THE CONTINOURANCE OF OUR PREVIOUS WEEKS' REVELATION CALLED,"THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING WITH DISEASE AND WIZARDS." & MWENDELEZO WA UFUNUO WA WIKI ZILIOZOPITA UITWAO,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
-First of all I would like to say,"sorry for the mistake done according to our promise we promised you on last week but now we are still preparing to be available in every day {to enter the message on our page}".
-Don't forget that this is the message that come from the book which is prepared by Apostle Aram .J. Kayengela, which is called,"THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING WITH DISEASES AND WIZARDS."
-Apostle Aram J. Kayengela he talked more on how,"YOU CAN NOT KNOW WELL YOUR GOD WITHOUT THE WORD OF REVELATION."And he continued to say that,"You can not know well your God without the word of revelation, and remember that,the first process which will make you to be safe from diseases and wizards is to know well your God."
-Now today he continued to say:
-Remember that wizards they know the one who has no the Word of Revelation.In order to get the word of revelation you have to get the priest who has the lips of knowledge.Once you get this priest who has the lips'knowledge,you have to remember that there are priests of laws,that is why when God wants to make you the priest it is must to give you the lips'knowledge.
-Devine scripture in Malach 2:7,they say that,"For the lips of a priest should guard knowledge,and men should seek instruction from his mouth,for he is the messenger of the LORD of hosts."
-Hence in order the people to get the knowledge, they have to find the priest who has the lips of knowledge,and not to find the God,for he has already placed the knowledge to priest,for he is the messenger of the LORD of hosts.And you have to know that,when the bible says,"my people are destroyed for lack of knowledge;....."means that,the people are destroyed for lack of the priest who has the lips'knowledge.
-Let me congrate you for getting the priest of lips'knowledge who is still teaching now through this blog.
CONFESS THESE PRAYS:
1.Thank you Jesus for helping me to get the priest of lips'knowledge Apostle Aram J. Kayangela.
2.The spirit that make me to neglect him I burn it with Jesus fire in the name of Jesus amen.
3.I will listen to him only as my priest of lips'knowledge.
ANNOUNCEMENT TO THE READERS:"From today I promise you that we shall be available in every day,so don't miss any message of Revelation from today God bless you in the name of Jesus amen."
- If you feel to give your offer to God you may use the following account number
Send through the account name
ARAM JAPHET KAYENGELA
Account number:0152274542500
CRDB branch-Lumumba
+255-763-359 745, & +255-712-583 194
Email:mlkayengela@gmail.com
Pleased to meet you on tomorrow through our page of: "www.nenolaufunuo.blogspot.com"
AMEN.
+MWENDELEZO WA UJUMBE WA KIUFUNUO UITWAO,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA LUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
-Kwanza kabisa ninawaomba radhi wasomaji wote wa njumbe hizi za kiufunuo kutokana na kutokutekelezwa kwa ahadi tuliyokuahidi wiki iliyopita kwa sababu ya makosa ya kiufundi yaliyofanyika lakini sasa tunajipanga kupatikana kila siku muda wowote,asante.
-Usisahau kama ujumbe huu upo kwenye kitabu kinachoandaliwa na Mtume Aram. J. Kayengela, kinachoitwa,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
-Mtume kayengela alielezea kwa kina jinsi ambavyo,"HUWEZI KUMJUA SANA MUNGU WAKO BILA NENO LA UFUNUO."Na pia alisema kwamba,"Huwezi kumjua sana Mungu bila Neno la Ufunuo,na ukumbuke kwamba hatua ya kwanza itakayokufanya usisumbuliwe na magonjwa na wachawi ni wewe kumjua sana Mungu wako."
-Sasa leo aliendelea kwa kusema:
-Kumbuka kwamba wachawi wanamuelewa mtu ambaye hajapata Neno la Ufunuo.Ili upate Neno la Ufunuo unahitaji kumpata Kuhani mwenye midomo ya maarifa.Ukishampata huyu mchungaji mwenye midomo ya maarifa ukumbuke kwamba kuna wachungaji wa kisheria.Na ndio maana Mungu anapotaka kukufanya kuwa kuhani lazima akupe midomo ya maarifa ili watu wayatafute maarifa kwako.
-Maandiko matakatifu katika kitabu cha Malaki 2:7,kwamba,"kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa,tena yawapasa watu kuitafuta sheria kinywani mwake;kwa kuwa yeye ni mjumbe wa Bwana wa majeshi."
-Hivyo ili watu wapate maarifa lazima wamtafute kuhani mwenye midomo ya maarifa,sio wamtafute Mungu maana Mungu ameshaweka maarifa kwa kuhani maana ni mjumbe wa Bwana wa majeshi.
-Na pia uelewe biblia inaposema,"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa......"inamaanisha kwamba watu wanaangamia kwa kumkosa kuhani mwenye midomo ya maarifa.
-Wacha tu nikupongeze kwa kumpata kuhani mwenye midomo ya maarifa ambaye anakufundisha sasa kupitia blog hii.
"Ujumbe unaendelea......."
TANGAZO KWA WASOMAJI:"Kwanzia leo tutakuwa tunapatikana katika ukurasa wetu wa njumbe za kiufunuo,usichoke kufuatilia njumbe hizi kama kweli wewe ni mwenda mbinguni.Mungu akubariki amina."
OMBA MAOMBI HAYA:
1.Asante Yesu kwa kunisaidia kumpata kuhani mwenye midomo ya maarifa,Mtume Aram. J. Kayengela.
2.Roho inayonifanya kumpuuza Mtume Kayengela,ninaichoma kwa moto wa Yesu katika jina la Yesu kristo.
3.Nitamsikiliza peke yake kama kuhani wangu mwenye midomo ya maarifa katika jina la Yesu kristo amina.
-kama unasikia Roho mtakatifu anakushuhudia kumtolea Mungu sadaka unaweza ukatumia namba ya akaunti ifuatayo kupanda mbegu yako:
Tuma kupitia jina la akaunti
ARAM JAPHET KAYENGELA
Namba ya akaunti:0152274542500
CRDB branch-Lumumba
+255-763-359 745, & +255-712-583 194.
Email:mlkayengela@gmail.com
Tuonane kesho kupitia ukurasa wetu wa: "www.nenolaufunuo.blogspot.com"
AMINA.
Comments
Post a Comment