NENO LAUFUNUO KWAAJILI YA KUSAMEHE
ILI UWEZE KUSAMEHE KWA URAHISI Inabidi ujifunze kuwa na tafsri ya aina furani katika mlengo wa kiufunuo MFANO; Makwazo au maudhi kiufunuo unaweza ukayatafasri kama vumbi hivyo itakuwa inamaanisha kwamba,mtu anapo kuudhi au kuku kwaza anakuwa anakutimulia vumbi-kwasababu sikuzote kwazo linapo kufikia lengo lake nikuharibu haliyako yahewa yakiroho,ndivyo ilivyo katika hali yakawaidi,vumbi inapo tokea huharibu hali ya hewa.Vumbi ile unapo imeza itaenda kutengeneza tope ndani yako-baada yahapo,unaanza kupata shida. Ndivyo ilivyo kwamtu anae fungua moyo wake kuyameza yale maudhi au makwazo ndani ya moyo wake. Kumbuka hili kila wakati, Unapo kwazwa,ujue umetimuliwa vumbi na shetani,kwaufunuo huu,najua hautakubali kumeza vumbihiyo badala yakutamcheka shetani. AMINA