NENOLAUFUNUO LAWIKI HII KWAKANISA ULIMWENGUNI-Sehemu ya3 MAMBO GANI UYATARAJIE PALE UNAPOMFANYA MUNGU AJUTE KWASABABU YAKO?
UTANGULIZI WAKIUFUNUO
Apostle Alam J.Kayengela ambaye ni kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo dunani,katika idada yajana alianza utangulizi wakiufunuo akasema;
MTOTO MCHANGA KIROHO,HAELEWI VEMA MAHALIGANI AWEKE FURAHAYAKE ILI KUILINDA.
-AKASEMA-Ukisoma vizuri Yoh 14;27 Yesu anasema-Amani yangu nawapeni....
Sasa unajua,huwezi kuwanaamani bila furaha nahuwezi kuwa nafuraha bila amai.Kwahiyo,tunaweza kusema katika mstali huo anasema,FURAHA YANGU NAWAPENI-hii nikwakila aliye okoka. UMEPEWA FURAHA. UMEBARIKIWA FURAHA. Sasa kwaninihunafuraha?
Sababu moja wapo,uchanga wakiroho wakutokujua wapi uihifadhi furaha yako ili isishambuliwe umechangia. Huwa huelewi wapi uiweke furaha yako,ndiyomaana inashambuliwa kilamara.Kukosa Neno laUfunuo kumechangia hilo pia.
Katika 1kor 14;20 anasema,Ndugu zangu msiwe watoto katika akili zenu....bali katika akili zenu mkawe watu wazima.Umelielewa hilo? usiwe mtoto katika akili zako.Kunautoto kwenye akili. Hii haihusiani naelimu yako yakawaida uliyosoma au unayo soma,niwasomi wengi tu,ambbao bado niwatoto katika akili zao kuhusu Neno laufunuo.Hawajui wapi wawekefuraha zao kwahiyo kila mara hupoteza furahazao kwaurahisi. Mungu anataka katika akili yako uwe mtu mzima kiasi chakujua mahali pa kuificha furaha yako mahali ambapo shetani hawezi kuipata.Siyo kila siku furaha yako inapigwa tu,kwaurahisi.
1kor 13;11 inasema-Nilipokuwa mtotomchanga,nalifahamu kama mtoto mchanga,nalifikili kama mtoto mchanga,tokea hapo nilipo kuwa mtu mzima,nimeyabatilisha mambo yakitoto.Nivizuri uyajue mambo yakitoto niyap,ambayo mbingu zinakutaka uyabatilishe haraka. Mambo hayo yakitoto niyapi?-nipamoja nawewe kuwekeza furaha yako mahali pasipo sahihi. Niwapi hapo?
Soma vizure-mathayo 7;24-27 mst wa 26-27 anasema,Nakila asikiaye hayo manenoyangu asiyafanye,atafananishwa namtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu yamchanga.Mvua ikanyesha,mafuriko yakaja,pepo zikavuma zikaipiga nyumba ile ikaanguka,naloanguko lake likawa kubwa.Ok,Kwanini furaha hiyo ilipigwa ikaanguko? sababu imejengwa kitoto,imejengwa kipumbavu,imejengwa kwenye mchanga-LOO,hilo nitatizo lawengi. Kilasiku furaha zinapigwa nakuanguka kwaurahisi.
KUJENGA FURAHA YAKO KIPUMBAVU AU JUU YAMCHANGA INAMAANISHA NINI KINABII AU KIUFUNUO?
1.Nikuiweka furaha yako kwenye pesa,kwahiyo ikitokea kupoteza au kudhurumiwa basi nafuraha yako inapotea nashetani anaizurumu kwa urahisi
2.Nikuweka furaha yako kwenye cheo-kwahiyo ukishushwa cheo,nafuraha yako imeshuka. Kwanini imeshuka,Utoto katika akili zako wakuto kujua wapi uweke furaha yako
3.Nikuweka furaha yako kwenye faida yabiashara yako-hivyo shetani akiipiga faida hiyo ameipiga nafuraha yako.
WAPI NAPASWA KUIWEKA FURAHA YANGU?
MALAKI 1;1 imeandikwa,UFUNUO WANENOLABWANA KWA ISRAELI KWAMKONO WAMALAKI,NIMEWAPENDA NINYI,ASEMA BWANA. LAKINI NINYI MWASEMA,UMETUPENDAJE? JE,ESAU SIYE NDUGU YAKE YAKOBO?ASEMA BWANA;ILA NIMEMPENDA YAKOBO.
-WAPI UNAPASWA KUWEKA FURAHA YAKO?-Nikwenye kuchaguliwa kwako TU.
Kwahiyo ukipoteza chochote au kujeruhiwa kwanamna yoyote,unapaswa uache utoto nauanze kufikiri Kiufunuo nakujisemea mwenyewe-PAMOJA NAHAYA,KAMWE FURAHA YANGU HAITAPIGWA KIRAHISI HIVYO.MUNGU ASANTE KWAKUNICHAGUA KUWA WAKO. ASANTE KWAKUWA ULINIPENDA NAKUNICHAGUA ILI NIISHI NA WEWE HATA BAADA YAMAISHA HAYA YADUNIANI YALIYO JAA DHIKI NA MAKWAZO YAKILA NAMNA. SHETANI LAZIMA UJUE KUWA MIMI SIYO MTOTO TENA,KWAHIYO FURAHA YANGU HAUTAIKAMATA.. AMINA
baada ya utangulizi huo wa kiufunuo,Apostle Kayengela aliendeleza ujumbe wa wiki iliyo pita aka sema,
MAMBO GANI UYATARAJIE PALE UNAPO MFANYA MUNGU AJUTE KWASABABU YAKO?
jambo lakwanza
-Jiandae kujuta kwakila baraka uliyo pewa na Mungu-Galatia 6;7-upandacho utakivuna hakika.na zab 18;25-26 inasema,kwamtu mwenye fadhiri utakuwa mwenye fadhiri;kwamkamilifu utajionyesha kuwa mkamilifu;kwake ajitakasaye utajionyesha kuwa mtakakatifu,nakwampotovu utajionyesha kuwa mkaidi.
-Mungu anaondoka kwamwondoko wako. utakavyo kuwakwake ndivyo anavyo kuwakwako.ukimfanya ajute kwasababu yako,atajitahidi kufanya kilalinalowezekana kuhakikisha baraka ulizo nazo zikufanye ujute. Nihivyo tu.
jambo la pili
-Kama wewe nimtumishi wa Mungu uliye nawatu chini yako,Israeli wako watakimbia mbele ya wafilisti-yaani,washirika wako,hawataweza kusimama mbele ya magonjwa,mapepo,vifo,njaa n.k
utasoma vizuri 1samweli 31;1-israeli walikimbia mbele ya wafilisti
jambo latatu
unapo mfanya Mungu ajute kwasababu yako,ataruhusu kilasiku wafilisti wakufuatilie SANA-yaani,kufukuzwa kazi,kutapeliwa,kukosa kibali,kufiwa kila mara nakukosa changamko lamoyo namengineyo ambayo yatakushinikiza kukosa furaha-tz mst 2-3 walimfuatilia sana. Angalia pia na isaya 47;11 anasema-kwasababu hiyo ubaya utakupata;..na msiba utakuangukia, hutaweza kuuondoa,naukiwa utakupata kwa ghafra,..
jambo lanne
- Mungu ataruhusu uuangukie upanga wako mwenyewe-tz 1samweli 31;4 sauli akauangukia upanga wake mwenyewe..maanayake-biashara yako mwenyewe itakuua,ataruhusu kazi yako mwenyewe ikuue,pesa zako mwenyewe zitakuangamiza. Usifanye mzaha najambo hili,maana Roho mtakatifu yuko kazini,akilionya kanisa.Tafadhari msikilize Roho aklinena nawe
jambo la tano
Kama utamfanya Mungu ajute kwasababu yako tarajia kuona mbeba siraha wako akifa. Mbeba siraha wako atakufa. tz 1sam 31;5-6 mbebasisira wake akauangukia upangawake akafa.Mbeba silahawako,nimsaidizi wako anaye kusaidia kwanamnamoja au nyingine anaweza akawa mume wako au mkewako kabisa,au mtu anayekusomesha,au yule unaye mtegemea kukusaidia mambofurani furani
heri kurekebika haraka.
OMBA OMBI HILI
-Mungu Baba nashukuru kwa NENO LAKO LAUFUNUO na mtumishi wako Alam J.Kayengela tafadhari,endelea kumtumia kwaajiri yangu,kwakuwa umemuinua kwakusudi lako maalumu,kwakizazi maalumu.NIONEE HURUMA NISIJE NIKAKUFANYA UJUTE
AMINA
KWAMSAADA ZAIDI PIGA-0763359745 AU 0712583194
Mtume akiwa amezama kwenye ibada ya kumuabudu Mungu
maombezi maalumu
ziara aliyo tembelea mradi wa kuku ulio anzishwa na Huduma hiyo
Kulia, ni Mtume Kayengela,kati kati ni mke wake na kushoto ni Mtumishi mtendakazi wa Huduma ya Neno laUfunuo Israel ambaye pia nimtaalam wa mambo ya mifugo,akiwa kama msimamizi wa mradi huo
karibu kwenye kusudi la Neno la ufunuo tumtumikie Mungu kikusudi zaidi

Comments
Post a Comment