KUJUA KUTEMBEA NA MUNGU NIPAMOJA NAKUJUA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI KATIKA ROHO
Kuna aina kama 4 zanyakati katika ulimwengu wa roho,lakini zote zikielezea hali moja
1.Nyakat za giza kiroho
2.Nyakati za jangwani kiroho
3.Nyakati za usiku kiroho
4.Nyakati za kiangazi kiroho
Kwanamna yoyote lazima kilamtu ajue kuwa,nyakati hizi huwa zinamkuta nawala haziepukiki.Nninyakakati za asiri katika roho,haziepukiki
*Hizi nizile nyakati ambazo,Mungu anakuwa ameuweka moyo wako kwenye darubini aumaabara yakiroho ili kupima nakuangalia kina cha upendo wako kwake-Daudi alili jua vema jambo hili nakumwambia Mungu amjaribi nakumpima-Zab 26;2
*Kwamaana nyingine,nyakati hizi,nizile ambazo kiuhalisi,inaonekana kama vile Mungu hayuko kati kati ya maisha yako,kamavile hajishughulishi kwa lolote kuhusu wewe binafsi,kama vile maombi yako nikelele tu na kujichosha bule,kama vile Mungu hakutetei kwa lolote.
-Hatakama moyo wako unampendeza Mungu kiasi gani,lazima tu,moyo wako utapitia uzoefu huu
Ukisoma katika matendo 13;22-unaona wazi kwamba,Daudi alikuwa nasifa muhimu yakiroho yakuupendeza moyo wa Mungu,lakini kwa vipindi tofauti tofauti alijikuta katika nyakati hizi.
Katika zab 46;7-Alianza kwa kufurahia uwepo wa kiMungu alio uhisi kwenye maisha yake-haikuchukua muda,mambo yalikuwa yamebadirika-katika zab 60;1-tayali,anahisi kuachwa na Mungu.Haikuchukua muda,hali hiyo ilikuwa imebadirijka tena-zab 115;12-uwepo waMungu ulikuwa umerudi.Vema,inaonekana inafurahisha.
*Katika zab 10;1,na 13;1,22;2-hali ya tofauti,inajitokeza na kuushitua moyo wa Dudi.Mungu alionekana amejificha tena nyakati za shida ambazo alihitajika zaidi.Ujiulize binafsi kama wewe,ungefanyaje Mungu anapo jificha hasa kwa wakati ule unapo kuwa kwenye shida? Anapo onekana kuwa mbali na wewe.
-Daudi hakuchelewa kugundua kitu-aligundua kuwa,Mungu alikuwa akimjaribu au kumpima-zab 11;5-Mungu,huupima upendo wetu kwake,wakati kama huo.
*Katika zab 131;2-Daudi,aligundua suruhisho la haya yote kwamba,ni KUITULIZA NAFSI YAKE NA KUINYAMANZISHA.
*Hiyo ndityo siri pekee itakayo kusaidia hata wewe. Tuliza mawazo yako na uinyamazishe Nafsi yako,
kwa ushauri zaidi piga 0763359745 au 0712583194 mtumishi wa Mungu ata kuelekeza mengi zaidi. AMEN

Comments
Post a Comment