Leoleoplus,com

IS WHICH FAITH THAT MAKES ME TO BE STRONG ON THE TIME OF ACUTE WAVES IN MY LIFE? & NI IMANI GANI INAYONIFANYA NIWE IMARA WAKATI WA MAWIMBI MAKALI KATIKA MAISHA YANGU?

   

                                                     INTRODUCTION

       The chief leader and founder of The Word of Revelation Ministry , Apostle Aram J. Kayengela he said that when people they are in acute waves, always they think what can they do?They think more but lack a thing to do.There are many kinds of faith like:
    -The faith of being forgiven [This is when you confess tour sins and to believe that you have forgiven].
    -The faith of healing [make you to heal].
    -The faith of miracles [make you to receive the thing of wondering].
  • Now, is which faith that makes me to be strong on the time of acute waves in my life?     
This faith is called:
"THE FAITH OF HARD HEART AS A STONE."-Job 41:24,"His heart is hard as a stone,hard as the nether millstone."You can troubled by acute waves  but you need "the faith of hard heart like a stone".

    Job 41:1-24,"can draw out Leviathan with a fishhook, or press down his tongue with a cord? Can you put a rope in his nose, or pierce his jaw with a hook? Will he make my supplications to you?Will he speak to you soft words?Will he make covenant with you to take him for your servants for ever? Will you play with him as with a bird, or will you put him on leash for your maidens? Will traders bargain over him? Will they divide him up among the merchants? Can you fill his skin with harpoons, or his head with fishing spears? Lay hands on him,think of the battle; you will not do it again! Behold the hope of the man is disappointed; he is laid low even at the sight of him.No one is so fierce that he dares to stir him up who then is that can stand before him? Who has given to me, that I should repay him? Whatever is under the whole heaven in mine. I will not keep silence concerning his limbs,or his mighty strength, or his goodly frame. Who can strip off his garment? Who can penetrate his double coat of mail? Who can open the door of his face? Round about his teeth is terror. His back is made of rows of shields, shut up closely as with a seal. one is so near to another that no air can come between them.They are joined one to another; they clasp each other and can not separated. His sneezing flash forth light and his eyes are like a eyelids of the dawn.Out of his mouth go flaming torches; sparks of fire leap forth. Out of his nostrils come forth smoke, as from a boiling pot and burning rushes.His breath candles coals, and a flame comes forth from his mouth.In his neck abides strength, and terror dances   before him. The folds of his flesh cleave together, firmly cast upon him and immovable.His heart is hard as a stone, hard as the nether millstone."
 -This is the faith of one organism called crocodile. And God wants you to have it.
  • Which kind of people who can not get this faith?                                                             
1. The faith of hard heart as a stone is unavailable to faithless people.
      -Faithless people are the people who think things that bring the fear instead  of thinking things that bring a boldness. Thus when you think about things of fear, it means  that you away the faith.
     -When you think about things of fear, means that you are telling the God to remove from you the boldness.
  • This faith of the hard heart as a stone make you to be a person of which kind?
     -It makes you to be a strongman spiritually. The strongman isn't cried by small things. There is a person told Apostle Kayengela that, he saw him [in dream] looks like a big and strongman. Hence he asked to the Apostle Kayengela that, or you have a timetable of  fighting to be a fat man, no said Apostle Kayengela but that is how am I in spiritual world, even if I am looked like a small one.
  • How the sSatan is affected by this faith of hard heart as a stone?
      -A Satan lacks the power of hurting you. Every Satan blow to you fails.When brings the diseases to you they also fails.
      -Remember that  two issues were found to Job:
1. God found the strength of Job to him, and
2. Satan found Job to curse.
       But Job had the hard heart as a stone. Although he fleshly pained but spiritually didn't pain, because he had the faith of hard heart as a stone.Any Satan blow to, Job failed.-Job 41:26-29,"Though the sword reaches him, it does not avail;nor the spear, the dart; or the Javelin.He counts iron as straw and bronze as a rotten wood.The arrow can not make him flee; for him sling stones are turned to stubble. Clubs are  counted as stubble; he laughs at the rattle of Javelins."
  • The advantages of the faith of hard heart as a stone.
-You can be a different person in a country.
Job 41:33,"upon earth there is not his like, a creature without fear". Means that you are not the person of fear. Even when the Holy Spirit tells you to go at the temple on midnight you will go only, because you are the different one and you haven't a fear.
  • Three steps of getting the faith of hard heart as a stone.
1. connect yourself to the counsel of The Word of Revelation.
    -When you will connect yourself to the Counsel of the Word of Revelation, you will have connected yourself in the revelation of God's word that leads you to get this faith of hard heart as a stone.
2. Believe in God and his word.
    -You can not believe in God and to resist his words.Thus if you believe in God you have to believe in his words.
3. Keep on hearing without neglecting.
   -Don't even on one day to miss in the precepts and don't lack in any worship.
  • Four keys of making this faith to raise up?
1. Understand yourself as the God understands you, understand yourself as the bible understands you and study yourself as a bible studies you.
    -Don't understand yourself as the world understands you, and don't see yourself as the world sees you, but  understand yourself and see yourself as The God understands and sees you.By keeping on this your faith of hard heart as a stone will raise up in you.
   -John when asked by the Jews that who was he? He didn't say that, is the son of Zacharia but he said that, he is the voice of one crying in the wilderness, because he understood himself as the God understood him, and he didn't understood as the world understood him.

2. Create the word in your spirit seven times on a day.
    -You have learned about,"To have the faith of hard heart as a stone", now you can say that, "In the name of Jesus, I have the faith of hard heart as a stone-Amen". Seven times on a day.

3. Start the spiritual habit of speaking with creation of God.
   -Example, when you bath you can say, "as I am removing the wastes on my body the curse of being  without betrothed or to betroth, in the name of Jesus-Amen."
   -Apostle Kayengela when he was in Singida region-Tanzania to give out the God's precepts, but when he was still teaching, there were the sinners of worship who started to escape before the worship to end up.Because Apostle Kayengela understood that every thing created by God is hearing, he called the rain immediately and said that,"when the precepts end up the rain will end up". People stopped to escape while the rain was still raining.When Apostle Kayengela ended up to teach and the rain, ended up also, and all people wondered on that happened.

4. Every time speak yourself that, I have the  faith of hard heart as a stone,thus I will not fear.


                                  TAKE THIS INTO PRAYS
"God Holy Spirit, behold you are here, you every thing about me. No any distance between me and you. give me the grace of being conviced  to receive this faith of hard heart as a stone.In the name of Jesus I will not loss this faith.-Amen"


          We are welcoming you in the Word of Revelation Ministry, found in Dar es salaam city, in Ilala municipal -Chanika.
                              

                                            WE ARE WELCOMING YOU ON PRAYS.



                                            +225763-359745,      &        +225712-583194.

                                                     Email: mlkayengela@gmail.com



                                                         

    +NI  IMANI  GANI INAYONIFANYA  NIWE IMARA  WAKATI WA  MAWIMBI  MAKALI         KATIKA MAISHA YANGU?


                            







                                                                 UTANGULIZI
       Kiongozi mkuu na mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo, Mtume Aram  J. Kayengela , alisema, watu wanapokuwa kwenye mawimbi makali wanafikiri watafanyaje?Wanafikiri sana lakini wanakosa la kufanya. Kuna imani za namna nyingi kama vile:
  1. Imani ya kusamehewa [hii ni pale unapotubu na kuamini kuwa umesameahewa].
  2. Imani ya uponyaji [hii hukufanya kupona].
  3. Imani ya miujiza [hii hukufanya kupokea kitu cha kushangaza].

  • Sasa ni imani gani inayonifanya niwe imara wakati wa mawimbi makali katika maisha yangu?
Imani hii inaitwa:
    "IMANI YA MOYO IMARA KAMA JIWE".-Ayubu 41:24,"Moyo wake una imara kama jiwe,naam imara kama jiwe la chini la kusagia."Unaweza ukasumbuliwa na mawimbi makali sana, lakini unahitaji imani ya moyo imara kama jiwe.

Ayubu 41:1-24,"Je! Unaweza wewe kumvua mamba kwa ndoano?Au, kuufunga ulimi wake kwa kamba?Je! Waweza kutia kamba puani mwake? Au, kutoboa taya yake kwa kulabu?Je! Atakusihi sana? Au,atakuambia maneno ya upole? Je! Atafanya agano pamoja naye, umtwae kuwa mtumishi wako milele? Je! Utamchezea kama ndege? Au, kumfunga kwa ajili ya wasichana wako? Je! vikosi vya wavuvi watamfanyia biashara? Watamgawanya kati ya wafanyao biashara? Je! Waweza kuijaza ngozi yake na vyuma vyenye ncha, au kichwa chake kwa vyusa? Mwekee mkono wako; vikumbuke vile vita, wala usifanye tena.Tazama, kumtamani ni bure ;Je! hatambwaga chini huyo atakayemtazama? Hapana aliye mkali akathubutu kumwamsha;bali ni nani  awezaye kusimama mbele yangu mimi? Ni nani aliyetangulia kunipa hata nimlipe? Kila kilicho chini ya mbingu nzima ni changu.Sitanyamaa kusema habari za via vyake,wala nguvu zake kuu,wala umbo lake zuri.Ni nani awezaye kumbambua magamba yake? Ni nani atakayepenya dirii yake maradufu? Ni nani awezaye kuifunga milango ya uso wake? Meno yake yatisha kandokando yake. Magamba yake yenye nguvu ndio fahari yake,yamefungamana pamoja kama kwa kufungwa kwa muhuri.Jinsi yalivyoshikamana hata upepo hauwezi kupita kati.Yamefungamana pamoja;Yamefungamana hata hayawezekani kutengwa.Kwa kuhemua kwake moto humemetuka, na macho yake yanafanana na makope ya alfajiri.Mienge iwakayo hutoka kinywani mwake, na macheche ya moto huruka nje. Moto hutoka katika mianzi ya pua yake kama nyungu akitoka na manyasi yawakayo.Pumzi zake huwasha  makaa, na miali ya moto hutoka kinywani mwake.Katika shingo yake hukaa nguvu na utisho hucheza mbele yake.Manofu ya nyama yake hushikamana;Yanakaza juu yake;Hayawezi kuondolewa. Moyo wake una imara kama jiwe; Naam imara kama jiwe la chini la kusagia"

  -Hii ni imani ya kiumbe mmoja anayeitwa mamba.Na mungu anataka uwe nayo hii imani.
  • Ni watu wa aina gani ambao hawawezi kuipata hii imani?
1. Imani ya moyo imara kama jiwe haipatikani kwa watu waoga.
    -Watu waoga ni watu wawazao mambo yaletayo hofu, badala ya kuwaza mambo yaletayo ujasiri. Maana yake unapowaza mambo ya hofu unafukuzia mbali imani yako.
   -Ukiwaza mambo ya hofu maana yake unamwambia mungu akuondolee ujasiri.
  • Imani hii ya moyo imara kama jiwe inakufanya uwe mtu wa aina gani?
   -Inakufanya uwe baunsa wa kiroho.Baunsa wa kiroho halizwi na mambo madogomadogo. Kuna mtu mmoja alimwambia Mtume Kayengela kwamba amemuona [ndotoni] akiwa ni pande la baba, akamuuliza Mtume Kayengela, au unataka unenepa sana? Mtume Alam kayengela akamwambia, hivi ndivyo nilivyo katika ulimwengu wa roho, hata kama naonekana mdogo sana.
  • Inamuathiri vipi shetani hii imani ya moyo imara kama jiwe?
    -Shetani anakosa nguvu ya kukuumiza. Kila pigo la shetani kwako linafeli. Akileta magonjwa kwako yanafeli.
    -Kumbuka kwamba kulikuwana insu mbili kwa Ayubu:
1. Mungu alitafuta uthabiti wa Ayubu kwake,na 
2. Shetani alitafuta Ayubu akufuru.
Lakini Ayubu alikuwa na moyo imara kama jiwe.Japo aliumia kimwili lakini hakuumia kiroho kwa sababu alikuwa na imani ya moyo imara kama jiwe.Kila pigo la shetani kwa Ayubu lilifeli.Ayubu 41:26-29,"Mtu akimpiga kwa upanga haumwingii;Wala fumo, wala mshale, wala mkuki wenye ncha.Yeye huona chuma kama nyasi, na shaba kama mti uliooza.Mshale hauwezi kumkimbiza; Na mawe ya teo kwake hugeuka kama makapi.Marungu  huhesabiwa kwake kama mabua;Naye hucheka mshindo wa mkuki ukitupwa"
  • Faida ya imani ya moyo imara kama jiwe.
   -Wewe unakuwa mtu wa tofauti katika nchi.
   Ayubu 41:33,"Juu ya nchi hapana aliyefanana naye; aliyeumbwa pasipo oga."-Maana yake unakuwa mtu asiye na woga.Hata kama roho wa mungu akikuambia kwenda hekaluni usiku wa manane, utaenda tu, kwa sababu wewe ni wa tofauti na hauna woga.
  • Hatua tatu za kuipata imani ya moyo imara kama jiwe.
1. Jiunganishe na kusudi la neno la ufunuo.
    -Ukishajiunganisha na kusudi la neno la ufunuo tayari unakuwa umejiunganisha katika ufunuo wa neno la mungu linalokupelekea kuipata imani hii ya moyo imara kama jiwe. 
2. Mwamini mungu na neno lake.
   -Hauwezi ukamwamini mungu halafu ukalipinga neno lake.hivyo kama kweli unamwa mini mungu basi amini na neno lake.
3. Fuliza kusikia bila kuchoka.
   -Isitokee hata siku moja utakayokosa kwenye mafundisho, na wala usikose kwenye ibada yoyote.
  • Funguo nne za kuifanya imani hii iongezeke.
1. Jitambue kama mungu anavyokutambua, na ujitambue kama biblia inavyokutambua, na ujione kama biblia inavyokuona.
   -Usijitambue kama ulimwengu unavyokutambua, wala usijione kama ulimwengu unavyokuona, bali jitambue kama mungu anavyokutambua na ujione kama mungu anavyokuona.Kwa kuzingatia hili imani yako ya moyo imara kama jiwe itaongezeka ndani yako.
  -Yohana mbatizaji alipoulizwa kuwa ni nani?Hakusema kwamba yeye ni mwana wa Zekaria bali alisema kuwa yeye ni "Sauti ya mtu aliaye nyikani", kwa sababu alijitambua kama mungu alivyomtambua na hakujitambua kama ulimwengu ulivyomtambua.

2. Kutwa mara saba umba neno rohoni mwako kwa kulikiri mfululizo.
   -Mfano,umejifunza kuhusu,"kuwa na imani ya moyo imara kama jiwe", Sasa wewe utasema,"Katika jina la Yesu mimi nina imani ya moyo imara kama jiwe", kutwa mara saba.

3. Anzisha tabia ya kiroho ya kusemesha uumbaji wa mungu.
   -Mfano,"unapoenda kuoga unaweza ukatamka kwamba, kama ninavyoondoa uchafu mwilini mwangu, ndivyo ninavyoondoa laana ya kutokuchumbiwa au kuchumbia katika jina  la Yesu-Amen"
   -Mtume Kayengela alipokuwa Singida kwenye semina, akingali akifundisha walikuwepo waasi wa ibada wanaoondoka kabla ya muda.Sasa hali akijua kwamba kila kitu kinasikia, hata mvua inasikia pia, akaamuru mvua kabwa kunyesha mpaka atakapomaliza kufundisha.Basi mvua kubwa ilinyesha na alipomaliza kufundisha na kukabidhi maiki mvua ikakoma.
   -Ebu! Thubutu kusemesha uumbaji wa mungu.

4. Kila mara jitamkie kwamba, nina imani ya moyo imara kama jiwe kwa hiyo sitaogopa.


                                           OMBA OMBI HILI.
"Mungu Roho Mtakatifu tazama uko hapa, unajua kila kitu kuhusu mimi. Hakuna umbali kati yangu na wewe.Nipe neema ya kushawishika kupokea imani hii ya moyo imara kama jiwe.Kwa jina la Yesu Kristo, sitapoteza imani hii.Amina."

     Tunakukaribisha kwenye Huduma ya Neno la  Ufunuo Tanzania, iliyoko Dar es salaam, manispaa ya Ilala-Chanika.

           
                                          TUNAKUKARIBISHA KWENYE MAOMBEZI.

                      

                                              +225763-359745,    &       +225712-583194.

                                                        Email: mlkayengela@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI