa mpanzi bila Neno la ufunuo la maana ya mpanzi yule Ukisoma mst wa 10-20 unaliona kundi la watu wachache sana wakaenda kumuuliza maana ya mfano ule wa mpanzi.Hili nilile kundi la watu wachache sana duniani watafutao N...