Posts

Showing posts from September, 2017

Leoleoplus,com

SIYO LAZIMA UJIKWAE

Image
Ninapo fundisha kwamba HILO SIYO JARIBU, ninakuwa ninamaanisha kabisa toka moyoni mwangu nikitarajia kwamba fundisho hili hutalichukulia kawaida wala hutalipokea kwa uelekevu wa juu juu "Nami nadhani yakuwa MIMI NAMI NINA ROHO WA MUNGU (1Kor 7:40 b) " Yeye aliye na sikio NA ALISIKIE NENO HILI ambalo Roho ayambia makanisa(Uf 2:7) Neno la HILO SIYO JARIBU ulifuatilie vizuri na kulikumbatia maisha yako yote hatimaye utagundua kwamba, Neno hilo limetumwa maalumu kwa ajili yako peke yako na endapo unaamini juu ya MUNGU KUONGEA KUPITIA MAMBO YALIYO ANDIKWA basi utagundua kwamba, NDANI YA HILO SIYO JARIBU kuna sauti ya Mungu ikitembea juu yako MAMBO 4 YENYE NGUVU YANAYO KUSAIDIA KUSHINDA WIMBI LA KUKWAZIKA  1. KUSHINDA WIMBI LA KUKWAZIKA Endapo hujashinda wimbi la kukwazika inamaanisha utakuwa muhanga wa kuchukuliwa  kila siku na hilo wimbi, kwasababu inaonekana kila siku wimbi hilo kwa namna moja au nyingine linatumwa katikati yetu ili kutuibia furaha na changamko.

DHAMBI YA KUTOKUMPENDA JIRANI YAKO KAMA NAFASI YAKO

Image
Utasemaje kwamba unampenda Mungu wakati jirani yako humpendi? Na utasemaje unampenda jirani yako wakati humwambii kuhusu kutubu dhambi zake?  Wewe unaelekea mbinguni kwenye maisha mazuri kabisa, lakini jirani yako anaelekea jehanamu kwenye ziwa la moto na wewe huguswi na kule anako elekea jirani yako, je huko ndiko kumpenda jirani yako kama nafsi yako?  Yesu aliposema kwamba kuna furaha kubwa mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja atubuye alikuwa anamaanisha pia kuna masikitiko makubwa mno mbinguni kwa mtakatifu mmoja akianguka dhambini. JIHADHALI SANA NA HII DHAMBI YA KUTOKUMPENDA JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO nenolaufunuotz@gmail.com   +255763359745  /+255 712 58 31 94

NENO LAUFUNUO LALEO

Image
Tazama 2Thesalonike 3:6"Ndugu,twawaagiza katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo,jitengeni nafsizenu nakilandugu aendaebilautaratibu...." KUJITENGA NAMTU ASIYE ENENDA KWAUTARATIBU NIAMRI NA NIAGIZO LINALOTAKIWA KUZINGATIWA KAKA TUNAVYO ZINGATIA AMRIZINGINEW