THE CONTINOURANCE OF OUR MESSAGE STOPED IN LAST WEEK CALLED,"THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING WITH DISEASES AND WIZARDS." & MWENDELEZO WA UFUNUO WA WIKI ILIYOPITA UITWAO,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
-Don't forget that this is the message that come from the book which is prepared by Apostle Aram .J. Kayengela, which is called,"THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING WITH DISEASES AND WIZARDS."
-Apostle Aram J. Kayengela in last week he explained more on how the person can fail to know well his God without the Word of Revelation.
-Apostle Aram J. Kayengela started by saying that:
-This grace of Revelation is training you through the person.This grace can not train while found in the sky,no!But is training you through the person, that is why when you read in Ephesians 3:8,is saying that,"To me, though I am the very least of all the saints,this grace was given, to preach to the gentiles the unsearchable riches of christ."
-Hence the grace is teaching you through,and when you listen to who has given the grace, you will get it {the grace}.And not forget that,the Word of Revelation is the grace.
-For this generation the one who has given the grace of the Word of Revelation is APOSTLE ARAM J. KAYENGELA,and that it has no discussion even if is not easy to believe this truth.
-Without the Word of Revelation you can not know well your God.There are some examples that prove this:
THE FIRST EXAMPLE:SAMUEL
-Samuel did not know well his God before the Word of Revelation to be revealed to him.Is true that he heared the voice of God but he did not understand it because he had no the Word of Revelation.That is why when you read in I Samuel 3:4-10, it says that,"......Now Samuel did not yet know the LORD,and the word of the LORD had not yet been revealed to him."
-Because Samuel did not have the Rord of Revelation, he failed to know his God.In this World you can not know well your God,if you have no the word of revelation,you can not overcome the diseases and wizards,because you can overcome diseases and wizards for you to know well your God,and you can know well your God if the Word of Revelation has revealed to you.And remember that the Word of Revelation is the grace that has revealed to us in order to train us to renounce the worse and worldly passions,in order to live sober,upright, and Godly,and to be the winner against diseases and wizards in this world.
CONFESS THESE PRAYS:
1: Thank you God for training me about the grace of revelation that has given to the Apostle Aram J. Kayengela for the assistance of this generation of serpent thank you in the name of Jesus amen.
2: In the name of Jesus christ, I punish all the demons that force me to disagree the grace of the Word of Revelation that has given to the Apostle Aram J. Kayengela, in the name of Jesus christ-Amen.
3: The grace of the Word of Revelation I want it to lead me in every where because I know that I am the property of the counsel.
"The message will continue on tomorrow, keep on studing these messages and you will see the great different in your life amina...."
ANNOUNCEMENT TO THE READERS:"From today I promise you that we shall be available in every day,so don't miss any message of Revelation from today God bless you in the name of Jesus amen."
- If you feel to give your offer to God you may use the following account number
Send through the account name
ARAM JAPHET KAYENGELA
Account number:0152274542500
CRDB branch-Lumumba
+255-763-359 745, & +255-712-583 194
Email:mlkayengela@gmail.com
+MWENDELEZO WA UJUMBE WA KIUFUNUO WA WIKI ILIYOPITA UITWAO,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
-Usisahau kama ujumbe huu upo kwenye kitabu kinachoandaliwa na Mtume Aram. J. Kayengela, kinachoitwa,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
-Mtume Kayengela alifafanua kwa kina jinsi ambavyo mtu asivyoweza kumjua Mungu bila Neno la Ufunuo.Sasa leo tutaangalia kitu kingine kama mwendelezo wa ujumbe wa wiki iliyopita.
-Mtume Kayengela alianza kwa kusema:
-Neema hii ya kiufunuo inakufundisha kupitia mtu.Neema hii haikufundishi ikiwa hewani,hapana!Bali inakufundisha kupitia mtu,ndio maana ukisoma katika kitabu cha waefeso 3:8,inasema kwamba,"Mimi, niliye mdogo kuliko yeye aliye mdogo wa watakatifu wote,nalipewa neema hii ya kuwahubiri mataifa utajiri wake kristo usiopimika."
-Hivyo neema inakufundisha kupitia mtu,na ukimsikiliza mtu aliyepewa neema,utaipokea.Na usisahau kwamba Neno la Ufunuo ni neema.
-Mtume Paulo alipewa neema ya kuhubiri siri ya Ufalme wa Mungu.Sasa katika kizazi hiki aliyepewa neema ya Neno la Ufunuo ni Mtume ARAM J. KAYENGELA.Japo sio wote wanaweza kuuamini ukweli huo.
-Bila Neno la Ufunuo hauwezi kumjua sana Mungu.Ipo mifano kadhaa inayothibitisha hilo:
MFANO WA KWANZA:SAMWELI
-Samweli hakufikia kumjua Mungu, kabla Neno la Ufunuo halijafunuliwa kwake.Ni kweli alisikia sauti ya Mungu lakini ilimchanganya kwa sababu hakuwa na Neno la Ufunuo.Ndio maana ukisoma katika kitabu cha I Samweli 3:4-10,inasema kwamba,"........basi Samweli alikuwa hamjui bwana bado,na Neno laBwana lilikuwa halijafuliwa kwake....."
-Kwa sababu Samweli Neno la Ufunuo lilikuwa halijafunuliwa kwake hakuweza kumjua sana Mungu.Kwa ulimwengu huu wa sasa hauwezi kumjua sana Mungu kama Neno la Ufunuo halijafunuliwa kwako,hauwezi kuwashinda wachawi na magonjwa kwa sababu unawashinda wachawi na magonjwa kwa kumjua sana Mungu,na unamjua sana Mungu kwa sababu Neno la Ufunuo limefunuliwa kwako.Na ukumbuke kwamba Neno la Ufunuo ni neema iliyofunuliwa ili kutufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia,tupate kuishi kwa kiasi,na haki, na utaua,na ushindi dhidi ya magonjwa na wachawi katika ulimwengu huu wa sasa.
OMBA MAOMBI HAYA:
1: Ninakushukuru Mungu kwa kunifundisha kuhusu neema ya kiufunuo aliyopewa Mtume Aram J. Kayengela kwa ajili ya msaada wa kizazi hiki cha nyoka,asante Yesu katika jina la Yesu kristo-amina.
2: Katika jina la Yesu kristo Ninayaadhibu mapepo yote yanayonilazimisha kuikataa neema ya Neno la Ufunuo aliyopewa Mtume Kayengela katika jina la Yesu kristo.
3: Ninaihitaji Neema ya Neno la Ufunuo iniongoze kila mahali kwa sababu ninajua mimi ni mali ya kusudi la Neno la Ufunuo katika jina la Yesu.
"Ujumbe utaendelea kesho,fuatilia sana kwa makini utaona tofauti kubwa amina....."
TANGAZO KWA WASOMAJI:"Kwanzia leo tutakuwa tunapatikana katika ukurasa wetu wa njumbe za kiufunuo,usichoke kufuatilia njumbe hizi kama kweli wewe ni mwenda mbinguni.Mungu akubariki amina."
-kama unasikia Roho mtakatifu anakushuhudia kumtolea Mungu sadaka unaweza ukatumia namba ya akaunti ifuatayo kupanda mbegu yako:
Tuma kupitia jina la akaunti
ARAM JAPHET KAYENGELA
Namba ya akaunti:0152274542500
CRDB branch-Lumumba
+255-763-359 745, & +255-712-583 194.
Email:mlkayengela@gmail.com
Comments
Post a Comment