NENO LAUFUNUO LAWIKI HII KWA KANISA ULIMWENGUNI-sehemu ya pili-TAHADHARI YAKIUFUNUO-Usimfanye Mungu ajute kwasababu yako
Kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la ufunuo ulimwenguni-Mtume Alam J.Kayengela alitoa onyo kwa kanisa duniani nakusema;
JIHADHARI SANA USIJE UKAMFANYA MUNGU AJUTE KWASABABU YAKO
Mtume Kayengela alisema-
Unajua nikwanini unatakiwa kujihadhari sana usije ukamfanya Mungu ajute kwasababu yako?
Nikwasababu yeye si mtu wala simwanadamu mpaka ajute-Hesabu 23;19
Mtume Kayengela akasema-
Elimu ya kidhebu au chachu ya kifalisayo inasema-Mungu hawezi kujuta hata siku moja.Apostle Alam akasema-kwakweli hiyo nielimu na chachu ya kifalisayo. Nichachu ya kidhehebu. Kama nimuhubiri unaye jaribu kusisitiza kitu ambacho wewe mwenyewe hukielewi vizuri,ujue unajaribu kutema sumu ya chachu ya kifalisayo au yakidhehebu,ndiyo maana wakati mwingine unaweza kuushambulia ukweli bila wewe kujua.
JIHADHARI USIMFANYE MUNGU AJUTE KWA SABABU YAKO
1samweli 15;1o-11 inasema, Ndipo Neno la BWANA likamjia Samweli,kusema,Najuta kwasababu nimemtawaza Sauli awe mfalme;maana amerudi nyuma,asinifuate,wala hakufanya niliyo mwamuru.
Mambo mawili yaliyo mfanya Mungu ajute
1.Sauli alirudi nyuma
2.Sauli hakufanya aliyo amriwa kufanya
-Mungu akajuta kwa sababu ya hayo mambo mawili
Lazima uelewe kwamba,Kila hatua yakurudi kwako nyuma huwa inamfanya Mngu wako ajute.
-Kama umerudi nyuma kimaombi,kimatoleo,kiimani,kiupendo,kiibada n.k elewa unana sababisha Mungu ajute.
Kila hatua inayo kufanya usifanye yale ambayo Mungu anaagiza hakika inamfanya Mngu ajute kwasababu yako
MUNGU AKASEMA;
-NAJUTA KWASABABU NIMEMTAWAZA SAULI AWEMFALME;
APOSTLE KAYENGELA AKASEMA
1.Jihadhari sana usimfanye Mungu ajute kwa sababu yawewe kuwepo duniani
-maana yawezekana hufanyi yale aliyo kukusudia kufanya hapa duniani
2.Jihadhari sana usimfanye Mngu ajute kwasababu amekupa hicho cheo
-maana yawezekana nafasi hiyo utakuwa unatimiza matakwa yako tu,au hata kuwanyima wengine hakizao
3.Jihadhari sana Mungu asije akajuta kwasababu yakukupa huyo mke au mume
-wengi hawajui kama mwenzi wao nizawadi toka kwa Mungu. Na kwasababu hiyo,hawatimizi Yale maagizo hasa ya Mungu juu ya ndoa yao. Anajuta,kwanini alikupa huyo
4.Jihadhari sana Mungu asijute kwasababu ameruhusu pesa kuja mikononi mwako
-wengine hata hawajui kwanini Mungu ameruhusu pesa kufika mikononi mwao. Hawajui.Kama huwezi kufadhiri injiri yakweli kupitia hiyo pesa ambayo Mungu anairuhusu kuja kwako,nasikitika kwambia kwamba-Mungu anajuta,hatakama wewe hujali au hujui. Hivyo anasema-NAJUTA KWASABABU NIMERUHUSU PESA KUJA MIKONONI MWAKO. NAJUTA.
5.Jihadhari sana Mungu asijute kwasababu ya yeye kuku leta kwenye kusu lake
-yawezekana hata hujajua kwanini Mungu alikutoa huko alikokutoa akakuleta kwenye kusudi. Kwasababu hiyo hufanyi yale yanayo kupasa wewe kufanya kwenye kusudi. Upo-Upo tu. Anajuta.
6.Jihadhari sana Mungum asijute kwasababu amekupa wokovu
-jiulize kama angalau kwa mwezi mara moja tu,huwa unafunga nakuomba kwaajiri yakumshukuru Mungu kwa kukuokoa-nakutenga sadaka maalumu ya kumshukuru Mungu kwa kuku okoa. Huwa unafanya?
7.Jihadhari sana Mungu asijute kwasababu amekupaka mafuta kuwa mtumishi wake
-nihatali kujishugulisha na jambo ambalo huna uhakika ni Mungu amekuitia. Usipo tumikia ulicho itiwa,kwavyovyote Mungu atakuwa anajuta kwasababuyako bila wewe kujua. Usidanganyike kudhani kwamba,mafanikio yakipesa au wingi wawa fuasi niuthibitisho wa kiungu juu yako. Hapana.
8.Jihadhari sana Mungu asijute kwasababu amekupa mali,magari,nyumba,lasilimali,n.k
-unaweza ukawa navitu hivyo lakini Mngu hafaidiki navyo. Anajuta.kwahiyo anasema-NAJUTA KWASABABU NIMERUHUSU MALI KUJA KWAKO.
9.Jihadhari sana Munasijute kwasababu amekupa hiyo ajira
-yawezekana unafurahia ajira lakini Mngu hafurajapo niyeye kakupa hiyo ajira. Hfurahi kwasababu hufanyi mambo aliyo yaamuru kwa wote walio ajiliwa.
10.Jihadhari sana Mungu asijute kwasababu ame kuweka katika nchi hii
-usipo elewa kwanini Mungu amekuweka hapo ulipo. Hautafanya maagizo ya nchi husikaHivyo atajuta
OMBI
Ee Mungu wa kusudi,naomba unionee rehema,maana kunamaeneo mengi maishani mwangu,nimesababisha ujute. Nisamehe Baba
huduma yamaombezi inaendelea
Apostle akiwaombea wanahuduma
Aliye kutana na nguvu za roho mtakatifu wakati wa ibada
Maombezi kwa wajawazito
KARIBU SANA KWENYE KUSUBI LA NENOLAUFUNUO TUMTUMIKIE MUNGU
Comments
Post a Comment