Historia fupi ya Mkurugenzi mkuu mwanzilishi wa huduma ya neno la ufunuo
Mwl. na Mtume Alam J. Kayengela
Amezaliwa Kigoma wilaya ya Kasulu katika Kitongoji cha Mwilavya.
Mpaka kufikia mwaka 2012 yeye na mkewe Dorkas wamebarikiwa baraka za kuwa na watoto watatu;
- Atukuzwe,
- Utukufu na
- Utakaso.
- Mtumishi huyu anapokea mialiko ya kuhudumu bila ubaguzi wowote wa kidini, au kidhehebu katika makongamano na mikutano mbali mbali pamoja na semina ndni na nje ya nchi.
- Ni mwalimu aliyepewa neema ya neno la ufunnuo kwa ajili ya kulisaidia kanisa la kizazi hiki ulimwenguni
- Mungu amempaka mafuta yakusaidia watumishi wa Mungu kwa namna mbalimbali kiroho katika kizazi hiki.
- Mtumishi huyu ni mmoja ya watumishi waliopata neema ya pekee ya uandishi wa vitabu vyenye mguso dhahiri wa kiroho. Ni mmoja ya watumishi wanaoandika vitabu kwa kuambiwa na kuongozwa Muungu moja kwa moja. Mpaka sasa ameandika vitabu vifuatavyo;
Comments
Post a Comment