Leoleoplus,com

NENO LAUFUNUO LA WIKI HII-Nifanyeje ili Mungu awejibu langu la kifedha?


Kiongozi mkuu wa Huduma ya Nenola Ufunuo Tanzania Mtume Alam J.Kayengela ambaye pia ni mwandishi wa vitabu zaidi ya 13 vyenye ujumbe unao gusa na kuibadirisha jamii,jana kwenye sherehe zakiibada zinazo fanyika hapo kanisani,alisema;

UFANYEJE ILI MUNGU AFANYIKE JIBU LAKO LAKIFEDHA

Alianza kwakusema,Mungu ana weza kukujibu bambo furani yanayo husiana nafedha lakini haina maana kwamba amefanyika jibulako la kifedha.Anaweza akakupa pesa lakini asiwe jibu lako la kipesa.

Kumbuka,Mungu hafanyiki jibu lakolakifedha kwa wewwe kuwa muombaji saaana. Hapana.Hiyo yaweza kuwa moja wapo tu.

Ukisoma kwa utulivu kitabu cha Ayubu 22;24-25 Anasema,atakuwa fedhakwako. Kamavile anavyo weza kuwa amani yako,furaha yako,uzima wako,ngome yako,kimbilio lako-kadhalika kunasiri za kiufunuo ambazo utakwenda kuzifahamu sasa nakuzishiriki kivitendo,ili awe fedha kwako. Loo,Hiyo nihabari njema kabisa yakiufunuo.

Sheria moja Mungu ameionyesha kwenye mistali hiyo tuliyo iona. Bila kutimiza sheria hiyo,Neno hili halita tenda kazi kwako.

Sheria yenyewe ni;

UWEKE HAZINA ZAKO ZA THAMANI MCHANGANI
Hazina zako za thamani ni vile vitu vya thamani ulivyo navyo
Kuziweka mchangani maanayake uzifiche kwenye kusudi la Mungu lililopo dudiani.

Kiongozi huyo kwaujasiri kabisa ali liuliza kanisa akasema,NANI ANAAMINI HUDUMA HII YANENO LA UFUNUO NIKUSUDI LAMUNGU LILILO LETWA DUNIANI? WOTE walinyosha mikono huku wakishangilia kwa shangwe na vigele gele.
Kisha Mtume Kayengela akasema-Sasa hii inakuonyesha wazi kwamba,HUDUMA YA NENO LA UFUNUO NIMKONO WAMUNGU KUPOKEA HAZINA ZAKO. Lakini nikwawale wenye ufahamu wa kiroho.HUDUMA YA NENO LAUFUNUO NIMAHALI PAKO PA KUFICHA HAZINA ZAKO.

Unapo fanikiwa kufanya hivyo sasa,maanayake umeitimiza sheria ya kiroho ya kumfanya Mungu kuwa fedha kwako. Mungu kuwa fedha kwako nizaidi ya kupewa fedha na yeye. Nisawa na Mungu kuwa uzima kwako,inakuwa zaidi ya kuponywa nayeye. Si unataka awe fedha kwako? weka vitu vyako vya thamani kwenye Huduma hii ya Nenola ufunuo. weka tu,bila kufikiria.Weka nyumba,weka garilako,weka madini n.k Mungu hata kutapeli kamwe.Usisahau kwamba,siyo majibu yote ya kimiujiza utayapata kwa maombi tu,hapana.Fanya hili nikwambialo utaiona kesho yako ikichomoza kama alfajiri.

Soma Yohana 18;36-Unaona nini? Kiukweli,Yesu hapendi ujishughulishe zaidi na kujenga ufalme wa duniani,unajitahidi kujenga jina lako kuheshimika sana duniani-hapendi hilo,kwasababu kama kweli umeokoka,wewe siyo wa ufalme huu,kama yeye ambavyo hakuwa wa ufalme huu.Nini unacho sikia Roho wa Mungu akikunongoneza moyoni mwako muda huu? ficha malizako kwake. weka kwenye huduma yake ya neno la ufunuo.

Yoh 18;37 jiulize ikiwa unaelewa kwanini ulizaliwa. Unaelewa kwanini ulizaliwa? au unaishi tu. Hilo nimoja ya tatizo la kiroho. Usipo elewa kwamba ulizaliwa kwa ajili ya kutimiza haya unayo ambiwa hapa,utakuwa mbishi na mwenye ubinafsi na hofu ya kupungukiwa.
Umezaliwa ili uweke hazina zako za thamani kwenye Huduma hii ya Neno la ufunuo.Acha kutimiza sheria hii na Mungu hato kutimizia alicho sema kwako.Huwezi kuamini ukweli huu kwa haraka lakini ndivyo ulivyo.Umbali ulionao hauwezi kuku zuia wewe kutimiza sheria hii muhimu yakiroho.Kama wewe si,waufalme huu wa duniani hutaogopa kutimiza hili. Hutaogopa kabisa.Mungu kuwa jibu lako la kifedha nirahisi tu,kama hivyo.Nivigumu kwa wenye moyo mgumu.

Angalia kwa umakini Luk 8;1-3,nini unacho kiona hapo? wakamuhudumia kwa mali zao

Ukianza kujua kwanini umezaliwa mara ya pili,kwafuraha kabisa,utaanza kuhudumu kwa mali zako.Wakati mwingine usichukulie mambo kawaida. Lalizima wakati mwingine uwe unajiuliza kwanini Roho wa Mungu anakuhimiza sana kutembelea tovuti hii? Je,utakuwa bado haujaelewa kwamba anakutaka ufiche na kuweka mali zako kwenye huduma hii ya neno la ufunuo?

                heri mwenye sikio lakusikia kile Roho mtakatifu anacho sema hapa


wasiriana nasi kwa ushauri zaidi wa kiroho kwa

              mlkayengela@gmail.com

                           NA

            alamkayengela@yahoo.com

simu; 0763359745 au 0712583194


Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI