NGUVU 4 ZINAZO MHAMASISHA MWENYE HEKIMA KUENDELEA KUJITOA KWENYE KUSUDI AU KWENYE MAPENZI YA MUNGU-sehemu ya pili
Apostle Alam J.Kayengela kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo Tanzania-akiendeleza somo la wiki iliyo pita,katika sherehe za kiibada za kustarehe pamoja na Mungu kuanzia asubuhi mpaka jioni-katika kanisa hilo lililopo eneo la Chanika manispaa ya Ilala kitongoji cha mtaa wa Kaanani Lukooni jilani na shule ya msingi lukooni-kanisa likiwa nashangwe za kipekee alianza kwa kuelezea mambo makuu 3 ambayo siyo vibaya yakijulikana kwa kanisa na dunia yote
ALISEMA
1.HUDUMA YA NENO LAUFUNUO INAKWENDA KUWA KUBWA
-Alitoa sababu 3 kwa nini Huduma hii inakwenda kuwa kubwa kiasi cha kuufikia ulimwengu
a.Kwasababu inamisingi ya Agano lililo bora
b.Inanguzo 9 imara za kiroho
c.Inanguvu dhidi ya wachawi-katika hili kiongozi huyo alisema,mtuyeyote akisha jiunganisha kwadhati kwenye Huduma hii hata wachawi wanatambua kwamba hawamwezu TENA
2.KUWA SEHEMU YA KANISA LINALO ENDA KUWA KUBWA,NIKUPATA URITHI MWEMA
-Alisema kuwa huu urithi unakufanya
a.Ufurahie uzee wako-alisema kuwa,huwa siyo rahisi kufa mapema kama kweli umejiunganisha vizuri na kusudi-siyo rahisi
b Alisema kuwa, kupata urithi mwema wa kuwa kwenye kanisa linalo enda kuwa kubwa kuna kufanya umtumikie Mungu wa kweli ambaye wazee wako wa kale hawa kupata fursa hiyo muhimu
c.Unajaliwa kumuabudu Mungu katika roho na kweli
3.HUDUMA YA NENO LAUFUNUO INAKWENDA KUWA TAJIRI HATA KATIKA MAMBO YA PESA-Kwasababu inaamini pia utajiri katika kristo.
-Aposto alisema kuwa,Huduma hii ina kwenda kuwa tajiri hivi karibuni kwasababu
a.Lina maono ya miradi mikubwa ya kimaendeleo
b.Lina maono ya kuwa saidia wahitaji-kwamjibu wa kumbu kumbu la torat 15
c.Lina maono ya kufikia mataifa-siyo taifa tu
-katika sehemu hii ya kwanza alimaliza kwa kusema-WATUMISHI WA KANISA HILI KATIKA KITENGOCHOCHOTE,WATAKUWA MATAJIRI SANA KWA NAMNA YA HATA WAO WENYEWE KUJISHANGAA-Alisema-labda Yesu awahi kuja kutuchukua kwenye unyakuo kabla haya malengo hayajatimia
-Mmekusudiwa mambo makubwa ninyi mlio pata ufunuo wa kujiunganisha kwenye mtandao huu unao enda kukua kwa kasi-KUJIUNGA KWENYE HUDUMA HII MAPEMA BILA SHAKA NIKUJALIWA NA NINEEMA YA KIUFUNUO.
APOSTLE ALIENDELEA NAUJUMBE WA NENO LA UFUNUO KWA UFUPI-unao zungumzia Nguvu 4 zinazo muhamasisha mwenye hekima kuendelea kujitoa kwenye kusudi au kwenye mapenzi ya Mungu-katika sehemu hii ya pili,alisema juu ya
KIFO
-Akasema
kenye kifo kuna nini?
alitoa ufafanuzi kwa ufupi akasema-
KWENYE KIFO KUNAMAMBO YAFUATAYO
1.Mala nyingi kifo hakina taalifa-alisema-kwa kujua hilo tu, kungeweza kuku fanya kuendelea kujitoa zaidi kwenyekusudi
2.Kwenye kifo kuna Hukumu
-katika Ebrania 9;27 na luka 16-unapo kufa muda huo huo,utakabiliwa na hukumu itakayo amua uende motoni milele au mbinguni milele-Wenye hekima tu,ndio wanao yafikilia haya
3. kifo kina fungua ukurasa wa maisha mapya katika ulimwengu mpya-APOSTLE ALISEMA-kifo siyo mwisho wa uhai wako,bali nimwisho wa uwepo wako hapa duniani lakini ikiwa ni mwanzo wamaisha mapya katika ulimwengu wa kuzimu ya moto au mbinguni-wenye hekima huya tafakari sana hayo
4.Kifo kina kupeleka kuwa karibu sana na Bwana yesu kama ulilitumikia kusudi vizuri-2kor 5;8
-Usiishi kama vile huta kufa-itakuwa nishauri yako ukipoteza lengo lako lakuliishia kusudi.
Apostle alimaliza kwa kusoma kitabu cha muhubiri 9;10-nakusema-
Mungu anasema-lolote ambalo mikono yako itapata kulitenda,litende kwa nguvu-bila shaka alimaanisha,utende tu,kwa maana hujui kesho itakujiaje wewe.
-Mwenye hekima amesha elewa kile Mungu anacho maanisha hapo.
KWA MAWASIRIANO ZAIDI YA MOJA KWAMOJA NA APOSTLE ALAM J.KAYENGELA PIGA
0763359745 AU O712583194
EMAIL;mlkayengela@gmail.com
KARIBU KWENYE HUDUMA YA NENO LA UFUNUO TUJIANDAE PAMOJA KWENDA MBINGUNI-BAADA YA KULITUMIKIA HILI KUSUDI-
AMINA
Comments
Post a Comment