Leoleoplus,com

IJUMAPILI-IBABA ZA SHEREHE YA KUSTAREH PAMOJA NA MUNGU SIKU YA 7

                     
                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                          Mwanzo 2;13'Basi mbingu nanchi zikamalizika na jeshi lake lote.Nasiku yasaba,Mungu alimaliza kazi yakeyote aliyo ifanya,akastrehe siku ya saba,akaacha kufanya kazi yake yote aliyo ifanya.Mungu akaibarikia siku ya saba,akaitakasa kwasababu,katika siku hiyo Mungu alistarehe akaacha kufanya kazi yake yote aliyo iumba na kuifanya'
             

Sikuchache zilizo pita,Mwalimu na Mtume Alam J.Kayengela ambaye ndiye kiongozi mkuu mwanzirishi wa Huduma ya Neno la Ufunuo,alili tangazia kanisa nakusema kuwa-Roho Mtakatifu amemwambiakwamba,Inabidi kanisa lijifunze kuitumia vizuri zaidi ijumapili,siku ambayo Mungu alistarehe nakuibariki.Kiongozi huyo alisema kuwa,ukisoma vizuri mwz 2;3'Mungu akaibarikia siku ya saba......' Hivyo mtumishi wa Mungu huyo akaongeza kwa kusema, Hii inamaanisha kwamba,siku ya saba ya ijumapili imebeba baraka furani ambazo zinaweza kupatikana tu,kwamatumizi sahihi ya siku hiyo.Kwahiyo mtumishi wa Mungu huyo-Mwalimu na Mtume Alam J,Kayengela-aliongeza kwa msisitizo kwamba,Mungu amempa maelekezo ya jinsi yakuitumia vizuri ijumapili,ilikanisa liweze kujiunganisha na baraka hizo za siku ya saba ijumapili iliyo barikiwa.kwahiyo jana alisema kuwa,kuanzia leo kila ijumapili itakuwa nisherehe za kustarehe na Mungu kwa kua nzia asubuhi ya saa 3 mpaka jioni ya saa 12 Lakini pia alitoa angalizo akasema-Kusherehekea nakustarehe pamoja na Mungu siku ya saba yaijumapili,haina maana kwamba nikwenda kanisani nakukaa nakuandika nne kwa miguu(kama alivyo onyesha hapo kwenye picha)Hapana. Isipo kuwa Mungu alimaanisha kuitumia vizuri ijumapili kwa ibada mbalimbali za kuanzia asubuhi mpaka jioni bila kuchanganya na shughuli nyi ngine yoyote.

Mtume Alam J.Kayengela-alikumbusha kanisa kwa kusema kwamba,Kumbukeni enyi kanisa kamanilivyo kwisha kuwaambia toka mwanzo kwamba,Mimi nina Agano na Mungu la kutokuhubiri kitu chochote cha kujitungia tu,akilini.Kwahiyo atakaye amua kutii utaratibu huu-ATATII-MWASI ATA ASI.
Akaludia kusisitiza akisem-KUANZIA LEO IJUMAPILI ZITAKUWA NISHEREHE ZA IBADA TU,USI IINGIZIE KITU CHOCHOTE SIKU YA IJUMAPILI KAMA UTAKUWA UNASIKIO LA KUSIKIA-kwa mkazo alikazia hilo.

NDIPO AKATOA MAELEKEZO ALIYO PEWA KWA AJILI YA IBADA ZA IJUMAPILI
-Kwanza kabisa alisema-Ibada hizo zita anza saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jioni,kwa utaratibu ufuatao;

1.IBADA YA SIFA NA KUABUDU
-AKASEMA-Ibada hii inaleta uponyaji wa moyo na kusababisha furaha ya kweli moyoni

2.IBADA YA NENO LA UFUNUO
-Mtume Alam J.Kayengela,ALISEMA-Ibada ya Neno la Ufunuo husababisha,umjue Mungu na sauti yake na kuwa naimani isiyo yumbishwa(imani iushindayo ulimwengu)

3.IBABA YA MAOMBI YA KULETA MABADIRIKO YA HARAKA
-Mwalimu na Mtume AKASEMA-Hii ni ibada inayo kusaidia kuwa mkristo moto,namwenye changamko

4.IBADA YA KUKUA KATIKA NENO LA UFUNUO(YAANI MADARASA YAKUTEMBEA NA MUNGU)
-AKASEMA-madarasa haya yanakusaidia vitu vingi sana,-kwanza alianza kwa kunukuu Isaya 48;17 Aka sema kuwa,Mungu anasema-Anakufundisha ili upate faida'
-Hivyo mtume Kayengela akasema,kunafaida ambazo Mungu hato ziruhusu kuja kwako,kama hujakubali kukaa darasani ili akufundishe kwa kumtumia mtumishi wake aliye muinua kwa ajili yako-Yer 3;15.
Alifafanua ibada hiyo nakusema,Ibada yakukua katika Neno la ufunuo yaani madarasa ya kutembea na Mungu,inakusaidia mambo makuu yafuatayo;

a.Kujua jinsi ya kutembea na Mungu duniani

b.Kuwa tayali kwa unyakuo

c.Inakuandaa kuwa mtu mkuu baadaye

5.IBADA YA UPONYAJI WA MAGONJWA NA SHIDA MBALI MBALI
-Apostle Kayengela Alisema-Ibada hii ina kusaidia kupata ufumbuzi wa matatizo yako-Akasema-Kwakuzingatia hili,                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                 


 Tayali nimeweka kikosi maalumu cha wana maombi kitakacho shirikiana nami kuombea hata shida mbali mbali za watu na nimetoa anuani itakayo saidia hata watu wa mataifa mbali mbali ulimwenguni kutuma mahitaji yao ili washiriki baraka hii ya kuombewa. Anuani hiyo nikama ifuatavyo;
mlkayengela@gmail.com-AKASEMA-Unapo tumia barua pepe hii kwa ajili yakuleta mahitaji yako ya kuombewa,zingatia yafuatayo,

1.Ainisha nchi uliyopo

2.Tumia lugha ya kiswahili

3.Unganisha picha yako

4.Eleza shida yako
AKASEMA-Tuta omba kwa Mungu ajibuye naye atakutendea TU,ilimradi ushirikiane nasi kwa imani yako tu,hata kama uko mbali.

6.IBABADA YA MAFUNDISHO YA NENO LA UFUNUO KUHUSU NDOA
-Mwalimu na Mtume ALISEMA- Ibada hii ya mafundisho ya kiufunuo kuhusu ndoa inasababisha

a.Kinga ya uvunjifu wa ndoa

b.kinga ya amani ya ndoa

c.na kinga ya heshima ya ndoa yako

Baada ya kuhitimisha kwa kutoa maelekezo hayo kuhusu mabadiriko mapya ya mfumo wa kutembea na Mungu ki ibada-Alionya nakusema-Siku zote kumbuka hili-WAKATI WOWOTE UNAPO TAKIWA KUPOKEA MABADIRIKO MAPYA,UTAYALI WAKO NDO UNAO KUWA UNAJARIBIWA NA MUNGU saahiyo huwa Mungu ana kuangalia SANA

Kiongozi huyo alifundisha Neno la ufunuo kwa ufupi ambalo alilipa kichwa cha somo kinacho sema

ILA KWA NENO LANGU

Alinukuu 1wafalme 17;1.Akasema kuwa,Eliya alimwambia Ahabu kwamba,mvua haitanyesha ILA KWA NENO LANGU-Angalia vizuri hapo- Eliya hakusema mvua itanyesha kwa Neno la Mungu,Hapana. Alisema kwa Neno lake inge nyesha.
Apostle Kayengela alinukuu pia Yakobo 5;17 akasema-Eliya alikuwa mwana damu wa kawaida tu,kama wewe hivyo ulivyo,labda alicho kuzidi tu,ni ule ufahamu wa kujitambua yeye ni nani kama mtu wa Mungu.Apostle aliya sema hayo alipo kuwa akihubiri kwenye sherehe za kustrehe na Mungu siku ya ijuma pili ambazo tayali zime anza jana.

AKASEMA-

Eliya alitambua siri iliyoko katika neno lake mwenyewe. Eliya ali heshimu tamko lake.
-Mtumishi baada ya kusema hayo huku watu wakisha ngilia na kumtukuza Mungu,alitoa mifano ya baadhhi ya watu ambao aliwa tamkia neno,likawa. Ambapo baadhi yao aliwa simamisha madhabahuni ili watoe ushuhuda. Alieleza pia jinsi ambavyo amesha wahi kuiita mvua inyeshe ili iwa zuie watolo wa ibada wanao toroka kabla ya ibada kuisha ikanyesha akaendelea kusema kuwa,siku nyingine aliifunga mvua isinyeshe ili isiwazuie watu kuhudhulia semina-ilikatika kwa muda wote wa semina

AKASEMA-
Fika hatua uamue kutumia kinywa chako kwa faida. Unafika hatua unasema-KAMA MUNGU AISHIVYO NINAYE SIMAMA MBELE ZAKE-MIMI SITA KUFA BILA KUWA TAJIRI,SITA KUFA BILA KUOLEWA,SITA KUFA BILA KUOA,SITAKUFA KWA KUUAWA NA UGONJWA.

Kiongozi huyo,alimaliza kwa kusema kuwa;
SIKU ZOTE JIFUNZE KUHESHIMU TAMKO LAKO,KAMA MUNGU ANALIHESHIMU  WEWE KWANINI USILIHESHIMU?

UNAJUA NIKWA NINI UNATAKIWA KULIHESHIMU TAMKO LAKO?

A.Nikwasababu tamko lako lina baraka-Yakobo 3;10

B.Unapo heshimu tamko lako unaunyesha kutembea nasheria ya kifalme-Yakobo 2;8

MWISHO MTUME KAYENGELA ALISEMA

Tuma maombi yako kwa kuzingatia maelekezo hapo juu-na wale wote ambao wanaishi kanda ya hapa Dar es salaam aliwa asa,kutumia nafasi hii kufika kanisani hapo ili washiriki sherehe hizi za ibada za kipekee

                                  piga
                0763359745 au 0712583194




 

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

SEHEMU YA PILI