KITABU KITABU KITABU CHA AJABU CHATOKA
Kitabu kilicho sadikiwa kuwa kitabu cha ajabu kimetoka na kutangazwa rasmi na Apostle Alam J. Kayengela jana ijumapili kwenye sherehe za ibada za kustarehe pamoja na Mungu siku ya saba ya ijumapili iliyo barikiwa na Mungu.
Niki tabu cha aina yake chenye kurasa zaidi ya 200 kama unavyo kiona hapa
kitabu hiki kimekusudiwa kuwafikia wote wenye njaa na kiu ya haki-ambao Bwana Yesu alisema,wanaheri.
SIRI YA KUSOMA VITABU VILIVYO ANDIKWA NA ROHO MTAKATIFU
-Apostle Kayengela alianza kwa kuelezea kwa ufupi kuhusu kusoma vitabu
AKASEMA
-Kwamjibu wa Isaya 11;2 Usomaji wa vitabu vyenye uvuvio wa Roho mtakatifu unaruhusu Roho ya maalifa na ufahamu kuja kwako. Ikumbukwe kwamba,watu wa Mungu wana angamizwa kwa kukosa kuwa na maalifa-Hosea 4;6
APOSTLE ALIENDELEA KWA KUSEMA-
Unapo soma katika Danieli 9;2 unagundua kwamba,Danieli kwa kuvisma vitabu alipata ufahamu-yaani alipata kujua kitu furani
Danieli 1;17 Danieli alipevuka sana kwenye mambo ya ulimwengu wa roho mpaka kujua tafsiri ya kila ndoto moja vilivyo sababisha hali hiyo ilikuwa usomaji wa vitabu vilivyo andikwa kwa maongozi ya Roho mtakatifu. Msomi mwenye elimu kubwa na stashahada zajuu,anaweza kuandika vitabu vingi lakini kama Roho mtakatifu hajahusika kikamilifu juu ya huo uandishi nibure kabisa.
Apostle akasena-wengi wana shangaa jinsi ambavyo Mtume Paulo alivyo kuwa na ufahamu wa kiufunuo-hawajui kama alikuwa msomaji sana wa vitabu-2Timoth 4;13
Baada ya hayo Mtume Alam alianza ujumbe wa Neno la Ufunuo alio upa kichwa kinacho someka;
NGUVU 4 ZINAZO MUHAMASISHA MWENYE HEKIMA KUENDELEA KUJITOA KIKAMILIFU KWENYEKUSUDI AU KWENYE MAPENZI YA MUNGU
APOSTLE ALISEMA,NGUVU HIZO NI;
1.MBINGU
2.KIFO
3.UNYAKUO
4.JEHANAMU AU KUZIMU
Kwahiyo alisema,mambo hayo manne ninguvu isiyo ya kawaida inayo muhamasisha mwenye hekikima kuendelea kujitoa kwenyekusudi au kwenye mapenzi ya Mungu wake-kuendelea kujitoa kwa mwenye hekima katika kusudi la Mungu,hakuchochewi na kutaka utjiri,umalufu au majibu ya maombi yake kwa Mungu-Hapana.Yeye husukumwa na vitu hivyo 4 nilivyo viainisha hapo. Yaani Mbingu,Kifo,Unyakuo,Jehanamu au kuzimu.
APOSTLE KAYENGELA
AKASEMA;
Mbingu ina nini?
Kifo kina nini?
Unyakuo una nini
Nakuzimu au jehanamu kuna nini?
AKAENDELEA KWA KUSEMA;
Umesha waza nikwanini wenye hekima walitamani zaidi kuishi mbinguni na siyo duniani? mtumishi alipo tamka neno hilo alinukuu 2wkortho 5;8 na akatoa sababu chache nakusema;
1.Nikwasababu mbingu nimahali pazuri palipo pambwa kwa kila aina ya mapambo mazuri-Uf 21;2
Mapambo ya mji wa mbinguni
a.mji umepambwa kwa utukufu-mst 11
b.mji umepambwa kwa mwangaza wa kun"gara sana
c.mji umepambwa kwa ukuta mkubwa mrefu wenye milango mizuri pekee-mst12-15
d.mji umepambwa kwa dhabu tu,kilamahali upitapo nidhahabu tu,ikitoa mn"gao dhahabu safi mfano wa kioo safi kabisa-mst18
e.mji umepambwa kwa mitaa ya bara bara zinazo n"gara sana kama kiyoo-mst19
APOSTLE ALIMALIZA KWA KUSEMA
Nivema usisitize MBINGU kwa muda huu mfupi ulio baki nao chini ya jua
Comments
Post a Comment