DHAMBI YA KUTOKUMPENDA JIRANI YAKO KAMA NAFASI YAKO
Utasemaje kwamba unampenda Mungu wakati jirani yako humpendi? Na utasemaje unampenda jirani yako wakati humwambii kuhusu kutubu dhambi zake?
Wewe unaelekea mbinguni kwenye maisha mazuri kabisa, lakini jirani yako anaelekea jehanamu kwenye ziwa la moto na wewe huguswi na kule anako elekea jirani yako, je huko ndiko kumpenda jirani yako kama nafsi yako?
Yesu aliposema kwamba kuna furaha kubwa mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja atubuye alikuwa anamaanisha pia kuna masikitiko makubwa mno mbinguni kwa mtakatifu mmoja akianguka dhambini.
JIHADHALI SANA NA HII DHAMBI YA KUTOKUMPENDA JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO
+255763359745 /+255 712 58 31 94
Comments
Post a Comment