Kuna aina kama 4 zanyakati katika ulimwengu wa roho,lakini zote zikielezea hali moja 1.Nyakat za giza kiroho 2.Nyakati za jangwani kiroho 3.Nyakati za usiku kiroho 4.Nyakati za kiangazi kiroho Kwanamna yoyote lazima kilamtu ajue kuwa,nyakati hizi huwa zinamkuta nawala haziepukiki.Nninyakakati za asiri katika roho,haziepukiki *Hizi nizile nyakati ambazo,Mungu anakuwa ameuweka moyo wako kwenye darubini aumaabara yakiroho ili kupima nakuangalia kina cha upendo wako kwake-Daudi alili jua vema jambo hili nakumwambia Mungu amjaribi nakumpima-Zab 26;2 *Kwamaana nyingine,nyakati hizi,nizile ambazo kiuhalisi,inaonekana kama vile Mungu hayuko kati kati ya maisha yako,kamavile hajishughulishi kwa lolote kuhusu wewe binafsi,kama vile maombi yako nikelele tu na kujichosha bule,kama vile Mungu hakutetei kwa lolote. -Hatakama moyo wako unampendeza Mungu kiasi gani,lazima tu,moyo wako utapitia uzoefu huu Ukisoma katika matendo 13;22-unaona wazi kwamba,Daudi alikuwa nasifa muhimu ya...
Comments
Post a Comment