NGUVU 4 ZINAZO MUHAMASISHA MWENYE HEKIMA KUENDELEA KUJITOA KIKAMILIFU KWENYE KUSUDI AU KWENYE MAPENZI YA MUNGU-sehemu ya 3
Mtume na Mwalimu Alam J.Kayengela ambaye ndiye kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo-akihubiri jana kwenye sherehe za kiibada za kustarehe pamoja naMungu siku ya saba ya ijumapili iliyo barikiwa na Mungu-sherehe zinazo anza as.mpaka jioni kila siku ya ijumapili alianza kwakusema kwamba
Hata siku moja,Mungu hata itelekeza kazi yake aliyo ianzisha-maana imeandikwa kwamba,Yeye aliye anzisha kazi ndani yenu ataitimiza. Hata kwenye Ayubu 42;2 anasema-Makusudi yake hayata zuiliwa.
Mtume Alam alisema kwamba,siku za mwanzoni alipo anza Huduma akiwa anaabudu na mke wake tu,chini ya mwembe,hata mkewe alitilia mashaka wito wake,lakini kwa hatua hii japo bado tuko kwenye mwanzo mkewake ameanza kukiri na kushuhudia wema wa Mungu
APOSTLE aliendelea kusema kuwa,
SABABUINAYO TUFANYA TUAMINI KWAMBA,HUDUMA HII INAKWENDA KUWA YA KITAIFA NA KIMATAIFA-Nikwasababu-Hatua tuliyo nayo leo,siyo ile tuliyo kuwa nayo mwaka jana
sura ya madhabahu


Leo hii tuna ukumbi wetu wenyewe ambao uko kwenye kiwanja chetu wenyewe,tofauti na mwaka ulio pita tulikuwa tumepanga na wakati huo huo tulitokea kwenye kiwango cha kuabudia chini ya mti wa mwembe-AKASEMA,hata huo mti wa mwembe haukuwa wakwetu
sura nje
Kiongozi huyo alisema-HATUWEZI KUANDIKA POLOPOZO ZAKUOMBA MSAADA NJE-maana hata hatua hii ndogo tuliyo ifikia kwa kipindi cha miaka hii miwili ya majaribu mazito hatukuwa tumefanya hivyo-ILA TUNAAMINI KUNA WATU HUKO NJE YA NCHI AU NDANI YA NCHI AMBAO WANA ROHO YA MUNGU WALIO PEWA MZIGO WA KUFADHILI KAZI YA MUNGU KAMA HII BILA MASHALTI YOYOTE-Tuna waruhusu kupanda mbegu zao hizo walizo pewa na Mungu maana tuna uhakika kwamba,Mungu anapo kuonyesha,Shamba lenye udongo mzuri kama hili la Huduma hii inayo kwenda kuwa kubwa hivi punde anasababu ambazo hata wewe mwenyewe mtoa mbegu unakuwa huzijui-KIONGOZI HUYO ALISEMA-Watu wengi wanapesa nyingi tu,lakini hawajui kwanini Mungu ameruhusu pesa hizo kuwa mikononi mwao.
Katika utangulizi huu,Mtumishi wa Mungu alimaliza kwa kusema,Mtu yeyote kwakuwa anakuwa hana Roho mtakatifu-Hawezi kamwe kukubali kutoa pesa yake kufadhili kanisa ambalo si,kanisa lao,lakini akiwa naRoho wa Mungu ndani yake-atajitoa tena kwakiwango kikubwa bila kutafakali hata dini yake au mapokeo yake kwasababu Roho wa Mungu aliyeko ndani yake,Hana mipaka ya kimapokeo.
-Mwenye sikio na asikie,kile Roho anacho ongea na makanisa. Amen
JEHANAMU AU KUZIMU KUNA NINI?
-hii ninguvu ya 3 iliyo wafanya wenye hekima kuendelea kujitoa kikamilifu kwenye kusudi la Mungu.Hawakujitoa kwabidii ili kupata utajiri,umaalufu,upako,au hata afyanjema-Hapana.Bali walikuwa wakifikili kuhusu jehanamu au kuzimu.
Apostle alisema-kuna tofauti ya KUZIMU,JEHANAMU NA KWENYE ZIWA LA MOTO-nivitu vitatu tofauti.
-Alitoa ufafanuzi kwa ufupi
AKASEMA
1.Ziwa lamoto wa milele nimahali palipo andaliwa maalumu kwa mateso ya ibilisi na manabii wa uongo pamoja na malaika walio asi pamoja na shetani-ziwa hilo nimoto mtupu uta waunguza kila siku saa 24 kama kitabu cha ufunuo kinavyo eleza
-kwa wakati huu hakuna kiumbe yeyote ambaye amesha tupwa hapa-nimpaka siku ile ya hukumu kuu ya mwisho itakayo fanyika baada ya utawala wa miaka 1000 ya krito pamoja na watakatifu. kwa wale walio nunua kitabu changu kiitwacho CHUKUA NAFASI YAKUJITAMBUA WEWE NI NANI NDANI YA KRISTO-wame elewa hilo.
2.Jehanamu-nimahali ambapo mwenye dhambi atapita kuelekea ziwa la moto wa milele
3.kuzimu imegawanyika katika makundi makuu 3
a.Mahali pa mateso ya wenye dhambi-Hapa unaingia pale tu, unapo kufa bila kutubu au unapo kufa nadhabi-kama ilivyo andikwa kwenye Ebrania 9;27 na Luka 16-tajiri mwovu aliye ishi na Lazalo,alipo kufa alihukumiwa kwenda kwenye eneo hili. kwaufupi,eneo hili nimahali unapo teseka kwa moto huku ukisubiliwa kupelekwa kwenye ziwa la moto wa milele na milele.
b.Mahali pa utawala na utendaji wa shetani-hili nieneo lakuzimu linalo julikana kama makao makuu ya utendaji wa ibilisi-wachawi wanapo enda kuzimu,wana enda kwenye eneo hili. Nimahali pa viwanda vya nguo,magari,nyele hizi bandia n.k-kuna majengo mazuri,bara bara nzuri-wana damu walio jitoa sadaka kwa shetani wanapo fika eneo hili-husema-Kuzimu kuzuri.
-ukisoma katika uf 9;11-unaona malaika wa kuzimu aitwae Apolioni au Abadoni-huyu nimalaika wa kuzimu anaye endesha shughuli nyingi za kuzinu. Katika eneo hili ndipo walipo wale malaika walio asi pamoja na shetani-Yuda 1;6
c.Mahali pastarehe za waabudu shetani-nimahali pa manzari mazuri,penye ufahali wa viwango vya juu kuliko hata duniani
BAADHI YA MATESO YA KUZIMU
-Kuna mahali ukiingizwa kwenye chumba-mapepo yanakuja kuchomoa ulimi wako kisha yanaula mbele yamacho yako
-kunaeneo lamaonyesho ya mateso,unawekwa kati kati ya uwanja mkubwa kisha unasulubiwa kwa mateso ya kila aina
KWAMAELEZO ZAIBI WASILIANA NA APOSTLE ALAM J.KAYENGELA KWA
Email; mlkayengela@gmail.com
SIMU; 0763 359745 au 0712 583194
Comments
Post a Comment