Leoleoplus,com

NENOLAUFUNUO LA SIKU YALEO ni, Isaya 56:7"Nitawaleta hao nao hata mlimawangu mtakatifu nakuwafurahisha katika nyumbayangu yasala;.........." ANGALIA NENO HILO. "Nakuwafurahisha katika nyumbayangu yasara". NYUMBA YAMUNGU NIYASARA.NA KATIKA NYUMBAHIYO KUNAKUFURAHISHWA. 1wakorth 3:16"Hamjui yakuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu nayakuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?" OK. LUDI KWENYE NENO LILE ANAPOSEMA, ".......Nakuwafurahisha katika nyumba yangu yasara.......kwamaana nyumbayangu itaitwa nyumba yasara kwamataifa yote" NYUMBA YA MUNGU NINYUMBA YASARA.NINYUMBA YAMAOMBI. AMESEMA KWAMBA KAMA UMEOKOKA WEWE NINYUMBAYAKE. IKIWA UNATAKA KUJUA KAMAKWELI WEWR NINYUMBA YAMUNGU JIULIZE IKIWA WEWE NIMTU WASARA? NIMTU WAMAOMBI?MAOMBI YANAYO GUSA MATAIFA MBALI MBALI? NAJE HUWA UNAPO HUDHULIA KWENYE IBADAZAKO HUWA UNAFURAHISHWA NAUWEPO NAMTEMBEO NAMUNGU? AU UNAHUDHURIA TU.MAANA KAMA HAUJAFANIKIWA KUFIKA KWENYENEEMA YAKUSUDI LAMUNGU LANENO LAUFUNUO HUTAIONA KAMWE ILE MAANA HASA YAIBADA. MUNGU AKUBARIKI NANENO LA SIKU YAKO YALEO. AMINA. wasiriana nami kwa 0763359745 & 0712583194

Comments

Popular posts from this blog

NENO LAUFUNUO LA LEO tazama Ayubu 8:7"Tena ujapokuwa huo mwanzo wako ulikuwa mdogo,lakini mwisho wako ungeongezeka sana"NENO LA UFUNUO LASIKU YAKO LEO. MUNGU ANAKUTAKA USIWE NAMAWAZO YA KUDHARAU MWANZO WAKOMDOGO. KWAMAANA TABIA YA MUNGU NIKWAMBA,YEYE HUWA HAUDHARAUMWANZO MDOGO. HATAKAMA NIMWANZO MDOGO YEYE HATAUDHARAU. "Mungu alianza na mwanadamu mmoja,leo hii wako mabilioni. Yesu alianza na wanafunzi kumi nawawili,leohii anawafuasi wengi hata hawana idadi maanawengine walishatangulia mbinguni. Historia yamakanisa mengi Africa na ulimwengu kwaujumla,yalianza namwazo mdogo sana lakini yamekuwa makubwa nayakushangaza."KILA MWANADAMU CHINI YAJUA ANAPITIA UZOEFU HUU WA KIPINDI CHAMWANZOMDOGO.LEO INABIDI UJIULIZE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WAJAMBO GANI? JE UKO KWENYE MWANZOMDOGO WA KUANZISHA KAZI YAMUNGU? JE UKO KWENYEMWANZOMDOGO WANDOA? UKO KWENYEMWANZO WABIASHARA? UKO KWENYE MWANZO WA OFISI MPYA? UKO KWENYE MWANZO WAUCHUMBA? UKO KWENYE MWANZO WA AJIRA? UKO KWENYE MWANZO GANI? TAZAMA zekaria 4:10"maana ninani aliyeidharau siku yamambo madogo?.....OK. UNAONYWA! USIDHARAU MWANZO MDOGO ULIO NAO LEO. USIVUNJWE MOYO NAMWANZO MDOGO. USIKATISHWETAMAA NAMWANZO MDOGO.USIJIWAZIE VIBAYA KWASABABU YA MWANZO WAKO MDOGO. LEO,PIGA MOYO WAKO KONDE UCHANGAMKE MWISHO WAKO NIMZURI. MWISHO WAKO NIMKUBWA. POKEA NENO HILI LAUFUNUO ALILO KUTUMIA MUNGU SIKU YALEO.JITAHIDI UJE KANISANI UPATE MAELEKEZO ZAIDI. HUDUMA YA NENO LAUFUNUO CHINI YA MWANGALIZI MKUU MWL NA MTUME ARAM J.KAYENGELA IMEFANYIKA BARAKA SANA YAKIROHO NAKIMWILI KWAWOTE WALIO FANIKIWA KUJIUNGA RASMI. NIHUDUMA YAKIROHO YENYE UHUISHO MPYA KATIKA SIKU HIZI ZA HATALI AMBAZO KANISA LIMESAHAU UPENDO WAKWANZA.KANISA LIMEPOA.WATU WAKO MOTO KISIASA ILA KIROHO WAMEPOA KABISA.NINYAKATI ZA YEYE ALIYE NASIKIO AYASIKIE HAYA AMBAYO ROHO ANAYAMBIA MAKANISA.HERI MWENYE SIKIO LAKUSIKIA SASA. NIMUDA WAKO WAKUJA KWENYE NENO LAUFUNUO IKIWA ULIMUULIZA MUNGU AKUONYESHE NIWAPI UENDE. SIMAMA KWAMIGUU YAKO NAUCHUKUE HATUA. 0763359745/0712583194

MFULULIZO WA MAFUNDISHO YA APOSTLE ALAM J. KAYENGELA KWENYE KONGAMANO LA SIKU NANE ARUSHA TANZANIA (TAREHE 5-12 MWAKA 2013)

KUJUA KUTEMBEA NA MUNGU NIPAMOJA NAKUJUA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI KATIKA ROHO