KUUMUDU UCHUNGU WA KUZAA
Si,watu wengi walio funuliwa kujua kwamba,ndani yao kuna kitu kina itwa UZAZI
Katika mwanzo 1;28-inaonyesha kwamba,toka tumboni mwa mama yako umeagizwa uzae. Umeagizwa kuzaa. Sasa hakumaanisha uzae watoto tu,ingekuwa hivyo isnge wafaa wazee vikongwe au vijana ambao hawaja oa.
Chukua mfano wa kuku,kabla hajapata kifaranga,anakaa ndani siku 21
Mwanamke kabla hajapata mtoto analea mimba miezi 9. katka Yoh 16;20-21-Bwana Yesu anazungumzia mfano mathubuti kuhusu ghama ya kuzaa.
URAHISI WA KUZAA
Soma vizuri Yoh 15;4-5-kwa urahisi kabisa unaweza kuzaa unapokuwa ndani yake.Hapo inamaana ya kuw ndani ya Neno. Neno likufunike kwa kila hatua yamaishsa yako. Usifanye maamuzi yoyote ambayo Neno haliya ungi mkono,kufanya hivyo nikuwa inje yake na si,ndandani yake.
-Unapo umudu uchungu wa kuzaa jambo,hakika UTAZAA-unapo zaa-nguvu,nguvu ya uwezesho itaachiliwa kwako-Yoh 15;2-ili uendelee kuzaa.
Kumbuka hili;
Unapo kuwa kwenye mchakat wa kusababisha kitu frani kitokee-mchakato huo ndo ujauzio-ule ugumu utakao upitia wa kusababisha hilo,huo ndo uchungu wa kuzaa kitu hicho.
NINI KITATOKEA KAMA HAUTAKUWA TAYALI KUUMUDU AU KUUKABILI UCHUNGU WA KUZAA?
Isaya 26;17-18-unazaa bilashida ila upepo. Hiki ndo kilio cha watu wengi,kwamba,yale wanayo yasumbukia na kuyataabikia hawayapati.Wame beba bimba nakupata uchungu lakini hawana matokeo,wamezaa upepo.Taabu yamikono yao inaliwa nawengine.wamezaaupepo
-Ayubu15;35 na zab 7;14-unapo kusdia kufanya jambo baya-hiyo ndo mimba ndani yako izaayo uovu.
Uwe makini kila wakati katika kila jambo unalo lipitia leo,maana kuumia kwako leo kwa ajili ya Mungu nikusema unachukua mimba ya kuzaa jambo kesho.
UBARIKIWE
Karibu kwenye Huduma

Comments
Post a Comment