MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)
SIKU YA 8: · NAMNA YA KUPOKEA USHINDI WA MUNGU DHIDI YA MIUNGU. - Hii inamaanisha namna ya kupokea mbinu za kushinda miungu. - Misingi 4 ya vyanzo vya nguvu za Mungu inayokufanya upate NGUVU YA MUNGU ya kushinda miungu migeni ya kipepo. · Msingi wa kwanza: AMUA KUWA SADAKA Unapofikia maamuzi haya ya kuwa sadaka ya Mungu siyo rahisi hatakidogo kushindwa na miungu. · Kumbuka - Isaka alikuwa sadaka iliyotolewa kwa Mungu – Mwz 22:1 – 2. Ukubwani mwake, shetani a...