SABABU YAWEWE KUTOKUWA NA HOFU
Mwalimu na Mtume Aam J.Kayengela ambaye ndiye kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Nenola Ufunuo yenye makao makuu Dar es salaam Tanzania-katika manispaa ya Ilala Chanika,juzi ijumapili alikuwa akifundisha Neno la Ufunuo linalo sema-SABABU YA WEWE KUTOKUWA NAHOFU lakini kabla ya ujumbe huu,alianza kwa utangulizi wa kuhusu
SHEREHE ZA KUSTAREHE PAMOJA NAMUNGU KATIKA SIKU YA SABA YAIJUMAPILI ILIYO BEBA BARAKA HALISI ZA KIROHO-MWZ 2;1-3
ALIAINISHA FAIDA ZA SHEREHE ZAKIIBADA ZA KUSHINDA HEMANI MWABWANA
1.Uwezekano wa kushawishiwa na dhambi una kuwa mgumu sana-unapo itumia vizuri ijumapili kwa kushinda hemani kuanzia as.mpaka jioni-2Yoh 1;9
2.Nifungu jema la KiMungu ambalo huta ondolewa kabisa milele-Luk 10;38-42
-Yaangalie sana mambo hayo mawili,kwa mwenye hekima,tayali amesha gundua kuwa niyamuhimu sana kwake.
Apostle wakati akiendelea kuhubiri kuelekea kwenye ujumbe wa siku hiyo,alinukuu kitabu cha Ufunuo 2;7 kinacho someka-Yeye aliye na sikio na asikie Neno hili ambalo Roho ayambia makanisa.
AKASEMA
Popote yalipo makanisa ya Mungu,watetege sikio wasikie kile Roho anacho sema.Roho anaongea kile Neno linasema. Kumbuka maneno ni Roho-Yoh 6;63.Wakati unapo sikiliza Neno-unauhakika unamsikiliza Roho akiongea.kwamaana maneno ya Mungu ya kiufunuo ni Roho Mwenyewe Akiongea
ONYO
Ebr 3;7-8-LEO KAMA UTAISIKIA SAUTI YAKE USIFANYE MOYO WAKO KUWA MGUMU
-Maana yake anakuandaa,kwani leo anaweza kukusemesha,anaweza kuongea na wewe,HATA HIVYO ANAONGEA NA WEWE SAA HII.
LAKINI,NIJUU YA NINI ANA ONGEA?
NIJUU YA SABABU YA WEWE KUTOKUWA NA HOFU-AMINA
KWANZA KABISA,ELEWA VYANZO VYA HOFU AU VITU VINAVYO CHOCHEA HOFU
1.Kile unacho kisikia kwa masikio yako kikija kinyume na ujasiri wako-hili hutambulika kama,shambulio dhidi ya ujasiri wako-niujasiri wako unao shambuliwa
2.Kile unacho kiona-unakumbuka Petro alipo uona upepo akaogopa nakuzama
3.Tafsiri mbaya-hii huja akilini nakushambulia kila kitu kinacho jaribu kukupa matumaini au Imani
4.Ujinga-kuto kulielewa vizuri Neno la ufufunuo ni chanzo kikubwa cha hofu zako ZOTE
5.Maumivu ya moyo au ya mwili-saa ya maumivu hofu ingependa ijieneze kwako,mpaka kwenye mishipa yako ya fahamu
6.Marafiki wataaibisha Imani-unakumbuka habari za Ayubu na marafikize
7.Ukame wa chakula halisi cha kiroho(NenolaUfunuo)-unakumbuka Eliya alipo kosa kwa muda mlefu Neno,alimkimbia yezebeli-muabudu miungu isiyo nanguvu dhidi ya Mungu wa Ibrahimi,Isaka,na Yakobo?
-Ukihitaji ufafanuzi zaidi juu ya vyanzo 7 vya hofu- nipigie
0763359745 au 0712583194
SABABU YAWEWE KUTOKUWA NA HOFU
Nikwamba-Hupaswi kuogopa kile kilcho amliwa na Mungu kikuogope WEWE
Mwanzo 9;1-2-kila mnyama wa katika nchi atawaogopa NINYI na KUWAHOFU na kila ndege wa angani pamoja na VITU VYOTE KATIKA ARDHI......
Roho ANASEMA-Hupaswi kuwa nahofu wala wasi wasi yoyote,kwa maana vitu vyote vimeamriwa toka asili-VIKUOGOPE WEWE.
Lazima uamini kwamba,KILA KITU CHENYE JINA,KITEMBEACHO JUU YA ARDHI,NA JUU YA ANGA-KUNA NGUVU YA ASILI,INAYO KILAZIMISHA KUKUOGOPA NA KUKU HOFU WEWE.
Nikituko-Kuogopa kinacho kuogopa
-KUANZIA LEO,UNALUHUSIWA KTEMBEA KIFUA MBELE KAMA UTAKUWA UMESIKIA KILE ROHO ANASEMA NA KANISA-hautafanya moyo kuwa mgumu kiasi cha kuto kuupokea ufunuo huu rohoni mwako.
APOSTLE- ALAM J.KAYENGELA ANAENDELEA NA IBADA PIA ZA MAOMBEZI
TUMA MAHITAJI YAKO YA KUOMBEA KWAKUTUMIA mlkayengela@gmail.com
-kwa maelekezo yafuatayo;
1.Jina kamili nanchi uliyopo
2.Tumia lugha ya kiswahili
3.Ambatanisha picha yako kwenye hitaji lako
Kwa wakazi wa Tanzania-Njoo Dar es Salaam panda magari ya kwenda G,lamboto-ukishuka Gongolamboto mwisho una panda magari ya kwenda Chanika-unashuka Chanika mwisho-kisha unapiga simu-0758225443 au 0712583194 na 0763359745-ili uonyeshwe kanisa lilipo
UNAHERI KAMA UTAITUMIA VEMA NAFASI HII,ILI KUJITAFUTIA MAALIFA SAHIHI YA KIROHO
AMINA
Comments
Post a Comment