TANGAZO TANGAZO TANGAZO
Huduma ya
NENO LA UFUNUO (T) (Word of the Revelation Ministry) yeny makao makuu Dar es
Salaam – Tanzania chini ya mwangalizi mkuu Mtume Alam Kayengela,
tunapenda
kuwatangazia kua, Mtume Alam Kayengela ni mhudumu wa NENO la MUNGU (neno la
ufunuo). Anaye hudumia neno la MUNGU bila mipaka yeyote ya kidini. Akipokea
mialiko nchini na nje ya nchi.Anapokea
mialiko ya kuhudumu katika semina mbalimbali na makongamano ya kitaifa na
kimataifa.
KUANZIA TAR
5th May 2013 hadi 13th May 2013 Mtume Alam
Kayengela atakua akihudumu katika
kongamano kubwa litakalo fanyika nchini Tanzania, lilliloandaliwa na HUDUMA YA
NAOITH DEVINE POWER CHRISTIAN CENTER
Yenye makao yake makuu Mkoani
ARUSHA, chini ya mwangalizi mkuu Mtume Mathayo Nko,
ambaye yeye ndiye mwenyeji wa kongamano hili.
WAHUDUMU WATAKAO HUDUMU KATIKA
KONGAMANO HILO
Mwangalizi mkuu wa huduma ya NDPCC - Mtume Mathayo Nko, mwenyeji wa kongamano hili.
Mwangalizi mkuu wa huduma ya Neno la Ufunuo, Mtume Alam Kayengela kutoka - Dar es salaam atahudumu katika kongamano hili.
Mtume Thomas kutoka Ethiopia, atahudumu katika Kongamano hili.
KUSANYIKO LA WAAMINI KATIKA KRISTO.
JINSI YA
KUFIKA KATIKA KONGAMANO HILO
Ukiwa
unatokea Arusha mjini barabara ya kutokea Dar es salam mkono wa kushoto kabla
ya kuvuka daraja la mto Nduruma utaliona kanisa kubwa.
Kama
unatokea Dar esalam au Moshi mkono wako wa kulia baada ya kuvuka daraja la mto
Nduruma madukani (kambi ya chupa ) utaliona kanisa kubwa.
Kwamaelekezo
zaidi piga simu
0754
363501 0716 588764
TAFADHALI USIPOTEZE NAFASI HII YA
DHAMANI YA KUFIKA KATIKA KONGAMANO HILI LA KIHISTORIA – ARUSHA. HAKUNA
KIINGILIO NI BUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
TUMAKUTAKIA MAHUDHURIO MEMA KWAKUA
UNAUPENDO WA KWELI NIMATARAJIO YETU KWAMBA TANGAZO HILI UTALIFIKISHA KWA WATU WASIOPUNGUA
WATANO UWAPENDAO, AMINA.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Comments
Post a Comment