ILI UENDELEE KUWA RAFIKI WA MUNGU,KUWA NAKIBALI CHA KIUNGU,HEKIMA YA KIMUNGU,PAMOJA NA AFYA NJEMA-Jiepushe nawatu wa aina hii

Ili uendelee kuwa rafiki wa Mungu,kuwa na kibali cha kiungu,hekima yakiungu na afya njeme ina bidi ulazimike kujiepusha nawatu wa aina ifuatayo;
AKASEMA;
1.Wenye mfano wa utaua-Akanukuu-2Timot 3;5
2.Wale waendao bila utaratibu, Mtumishi huyo kiongozi ali nukuu 2Thesalonike 3;6
3.Wenye kigeu geu-akaonya kwamba,nivema kuisoma mistali hii ili kujilidhisha-Mith 24;21
4.Wasio haki-zaburi 1;1,baada ya kunukuu mistali hiyo,kiongozi huyo mwenye neema ya kiufunuo katika Neno aliongeza kwa kusema kwamba,nivema kanisa litafakali pia habali ya mfalme Yehoshafati aliye fanya urafiki na Ahabu mfalme wa Israel aliye kuwa mtu asiye haki,baadae alijikuta akiteseka bila sababu
5.Wafanyao fitina na mambo ya kukwaza-Rumi 16;17 Mtume Kayengela alisema kuwa,watu wajinsi hiyo nihatali fanya haraka kufuta kwa vitendo ushauri wa Mungu-yaani,kujiepusha nao-Alikazia kwa kunukuu 2Yohana 1;10-11
6.Wenye mizaha-alinukuu ile zab 1;1,akasema,Hakikisha watu wa
namna hiyo hawawi karibu yako
7.Wasio shika fundisho la madhabahuni-akasema-watu hao nihatali sana. Alinukuu 2Thes 3;14-15
8.Nawale wote wenye dalili za wazi za mambo ya fuatayo;
a.wenye kujipenda wenyewe
b.wenye kupenda fedha
c.wenye kujisifu
d.wenye kiburi
e.wenye kutukana
f.wenye wasio watii wa zazi wao
g.wasio na shukurani
h.wasio fanya suruhu
i.wasaliti
j.wakaidi n.k-Mtume A,J.Kayengela aka malizia kwa kunukuu 2Timo 3;2-5 kuthibitisha hayo aliysema.
Mwalimu na Mtume alihitimisha kwa kusisi tiza pointi 3 zifuatazo;
1.Hata kama mtu niwamuhimu kiasi gani kwako,endapo atakuwa ame athiriwa na virusi hivyo-HAKUFAI
2.Endelea kushirikiana na watu wa jinsi hiyo,ili baadae-ujute na kujeluhiwa
3.Usipo jiepusha nawatu wenye nalili ya virusi hivyo vya kiroho,uta haribiwa,hata Mungu hakusaidii-maana msaada wake amesema JIEPUSHE NAO.
Comments
Post a Comment