UJUMBE ALIO HUBILI LEO APOSTLE ALAM J.KAYENGELA NI JUU YA;
KILE AMBACHO DHAMBI INATENDA
Utangulizi.
Mungu alimwambia Kaini kwamba,dhambi iko mlangoni inamtamani-mwz 4;7
-hii inamaanisha kwamba,dhambi hiyo ilikuwa bado haijamuingia,hivyo uwezekano wa kuishinda ulikuwepo.
Katika zab 59;12 tuna ona dhambi yakinywa-maanayake,dhambi inajitahidi iweze kupata nafasi ya kukaa kwenyekinywa chako.
1kortho 8;12 inaweka wazi kwamba,kosa lolote unalo mkosea mtu,unakuwa ume muumiza Bwana Yesu mwenyewe.Unakuwa umemtenda dhambi yeye mwenyewe.
Unapo angalia katika 2Tim 3;6 dhambi ni mzigo.Dhambi inamizigopia.
Nakatika Yakob 1;15-dhambi inazaa.Nikitu hai.
Dawa ya dhambi nini? ok, dawa ya dhambi ni DAMU YA BWANA YESU,NA TOBA-1Yoh 1;7
Na katika Rumi 6;12-14 na 3;9-dhambi ina uwezo wa kutawala. Unapo soma Rumi 7;25,8;2-unaona wazi kwamba,dhambi inasheriazake.Hivyo,inaonyesha wazi kwamba haiwezi kuku tawala bila hiyo sheria
Mshahara wa dhambi ni mauti-Rumi 6;23-ok,dhambi inamalipo. Dhambi inamshahara.Nikitu hai.
SOMO
1.Dhammbi inaleta maradhi au magonjwa-mark 2;1-10
NDUGU MPENDWA,ENDELEA KUFUATILIA WIKI IJAYO

Comments
Post a Comment