Huduma ya Neno La Ufunuo

Mtumishi huyu anapokea mialiko ya kuhudumu bila ubaguzi wowote wa kidini, au kidhehebu katika makongamano na mikutano mbali mbali pamoja na semina ndni na nje ya nchi. Ni mwalimu aliyepewa neema ya neno la ufunnuo kwa ajili ya kulisaidia kanisa la kizazi hiki ulimwenguni Mungu amempaka mafuta yakusaidia watumishi wa Mungu kwa namna mbalimbali kiroho katika kizazi hiki. Mtumishi huyu ni mmoja ya watumishi waliopata neema ya pekee ya uandishi wa vitabu vyenye mguso dhahiri wa kiroho. Ni mmoja ya watumishi wanaoandika vitabu kwa kuambiwa na kuongozwa Muungu moja kwa moja. Mpaka sasa ameandika vitabu vifuatavyo;