TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Huduma ya NENO LA UFUNUO (T) (Word of the Revelation Ministry) yeny makao makuu Dar es Salaam – Tanzania chini ya mwangalizi mkuu Mtume Alam Kayengela, tunapenda kuwatangazia kua, Mtume Alam Kayengela ni mhudumu wa NENO la MUNGU (neno la ufunuo). Anaye hudumia neno la MUNGU bila mipaka yeyote ya kidini. Akipokea mialiko nchini na nje ya nchi. Anapokea mialiko ya kuhudumu katika semina mbalimbali na makongamano ya kitaifa na kimataifa. KUANZIA TAR 5 th May 2013 hadi 13 th May 2013 Mtume Alam Kayengela atakua akihudumu katika kongamano kubwa litakalo fanyika nchini Tanzania, lilliloandaliwa na HUDUMA YA NAOITH DEVINE POWER CHRISTIAN CENTER Yenye makao yake makuu Mkoani ARUSHA , c hini ya mwangalizi mkuu Mtume Mathayo Nko , ambaye yeye ndiye mwenyeji wa kongamano hili. WAHUDUMU WATAKAO HUDUMU KATIKA KONGAMANO HILO Mwangalizi mkuu wa huduma ya NDPCC - Mtume Mathayo Nko, mwenyeji wa kongam...