Leoleoplus,com

FIKRA ILIYO SHAMBULIWA-Sehem ya kwanza

1. Angallia Ayub 36;18 inasema, Ujitunze isije hasira ikakuvuta.
-Hii inamaanisha kwamba,fikra yako ikisha anza kushambuliwa na adui,hasira inaanza kukuvuta kufanya jambo furani.
 
 Niwakati gani hasira inapo kuvuta?
- Nipale unapo umizwa
-Nipale unapo kwazwa
-Nipale unapo hisi huku sikilizwa au hukutendewa haki

2.Fikra ikishambuliwa-Angalia vizuri Kumb 29;18 Linatokea shina lizaalo uchungu. Shina lizaalo uchungu inamaana ya kikwazo. Yaani linatokea kwazo furani moyoni
-Shina lizaalo uchungu lisipo shughulikiwa haraka ndani yako,una kuwa upo katika hatali ya muda wowote.Fuatilia mistali hii kwa karibu-Ayub15;20,21(b)-22 na mst 29 Mungu anasema-Unakuwa mwovu kwasababu unauchungu kila siku,nakwamba,Hutakuwa tajiri na mali zako hazita dumu na akasema kuwa,Watekaji nyara watakuja kuiteka mali yako.

3.Fikra ikishambuliwa-Angalia Matendo 8;23-unakuwa kwenye kifungo cha uchungu cha nyongo-nyongo niovu ulio uweka moyoni mwako kama maumivu furani yanayo tokana nakutokusamehe au kushindwa kuachilia kwa namna furani,niile hali unaweza kujionyesha mwenye furaha,kumbe ukiwa najambo lina kutafuna moyoyoni.Hicho ndo kifungo cha uchungu wa uovu-yaani nyonga.

Uponyaji wako
Angalia Ebrania 12;15 uwe makini sanashina la uchungu lisiweke mzizi ndani yako-maana linaweza kuwa sumbua hata wengine na kuwa tia unajisi.
Jambo lingine la kuku saidia,kumbuka sana hiyo Ayub 36;18 uwe makini sana pale hasira yako inapo kuvuta kufanya jambo furani
Usisahau kuwa,mara nyingi hasira hukuvuta pale linapo tokea shina lizaalo uchungu-kumbuka sana-kumb 29;18

Msomaji napenda kukupa fursa hii-tuko na ujenzi wa Hema la BWANA,tafadhari kama utasikia moyoni mwako ROHO MTAKATIFU akikushuhudia kuchangia chochote,hii ninafasi yako.
M-pesa ni 0763 359745
Tigo pesa ni 0712 583194
-KAMA HAUTAJALI ITIKADI YA KIDINI, BASI  PANDA MBEGU YAKO KWENYE UDONGO HUU PIA-Amina

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI