THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING BY DISEASES AND WIZARDS. & SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI.
INTRODUCTION
-"This revelation are the subjects from the book which is prepared by Apostle Aram J. Kayengela which is called,"THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING BY DISEASES AND WIZARDS."
Apostle Aram J. Kayengela started by saying that;This will help you to protect your budget because there are some people who arrange their budget of their funds then immediately diseases rise up and to destroy all the budget.And continuing as follow:
-And you have to remember that eighty five percent of diseases affect the people, wizards are involved.
-Many people on the earth are living in the system of avoiding the problems and not in the system that gives the prevention of resisting problems to out put from their life.
-When you reach the level of living the life of counsel you will live the life in which you can resist the problems and not then life in which you will treat the problems that have already happened in your life.
-And when you will live the life of treating the problems which have already happened,that is the life which has destroyed.
Ecclesiastes 10:8,"He who digs a pit will fall into it;and a serpent will bite him who breaks through a wall."This means that {wall is the resistance} when you live without resistance, the diseases will raid you.
-REMEMBER THAT THE MESSAGE IS THE MYSTERY OF REVELATION OF LIVING ON THE EARTH WITHOUT RAIDING WITH DISEASES AND WIZARDS.
"If there are mysteries of revelation thus there are normal mysteries, now these mysteries of revelation come direct from God only in the counsel and in the party are not available."
PART ONE
+TAKE THE IMPORTANT SPIRITUAL SEVEN STEPS THAT GIVES YOU THE KEYS OF OVERCOMING THE DISEASES AND WIZARDS.
-This means that when you will take these spiritual seven steps the message will not appropriate for you{this blessing is not for you}. If you will follow these important spiritual seven steps that give you the keys of overcoming diseases and wizards and thereafter the wizards are still overcoming you and diseases are still troubling you ,Apostle Kayengela announced that you can follow him and ask him after that,"Why these are still troubling me and you said that they can not overcome me again."
-Remember that once you fail to follow these important seven steps this message will not for you: Hebrews 4:2," For good news came to us just as to them; but the message which they heard did not benefit them, because did not meet with faith in the hearers."
"THE MESSAGE WILL CONTINUE ON THE NEXT WEEK DON'T KEEP IT ASIDE....."
SAY THESE PRAYS:
1.LORD Father in the name of Jesus christ I disagree to on the earth under the pressure of diseases and wizards.
2.I dislike the power from the chair of respect to overcome any wizard who competing with me in the name of Jesus.
3.Thank you Jesus, your blood covers me-Amen.
If you feel that The Holy Spirit tells about to give out your offer to God you may use the following account number:
Send through the account name
ARAM JAPHET KAYENGELA
The account number:0152274542500
CRDB branch-Lumumba.
+255-763-359745. & +255-712-583194.
E-mail:mlkayengela@gmail.com
WE ARE WELCOMING YOU IN TH WORD OF REVELATION MINISTRY FOUND IN DAR ES SALAAM, IN ILALA MUNICIPAL- CHANIKA.
+SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI.
UTANGULIZI
-Ufunuo huu ni masomo yanayotoka kwenye kitabu anchokiandaa Mtume Aram J. Kayengela kiitwacho,"SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI."
Mtume Aram J. Kayengela alianza kwa kusema kuwa, hii itakusaidia hata kulinda bajeti yako kwa sababu kuna watu wanapanga bajeti ya kipato chao halafu gafla magonjwa yanaibuka na kuvuruga bajeti {utaratibu} wao.
-Na ukumbuke kwamba asilimia themanini na tano ya magonjwa yanayowashambulia watu wachawi huhusika.
-Watu wengi duniani wanaishi katika muundo wa kujihami na matatizo na sio katika muundo unaowapa kinga ya kuzuia matatizo yasiingie kwenye maisha yao.
-Ukifikia kiwango cha kuishi maisha ya kikusudi utaishi maisha ya namna ya kuzuia matatizo na sio maisha yaliyo katika namna ya kuishi kwa kutatua matatizo yaliyikwisha kukupata.
-Na kuishi maisha yaliyo katika namna ya kutatua matatizo yaliyokwisha kukupata hayo ni maisha yaliyoharibika.
-Mhubiri 10:8[b],"Na yeye abomoaye boma nyoka atamwuma."Maana yake{boma ni kinga} bila kinga magonjwa yatakushambulia.
-KUMBUKA UJUMBE NI SIRI ZA KIUFUNUO ZA KUISHI DUNIANI BILA KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA NA WACHAWI:
"Kama kuna siri za kiufunuo basi kuna siri za kawaida, sasa hizi siri za kiufunuo zinatolewa na Mungu mwenyewe katika kusudi na katika dhehebu hazipatikani."
SEHEMU YA KWANZA.
+CHUKUA HATUA SABA MUHIMU ZA KIROHO ZINAZOKUPA FUNGUO ZA KUSHINDA MAGONJWA NA WACHAWI.
-Maana yake usipochukua hatua hizi saba ujumbe huu haukuhusu[hizi baraka hazikufai].Ukifuata hatua hizi saba muhimu za kiroho zinazokupa funguo za kushinda magonjwa na wachawi wakakushinda na magonjwa yakakutesa, Mtume Kayengela umuone na umuulize,"kwa nini yamekupata hayo na wakati ulisema sitashindwa?"
-Ukumbuke kwamba usipofuata hatua hizi saba ujumbe huu haukuhusu[haukufai]:Waebrania 4:2,"Maana ni kweli sisi nasi tumehubiriwa habari njema vile vile kama hao.Lakini lile neno lililotamkwa halikuwafaa wao,kwa sababu halikuchanganyikana na imani ndani yao waliosikia."
OMBA MAOMBI HAYA:
1.Mungu baba katika jina la Yesu kristo nakataa kuishi duniani chini ya mgandamizo wa magonjwa na wachawi.
2.Nachukua upako toka kiti cha enzi kumshinda mchawi yeyote anayashindana na mimi katika Jina la Yesu.
3.Asante Yesu kwa damu yako imenifunika-Amina.
Kama unasikia Roho Mtakatifu anakushuhudia kutoa sadaka unaweza kupanda mbegu yako kupitia namba ya akaunti ifuatayo:
Tuma kwa jina la akaunti
ARAM JAPHET KAYENGELA
Namba ya akaunti:0152274542500
CRDB branch-Lumumba
+255-763-359745. & +255-712-583194.
E-mail:mlkayengela@gmail.com
TUNAKUKARIBISHA KWENYE HUDUMA YA NENO LA UFUNUO LILILOKO DATR ES SALAAM, MANISPAA YA ILALA-CHANIKA.
Comments
Post a Comment